15/02/2023
ZIJUE FAIDA YA MBEGU ZA MRONGE RONGE KATIKA TIBA YA MARADHI YAFUATAYO.
(1) Presure ya mara kwa mara
(2)U.t.i sugu
(3)Malaria yakujirudiarudia
(4) Kizunguzungu
(5) Kichwa/kipanda uso
(6)Tumbo kujaa gues.
Sasa hapa tuelewane kidogo nimetaja baadhi ya magonjwa lakin tiba zake zinakuwa tofaut kutokana na unaumwa wewe lakin hii itakusaidia sana kwa uwezo wake ALLAH.Kama unashida kati ya hzo hapo na unaweza pata hzo mbegu nieleze ntakupa maelekezo na utapona Ishaallah.
Kwa mawasiliano .0713930721 au 0764060983.maswal ruksa.