healthykids_zone

healthykids_zone MTAALAMU WA WATOTO+ WAJAWAZITO
TUNATOA USHAURI NA HUDUMA KWA CHANGAMOTO ZOTE ZA KIAFYA KWA WATOTO NA WAJAWAZITO FURAHA YETU NI KUONA MTOTO MWENYE AFYA BORA.

KARIBU KWA HUDUMA NA USHAURI JUI YA AFYA YA MWANAO

Hii ni kiboko kwa mtoto asiyependa kula Nipigie 0756408229
01/03/2024

Hii ni kiboko kwa mtoto asiyependa kula

Nipigie 0756408229

KUCHELEWA KUPIGA HATUA KWA MTOTO KUNASABABISHWA NA NINI? NINI KIFANYIKE KWA MTOTO ALIYECHELEWA KUPIGA HATUA?
11/04/2023

KUCHELEWA KUPIGA HATUA KWA MTOTO KUNASABABISHWA NA NINI?

NINI KIFANYIKE KWA MTOTO ALIYECHELEWA KUPIGA HATUA?

Happy PALM sunday😘John 12:13🌴🌴🌴
02/04/2023

Happy
PALM
sunday😘
John 12:13
🌴🌴🌴

everything is possible
22/03/2023

everything is possible

a²+b²=c²wapenda hesabu tujuane😋🥰Faida mojawapo atakayoipata mtoto akitumia IQBOOSTER ni kuwa na utulivu wa akili na kumb...
14/03/2023

a²+b²=c²
wapenda hesabu tujuane😋🥰

Faida mojawapo atakayoipata mtoto akitumia IQBOOSTER ni kuwa na utulivu wa akili na kumbukumbu

Mfanye mwanao awe bora kitaaluma kwa kumwanzishia program ya IQBOOSTER
10/03/2023

Mfanye mwanao awe bora kitaaluma kwa kumwanzishia program ya IQBOOSTER

2. Zuia vinywajiZuia kiasi cha vinywaji saa mbili au tatu kabla ya kulala.Hakikisha mtoto anakunywa maji ya kutosha waka...
08/03/2023

2. Zuia vinywaji

Zuia kiasi cha vinywaji saa mbili au tatu kabla ya kulala.Hakikisha mtoto anakunywa maji ya kutosha wakati wa mchana.

Zuia kahawa, chai, soda au chokoleti jioni.Hivi huzidisha haja ya kukojoa usiku.

INAENDELEA............

uchovu sugu unachangia matokea duni kwa mwanafunziuono hafifu unachangia mtoto kushindwa kuconcetrate na masomo kukosa u...
06/03/2023

uchovu sugu unachangia matokea duni kwa mwanafunzi

uono hafifu unachangia mtoto kushindwa kuconcetrate na masomo

kukosa utulivu wa akili inachangia ufaulu duni kwa mwanafunzi

Je, Nichangamoto gani inayomtatiza mwanao? karibu tuzungumze

Ni nini inapelekea mtoto kukojoa kitandani?..Zijue sababu zinazochangia mtoto kukojoa kitandani..Nini kifanyike kumsaidi...
24/02/2023

Ni nini inapelekea mtoto kukojoa kitandani?..
Zijue sababu zinazochangia mtoto kukojoa kitandani..
Nini kifanyike kumsaidia mtoto anayekojoa kitandani?.
Tiba ya mtoto anayekojoa kitandani

kila .wanadunzi anaweza kuwa bora kitaalumaIpi ni changamoto inayomkwamisha mwanao kufanya vizuri kitaalumakaribu tuzung...
23/02/2023

kila .wanadunzi anaweza kuwa bora kitaaluma

Ipi ni changamoto inayomkwamisha mwanao kufanya vizuri kitaaluma

karibu tuzungumze kwa ushauri na huduma CALL/WHATSAP +255756408229

uchovu sugu na kukosa utulivu wa akili vinasababisha mtoto kushindwa kuconcetrate na masomo yakeje mwanao pata uchovu su...
20/02/2023

uchovu sugu na kukosa utulivu wa akili vinasababisha mtoto kushindwa kuconcetrate na masomo yake

je mwanao pata uchovu sugu na kukosa utulivu wa akili?

unachukua hatua gani mwanao akiwa kwenye hali k**a hii?

karibu kwa maswali, huduma na ushauri

LOCATION; Mwenge, Dar es salaam
call /whatsap +255756408229

Pregnance care ni program ya virutubisho inasayaidia kulinda na kuimarisha afya ya mtoto pamoja na mama yakepregnance ca...
18/02/2023

Pregnance care ni program ya virutubisho inasayaidia kulinda na kuimarisha afya ya mtoto pamoja na mama yake

pregnance care inasaidia kuzuia

⭐mdomo sungura

⭐mgongo wazi

⭐Utindio wa ubongo

⭐Kichwa kikubwa

⭐kifafa cha mimba

⭐Mtoto kuzaliwa njiti

⭐ugonjwa wa moyo i.e tundu kwenye moyo, moyo mkubwa /moyo mdogo

Address

Mwenge
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when healthykids_zone posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category