Pure Afya care

Pure Afya care Afya uhimara na mchango katika kutoa nguvu (energy) ambayo inapelekea maendeleo katika jamii tibalishe zetu zina usalama kwa mtumiaji
karibu Sana......��

Njia Rahisi Ya Kutokomeza Harufu Mbaya Ukeni Ndani Ya Kipindi Kifupi.Hakuna kitu kinakera kwa wanawake k**a kutokwa na h...
18/06/2021

Njia Rahisi Ya Kutokomeza Harufu Mbaya Ukeni Ndani Ya Kipindi Kifupi.

Hakuna kitu kinakera kwa wanawake k**a kutokwa na harufu Mbaya ukeni

Tatizo hili limewafanya wanawake wengi kushindwa hata kujumuika na wenzao kwenye masherehe, harusini na hata misibani.

Mbaya Zaidi limewaondolea hari ya kujiamini kwa wenzao na kujiona k**a ni wanawake wasiokamilika.

Cha kusikitisha zaidi endapo tatizo hili litaambatana na uchafu kutoka ukeni, wengi wanashindwa kufurahia tendo la ndoa na hata kuhatarisha usalama wa mahusiano yao.

Kubwa Zaidi Wengi wamekuwa wakihangaika kupata Suruhu ya kudumu bila mafanikio.

Wengine wamekuwa wakipata tiba ya antibiotics hospitalini inayoua hata bakteria walinzi wanaolinda uke na ndomana baada ya Muda mfupi tatizo hujirudia tena.

K**a na wewe umekuwa ukihangaika kupata suluhu la hili tatizo

Basi Nina habari Nzuri kwako.

Nimekuandalia Video Maalum itakayokuonyesha njia rahisi na salama hatua kwa hatua jinsi ya kutokomeza tatizo hili kwa kipindi kifupi tu, hata k**a ushahangaika kwa muda mrefu bila mafanikio.

Na hii Video Nitakutumia kwenye WhatsApp yako.

Ili kupata video hii Sasahivi kwa urahisi save hii namba 0683428309 (Born Health Medical) kwenye simu yako kisha tuma ujumbe WhatsApp (Video) na utatumiwa video yote Bila gharama yeyote.

P.S Tangazo hili halitokuwepo hewani Muda wote, Ili upate njia rahisi na salama ya kutokomeza tatizo la harufu ukeni Sasahivi Save namba hii 0683428309(Born Health Medical)kwenye simu yako Kisha tuma ujumbe WhatsApp (Video) na utatumiwa video mala moja.!

Au Piga Simu 0683428309

🛑 *UJUE UGONJWA WA P.I.D*Tuma neno video baada ya kusoma maelezo haya hapa chini kupitia namba 0683428309.Maambukizi kat...
18/06/2021

🛑 *UJUE UGONJWA WA P.I.D*
Tuma neno video baada ya kusoma maelezo haya hapa chini kupitia namba 0683428309.

Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases au kwa kifupi PID, ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake. Kwa kawaida maambukizi haya huusisha shingo ya uzazi (cervix) hali ambayo hujulikana k**a cervicitis, nyama ya mfuko wa uzazi (endometrium) ambayo kitaalamu huitwa endometritis, na mirija ya uzazi (fallopian tubes) hali ijulikanayo kitabibu k**a salpingitis.

*_PID husababishwa na nini?_*

Pamoja na aina kadhaa za vimelea kuhusishwa na PID, vimelea vya jamii ya Neisseria Gonorrhoeae pamoja na Chlamydia trachomatis ndivyo vinavyoongoza kwa umaarufu zaidi katika kusababisha PID kwa akina mama.

*Je mwanamke huambukizwaje PID?*

Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na

✅Kufanya ngono isiyo salama.

✅Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara baada ya kujifungua (au postpartum period)

✅Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post abortion) au mara baada ya mimba kutoka (miscarriage)

✅Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi (IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa mpango.

✅Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya PID.

*Dalili za PID ni zipi?*

Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID. Miongoni mwa dalili hizi ni :-

✅Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu

✅Kupata maumivu ya mgongo.

✅Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za siri. Utoko huu huambatana na harufu mbaya.

✅Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa.

✅Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa.

✅Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi.

✅Kupata homa.

✅Wakati fulani kuhisi kichefuchefu na
Pia kutapika.
K**a una dalili hizo hapo juu tuma neno video kupitia namba
hii 0683248309 utatumiwa video ya kuondoa tatizo hilo la PID

⏩Ugonjwa huu wa Pelvic Inflammatory Diseases *P.I.D* unakuwa kwa Kasi kubwa na baadhi ya wanawake hupata madhara makubwa baadae hususani Ugumba kutokana na kupuuzia matibabu. Ikiwa unaona dalili tajwa hapo juu jitahidi kuanza matibabu taratibu kabla haujapata madhara ambayo yanaweza kugharimu Maisha yako kwa ujumla.
✍🏿✍🏿✍🏿✍🏿✍🏿✍🏿✍🏿✍🏿
*MUWE NA SIKU ILIYO NJEMA NYOTE, JIKINGE NA P.I.D epuka UGUMBA*

Address

Temeke
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pure Afya care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram