Ijue.afyayako806

Ijue.afyayako806 Nina wasaidia watu wenye changamoto YA maungio YA mifupa KUSAGANA Kwa kutumia tiba lishe

27/11/2023

TEZI DUME NA KANSA YA TEZI DUME INATIBIKA
( 0674136245)
DALILI ZA TEZI DUME KUTANUKA

Dalili huonekana baada ya umri wa miaka ya hamsini . Karibu wanaume wote wenye umri wa sabini na themanini huwa na tatizo hili.Dalili huanza polepole na kuzidi jinsi miaka inavyoongezeka.Dalili hizi ni k**a zifuatazo:

1.Kukojoa mara nyingi hasa nyakati za usiku.Hii ni dalili ya mapema sana.
2., kutumia nguvu kuanzisha mkojo kutoka. Hata pale mgonjwa anahisi kibofu kimejaa. Hii ni dalili ya mapema sana.
3.Mkojo kutiririka polepole, hukatikakatika na hutumia nguvu kutoka.
4.Mkojo kushidwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa.
5.Mkojo kuendelea kutoka kidogokidogo baada ya kukojoa, matone ya mkojo huendelea kutoka hata baada ya kukojoa hivyo nguo za ndani hulowa.
Kibofu hakiishi mkojo.
Matatizo ya tezi dume iliyotanuka

Tezi dume ikitanuka sana huleta matatizo mengi kwa wagonjwa wengine hali hii isipotibiwa. Matatizo hayo ni k**a yafuatayo:

1.Mkojo kukosa kutoka kabisa
Wagonjwa wenye tatizo hili lazima wawekewe katheta ili kumimina mkojo.

2.Madhara kwenye kibofu na figo
Kwa sababu ya kibofu kuwa na mkojo wakati wote, ukuta na misuli yake hupanuka na mwishowe hudhoofika hivi kwamba haiwezi kuzuia mkojo.
Kwa sababu ya kibofu kujaa
mkojo hurudi kwenye figo na mwishowe huharibu figo.

3.Ugonjwa wa tezi dume husababisha mkojo kutiririka polepole na mtu kukojoa mara nyingi hasa usiku.
Maambukizi na mawe
Kwa sababu kibofu hakimimini mkojo wote kuna hatari kubwa ya maambukizi kwenye njia ya mkojo nakuwa na mawe kwenye kibofu.
Kumbuka

Utambuzi wa kupanuka kwa tezi dume
Historia na dalili zikiashiria uwepo wa hali hii, basi uchunguzi ufuatao hufanywe.
Uchunguzi wa ukubwa wa tezi

Uchunguzi huu hufanywa kwa kuingiza kidole chenye glavu nyuma hadi kwenye tezi dume. Daktari huweza kujua ukubwa na hali yake. Iwapo mtu ana ugonjwa huu tezi dume ni kubwa kuliko kawaida, laini na gumu yote pamoja. Iwapo tezi lina vifundo basi inaweza kuwa na kansa (saratani)au inaweza kuwa na

Dalili za tezi kilichopanuka na saratani hufanana.Lazima uchunguzi wa kina ufanywe ili kujua ni ugonjwa upi.

PIGA (0674136245) KWA USHAURI ZAIDI

SULUHISHO la MAUMIVU YA magoti ,Na MGONGO
22/10/2023

SULUHISHO la MAUMIVU YA magoti ,Na MGONGO

CHANZO CHA TATIZO LA VIUNGO (JOINTS TEAR AND WEAR)-Mara Nyingi Ugonjwa Huu Huitwa ARTHRITIS,Unasababishwa na hitilafu yo...
29/09/2023

CHANZO CHA TATIZO LA VIUNGO (JOINTS TEAR AND WEAR)
-Mara Nyingi Ugonjwa Huu Huitwa ARTHRITIS,Unasababishwa na hitilafu yoyote katika sehemu hizo za maungio ya mifupa.
Inaweza kuwa cartilage inalika,upungufu wa synovial fluid(Maji Maji Katika Maungio),maambukizi ya vijidudu katika moja ya maeneo hayo au mchanganyiko wa matatizo Mbali Mbali,Ikiwemo Uzito mkubwa.
Tabia kuu ya magonjwa haya ni maumivu kwenye maungio ya mifupa (joints) ambayo ni endelevu na ambayo hutokea eneo hilo hilo moja.
Chanzo Cha Arthritis Ni Nini...?
Ili Upate Kuelewa Vyema Chanzo cha ugonjwa huu,hebu kwanza tutazame muundo wa joint au sehemu mifupa miwili inapokutana(Maungio).
Mfano Goti ambapo mifupa miwili mmoja wa paja na mwingine wa mguu vinapokutana:
Maungio ya mifupa-

Ligaments;
-Ndicho kitu kinachoshikilia mifupa hii miwili pamoja,hii ni k**a utepe wa plastiki au mpira unaonyumbuka uliozunguka eneo hilo kwa nje,ukikunja goti inanyumbuka na ukinyoosha mguu inarudi.

Cartilage;Huu ni utando unafunika eneo ambalo mifupa hugusana ili kuzuia mifupa hii isisuguane moja kwa moja,Utando huu ambao kwa kiswahili tunauita gegedu huyawezesha maungio hayo kufanya kazi kiulaini pasipo kusababisha maumivu.
Capsule;Hiki ni kitu kinachofunika maungio haya kikizunguka pande zote,ndani ya mfuko huu wa capsule kuna synovial fluid ambayo huzalishwa na synovial membrane.
Synovial fluid ni ute ute wa kulainisha sehemu hiyo ya maungio na synovial membrane ni utando ulio kwenye kuta za ndani za capsule.
K**a nilivyoeleza hapo juu,kuwa kuna aina zaidi ya 100 za ugonjwa huu wa joints au arthritis.



Kwa ushauri zaid piga 0674136245

18/09/2023

TIBA YA ASILI KWA MAUMIVU YA VIUNGO (MGONGO, MAGOTI N.K)KUSAGANA BILA UPASUAJI
(0674136245)

KWA NINI MIFUPA HUSAGANA KWENYE VIUNGO NA KULETA MAUMIVU MAKUBWA?

=>KICHWA CHA MFUPA KATIKA VIUNGO KIMEZUNGUKWA NA MFUPA LAINI UITWAO GEGEDU(CARTILAGE)
KAZI YA GEGEDU(CARTILAGE ) NI KUZUIA MFUPA USISAGANE NA MFUPA MWENZAKE KWENYE VIUNGO,
PIA KUNA UTE UTE (SYNOVIAL FLUID) AMBAO NI GRISI YA VIUNGO,,HUSAIDA KULAINISHA MJONGEO(MOVEMENT) NA KUSAIDIA VIUNGO VISISUGUANE.
UTEUTE NA GEGEDU KUISHA HUPELEKEA MAUNGIO KUSUGUANA NA KUPELEKEA YAFUATAYO.

DALILI ZA MAUNGIO YA MIFUPA KUSAGANA
1.maumivu makali Kwenye maungio
2.kupata ganzi hii mara nyingi ni Kwa watu ambao pingili za mgongo zinasagana
3.kuvimba Kwenye maungio hasa magoti
4.kushindwa kutembea
5.kisigino kuwaka moto

MADHARA YA VIUNGO KUSAGANA
1.KUPOOZA HASA SHIDA YA PINGILI
2.ULEMAVU

ARTHROEXTRA NA ZAMINOCAL PLUS NI ZA ASILI HAZINA KEMIKALI, IMETHIBITISHWA NA TFDA,kupata huduma piga 0674136245)

24/08/2023
Hizi ndizo faida za unywaji wa supu ya mifupa (kongoro) 1.inasaidia kuzuia kuzeeka mapemasupu ya mfupa unahusishwa na co...
22/08/2023

Hizi ndizo faida za unywaji wa supu ya mifupa (kongoro)

1.inasaidia kuzuia kuzeeka mapema
supu ya mfupa unahusishwa na collagen, protini ya miundo inayopatikana katika ngozi, cartilage na mfupa. Inapochemshwa, kolajeni kwenye tishu-unganishi hugawanywa na kuwa gelatin na asidi nyingine mbalimbali za amino zinazokuza afya, k**a vile glycine

2.Nzuri kwa usagaji chakula na afya ya utumbo
Gelatine ni protini nyingi zaidi katika mchuzi wa mfupa. Mara moja kwenye njia ya utumbo, gelatin hufunga na maji ili kusaidia harakati nzuri ya chakula kupitia matumbo.

3.Inaweza kusaidia kazi ya kinga
Sio tu utumbo mwembamba ndio sehemu ya msingi ya kunyonya virutubisho, pia ni mstari wa kwanza wa ulinzi katika mfumo wetu wa kinga. Ikiwa kizuizi cha utumbo kinaharibiwa au kinachovuja, hii inaweza kuharibu kazi ya kinga.

4.Inasaidia afya ya viungio
Uchunguzi unaonyesha kwamba collagen inayotokana na cartilage ya kuku ni bora katika kuboresha maumivu, ugumu na kazi ya pamoja kwa wagonjwa wenye osteoarthritis.

5.Inasaidia kuboresha usingizi
Asidi ya amino glycine, iliyopo kwenye mchuzi wa mfupa, ina kazi nyingi katika mwili ikiwa ni pamoja na kusaidia mifumo ya kulala yenye afya. Utafiti unaonyesha glycine ya chakula imethibitisha ufanisi katika kuboresha ubora wa usingizi wa wagonjwa wenye usingizi

Kwa ushauri zaid piga 0674 136 245

18/08/2023

TIBA YA ASILI KWA MAUMIVU YA VIUNGO (MGONGO, MAGOTI N.K)KUSAGANA BILA UPASUAJI
(0622138701)

ARTHROEXTRA NA ZAMINOCAL PLUS NI ZA ASILI HAZINA KEMIKALI, IMETHIBITISHWA NA TFDA

KWA NINI MIFUPA HUSAGANA KWENYE VIUNGO NA KULETA MAUMIVU MAKUBWA?

=>KICHWA CHA MFUPA KATIKA VIUNGO KIMEZUNGUKWA NA MFUPA LAINI UITWAO GEGEDU(CARTILAGE)
KAZI YA GEGEDU(CARTILAGE ) NI KUZUIA MFUPA USISAGANE NA MFUPA MWENZAKE KWENYE VIUNGO,
PIA KUNA UTE UTE (SYNOVIAL FLUID) AMBAO NI GRISI YA VIUNGO,,HUSAIDA KULAINISHA MJONGEO(MOVEMENT) NA KUSAIDIA VIUNGO VISISUGUANE.
UTEUTE NA GEGEDU KUISHA HUPELEKEA MAUNGIO KUSUGUANA NA KUPELEKEA YAFUATAYO.

1.maumivu makali Kwenye maungio
2.kupata ganzi hii mara nyingi ni Kwa watu ambao pingili za mgongo zinasagana
3.kuvimba Kwenye maungio hasa magoti
4.kushindwa kutembea
5.kisigino kuwaka moto

MADHARA YA VIUNGO KUSAGANA
a.KUPOOZA HASA SHIDA YA PINGILI
b.ULEMAVU

,kupata huduma piga 0622138701

24/07/2023

Tiba ya bawasiri kwa kutumia mitishamba asilia
(+255763219647)

JE, UNAJUA BAWASIRI NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe
# # # *CHANZO CHA TATIZO*
~chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷
👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO (CHOO KIGUMU)
👉MATATIZO YA UMRI
👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
👉UZITO KUPITA KIASI
👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU

# # # DALILI ZA BAWASIRI
👉Ngozi kuwasha katika eneo la haja kubwa
👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
👉kutokea uvimbe katika eneo la haja kubwa
👉kujitokeza kwa kinyama
👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana

*MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI*
👉kupata upungufu wa damu (anemia)
👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume.
👉kuathirika kisaikolojia
👉kukosa morali ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali
👉Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya UTUMBOCANCER) kwa sababu kile kinyama kinakaa K**a kidonda.,,

(TUMIA KIRUTUBISHO CHA ASILI KINACHOSAIDIA KUPAMBANA NA BAWASIRI,
IMETENGENEZWA KWA VIAMBATA VYA ASILI AMBAVYO NI JAMII YA MALIMAO NA MACHUNGWA (CITRUS FRUITS)
INAONDOA PRESHA KUBWA KWENYE MISHIPA YA DAMU YA SEHEMU YA HAJA KUBWA
PIA UTATUMIA NA VIRUTUBISHO KWA AJILI YA KUREKEBISHA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA.
HUONDOA MAUMIVU MAKALI NDANI YA MUDA MFUPI SANA,
HUKATA DAMU INAYOTOKA HARAKA,
HUREKEBISHA MMENG'ENYO WA CHAKULA.

HAINA KEMIKALI IMETHIBITISHWA NA MAMLAKA HUSIKA.

Piga (+255763219647) kupata huduma

Share na wengine pia like page yetu,,, pia tazama video hii hapa chini kwa maelekezo zaidi

FAIDA ZA CHIA SEEDS KIAFYATafiti zinaonesa kwamba unapotumia mbegu hizi mara kwa mara inaweza kuimarisha afya ya mwili w...
10/05/2023

FAIDA ZA CHIA SEEDS KIAFYA
Tafiti zinaonesa kwamba unapotumia mbegu hizi mara kwa mara inaweza kuimarisha afya ya mwili wako na kukukinga na magonjwa mbalimbali.
Zifuatazo ni faida za matumizi ya mbegu hizi.

1.KULAINISHA NGOZI NA KUPUNGUZA DALILI ZA UZEE (SKIN AND AGING)
Tafiti zinaonesha kwamba ndani ya mbegu hizi kuna kemikali zinazosaidia kupunguza makali ya radikali huru (free radicals) zinazotengenezwa mwilini mwetu na kuleta matatizo mbali mbali kwenye ngozi.Kemikali hizi zinajulikana k**a phenolic ant oxidants.Na kulingana na tafiti Mbegu za chia ndo chakula chenye ant oxidants nyingi kuliko vyakula vingine.
Soma makala ya utafiti huu hapa: UTAFITI KUHUSU MBEGU ZA CHIA

ANTOXIDANTS zinasaidia kutengeneza seli mpya za ngozi na kuondoa zile zilizokufa hivyo kuzuia ngozi kuharibika na kuwa na makunyanzi,Pia kutumia mbegu hizi inasadia kuepusha seli za ngozi kufa kabla ya muda wake kutokana na magonjwa.

2.MFUMO WA KUMENG'ENYA CHAKULA (Digestive system)
Mbegu za chia zina kiwango kikubwa cha Fibers. Kwa kijiko kimoja unapata 11gram za fibers.K**a tunavyojua fibers zinasaidia sana katika kumeng'enya chakula.
Pia Taasis ya Ugonjwa wa kisukari nchini marekani (AMERICAN DIABETIC ASSOSIATION), Na shirika la afya nchini Uingereza (NATIONAL HEALTH INSTITUTE) wanasema kuwa mbegu za chia zinasaidia kubalance kiwango cha sukari mwilini hivyo zina faida kwa wagonjwa wa kisukari.Kutokana na kiwango kikubwa cha fibers ambazo zinasaidia kongosho kuzalisha Insulin ya kutosha.
Mbegu hizi zina LINELONIC ACID ambayo inausaidia mwili kufyonza VITAMIN A,B,D na E kutoka kwenye vyakula.
Fibers pia zinasaidia kuimarisha kuta za utumbo Hivyo kusaidia kuondoa tatizo la kukosa choo au kupata choo kigumu sana (Constipation).
Mbegu hizi zinasaidia kupunguza uzito kwa watu wenye uzito uliopita kiasi kwani tafiti zinaonesha kwamba mbegu hizi ziwapo tumboni husharabu maji na kuvimba hvyo kumfanya mtu ajisikie ameshiba ndo maana tafiti zinasema mbegu za chia ni nzuri kuondoa njaa ( hunger suppresser) hivyo nzuri kwa watu walio katika program ya kupunguza uzito ( Diet)
Soma makala ya utafiti hapa : MBEGU ZA CHIA NA KUPUNGUZA UZITO

Itaendelea
piga 0674136245 Kwa USHAURI

FAIDA ZA KIAFYA ZABIBUUlaji wa zabibu katika mlo wako,una faida nyingi kiafya, zikiwemo.1.HUIMARISHA MIFUPAMadini ya sha...
03/05/2023

FAIDA ZA KIAFYA ZABIBU
Ulaji wa zabibu katika mlo wako,una faida nyingi kiafya, zikiwemo.

1.HUIMARISHA MIFUPA
Madini ya shaba,chuma na manganese yanapatikana kwa wingi
Katika zabibu,ambapo madini haya
ni sehemu ya kujenga mifupa imara na yenye afya. Kula zabibu mara kwa mara kunasaidia kupunguza kutokea kwa mifupa kulainika kutokana na umri pamoja na kuimarisha mifupa,madini hayo pia,husaidia mwili kufanya kazi vizuri.

2.Zabibu hupambana na magonjwa ya moyo

Zabibu huongeza nitric oxide katika damu,ambayo huzuia damu kuganda,husaidia kuzuia mafuta kujirundika/kujikusanya katika mishipa ya damu, na ina kampaundi za flavonoids aina ya resveratrol na quercretin ambazo husaidia kutoa sumu mwilini.
Yote haya husaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo,na shinikizo la damu.

3.Zabibu husafisha figo

Zabibu zina viondoa sumu ( antioxidant) ambazo husaidia kuondoa sumu (free radicals) kutoka kwenye figo,pia hupunguza tindikali ya wiki ( uric acid) kwakuongeza kiasi cha mkojo unaotengenezwa na figo

4.Kupunguza lehemu ( Cholesterol)
Zabibu zinaweza kupunguza lehemu kwenye damu.
Zina kampaundi k**a pterostilbene,ambazo zinadhaniwa kupunguza mafuta ya lehemu kwenye damu.

5.Kupunguza hatari ya kupata saratani
Kampaundi zinazopatikana katika zabibu k**a resveratrol,husaidia kuondoa sumu,zinazoweza kuleta saratani mwilini.Baadhi ya kampaundi nyongine huzuia seli za saratani kukua na kauzaliana
Zinaimarisha mfumo wa kinga ya mwili.

Piga 0674136245 Kwa ushauri zaidi afyayako806

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255674136245

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ijue.afyayako806 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Ijue.afyayako806:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram