Afya yako na Ivan Mligo

Afya yako na Ivan Mligo Tunasaidia kutatua changamoto za afya kwa kutumia virutubisho lishe 0782433376

Okoa uhai wa ngozi yako na kuifanya  iwe bora muda wote 0782 433 376
15/08/2023

Okoa uhai wa ngozi yako na kuifanya iwe bora muda wote 0782 433 376

14/08/2023
Presha ni ugonjwa unaosumbua mamilioni ya watu siku za leo,Ugonjwa huu umegawanyika katika aina mbili yaani presha ya ku...
14/08/2023

Presha ni ugonjwa unaosumbua mamilioni ya watu siku za leo,

Ugonjwa huu umegawanyika katika aina mbili yaani presha ya kupanda na ya kushuka

Leo tuangalie presha ya kupanda

Hii hutokea pale presha ya damu inapokuwa juu ya kiwango chake cha kawaida yaani 120/80 na inakuwa hatari zaidi inapozidi 140/90

DALILI ZA PRESHA YA KUPANDA
🔹Mapigo ya moyo kwenda haraka
🔹Kupumua kwa shida
🔹Kichwa kuuma sana mara kwa mara
🔹Kuishiwa nguvu
🔹Kutokwa jasho jingi

BAADHI YA VISABABISHI
🔺Mawazo mengi yasiyoisha
🔺Unene
🔺Kutofanya mazoezi au kufanya mazoezi kupita kiasi
🔺Kula vyakula vyenye chumvi nyingi
🔺Umri mkubwa
🔺Uvutaji sigara na unywaji pombe
🔺Kurithi
🔺Kuwa na magonjwa sugu k**a kisukari n.k

💠Habari njema ni hii presha ya kupanda inatibika kabisa.Hata k**a umeteseka kwa muda mrefu sasa unaweza kupona kabisa.

Watu wengi wamejikuta kwenye madhara makubwa baada ya kudharau dalili za kwanza ama wengine kuona ni ugonjwa wao wa maisha na kuendelea kutuliza badala ya kutibu

Usichukulie poa ugonjwa huu unasababisha vingi tena vya ghafla

Ugonjwa huu umepewa jina la silent killer kutokana na kasi yake ya kuuwa watu wengi kwa namna isiyowashtusha watu

K**a unataka kupona ugonjwa huu piga 0782 433 376 sasa kupata tiba

au kupata ratiba ya kuonana mtaalam changamoto hiyo kwa wakazi wa Dar es Salaam

Habari njema kutoka kitengo cha tiba ya virutubisho lishe( afya yako na ivan) kwa wagonjwa wa changamoto zilizoorodheshw...
31/07/2023

Habari njema kutoka kitengo cha tiba ya virutubisho lishe( afya yako na ivan) kwa wagonjwa wa changamoto zilizoorodheshwa kwenye tangazo.

Timu yetu ya wataalam kwa kufahamu na kuzingatia ukubwa wa gharama wa changamoto hizi,usumbufu wa upatikanaji tiba sahihi na uzito wa madhara ya baadae yanayosababishwa na changamoto hizi, imeamua kutoa ofa ya punguzo la gharama za matibabu ili kuwasaidia na kuwatia moyo wenye changamoto hizi kuchukua hatua za haraka na za uhakika kushughulikia changamoto walizonazo

K**a unasumbuliwa na changamtoto yoyote chukua hatua sasa ili upate matibabu sahihi kwa ofa ya punguzo la gharama za matibabu kwa kupiga simu 0782 433 376

Ofa hii inaisha 31/08/23 ama inaweza kuisha mapema k**a package ya ofa itawai kuisha

Package iliyotengwa kwa ajili ya ofa inaweza kuisha muda wowote kwa hiyo atakayewai ndiye atakayebahatika kupata

Dozi zetu zinaanzia miezi mitatu na atakayechukua dozi atapata punguzo la asilimia.10% ya gharama zote na atakayechukua kwa awamu atapata punguzo la asilimia 10% kwa gharama ya kifurushi cha mwisho.

Kwa waliopo Dar es Salaam wanaweza kufika ofisini kwetu Ilala Boma kwenye jengo la Mwalimu House(usisahau tunaonana na wagonjwa kwa taarifa maalum)piga simu 0782 433 376 ili upate ratiba ya kuonana na wataalam wetu wa tiba bila usumbufu

Kwa waliopo mikoani piga simu 0782 433 376 ili kupata matibabu kwa haraka na uhakika

Tiba zetu ni za uhakika karibu tukuhudumie urejeshe tumaini,furaha na amani

Sisi tunajali afya yako,je ,wewe?

CHANGAMOTO ZA MGONGOLeo tujifunze kwa ufupi kuhusu changamoto za mgongoMGONGO🔺Umeshik**ana kwenye uti wa mgongo ambao un...
15/07/2023

CHANGAMOTO ZA MGONGO

Leo tujifunze kwa ufupi kuhusu changamoto za mgongo

MGONGO
🔺Umeshik**ana kwenye uti wa mgongo ambao unaundwa na pingili ndogo ndogo za uti wa mgongo

🔺Kati ya pingili na pingili ya uti wa mgongo kuna disc ambayo inaitwa cartilage(gegedu)

🔺Hiyo disc ndani yake kuna ute ute ambao husaidia mjongeo wa mgongo

👉Hiyo disc kazi yake kubwa ni kuzuia pingili zisisagane kwenye uti wa mgongo
👉JE,UNAJUA SABABU ZA PINGILI KUSAGIKA,DALILI NA ATHARI ZAKE
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
FUATILIA SEHEMU INAYOFUATA

Inawezekana kuwa wewe ni miongoni wenye matatizo haya ya         ,basi nikushauri sasa kuanza tiba ya uhakika mara moja ...
15/07/2023

Inawezekana kuwa wewe ni miongoni wenye matatizo haya ya ,basi nikushauri sasa kuanza tiba ya uhakika mara moja kwa kutumia dawa zetu za virutubisho lishe.

Tiba hii ni ya uhakika na salama kwa afya yako
Piga simu sasa au tuma msg sasa kwa maelezo zaidi au kupata tiba na ushauri
#0782433376

Usisahau kucoment,kushare na kulike

Je,unasumbuliwa na ganzi au miguu au mikono kuwaka moto au tatizo la kutokuona vizuri?👉Je,unajua sababu ya hali hiyo na ...
06/07/2023

Je,unasumbuliwa na ganzi au miguu au mikono kuwaka moto au tatizo la kutokuona vizuri?

👉Je,unajua sababu ya hali hiyo na madhara yake k**a hali hiyo itaendelea kwa muda mrefu?

👉Haya ni mojawapo ya changamoto zinazohusiana na mfumo wa damu,na hasa ujitokeza pale mishipa midogo ya sehemu husika kushindwa kupeleka damu kwenye hilo eneo au pia pale misuli ya eneo hilo inapoathirika kwa namna yoyote ile inaweza kupelekea tatizo hilo linaloweza kusababisha madhara mengine katika mwili
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
🔷Kwa tiba na ushauri
👉0782 433376

Follow this link to join my WhatsApp group:
04/07/2023

Follow this link to join my WhatsApp group:

WhatsApp Group Invite

UTI sugu huathiri mfumo wa uzazi wa mwanaume na mwanamke❌ Je,unasumbuliwa na UTI mara kwa mara?🔷Pata suluhisho sasa usis...
04/07/2023

UTI sugu huathiri mfumo wa uzazi wa mwanaume na mwanamke
❌ Je,unasumbuliwa na UTI mara kwa mara?
🔷Pata suluhisho sasa usisubiri kuathirika kwa mfumo wako wa uzazi 0782433376

Je,unajua madhara makubwa ya kupata choo kigumu,?👉Moja ya madhara yake ni kupata bawairi itakayopelekea kuingia kwenye g...
01/07/2023

Je,unajua madhara makubwa ya kupata choo kigumu,?

👉Moja ya madhara yake ni kupata bawairi itakayopelekea kuingia kwenye gharama kubwa za matibabu au hata kufanyiwa upasuaji
👉K**a unashida hii tafuta suluhisho mapema0782433376

Tupo hapa kwa ajili ya kuhakikisha tunakusaidia kuondokana na changamoto yako.Hata k**aumeangaika kwa muda bila mafaniki...
27/06/2023

Tupo hapa kwa ajili ya kuhakikisha tunakusaidia kuondokana na changamoto yako.Hata k**aumeangaika kwa muda bila mafanikio,sasa nikuhakikishie kupata majibu kupitia tiba ya virutubisho lishe.Pia tunatoa ushauri wa afya bure.Asante kwa kutuamini na kutupa dhamana ya kukuhudumia

23/06/2023

Majibu ya changamoto yako yamepatikana.Wasiliana nasi sasa

22/06/2023

Wekeza kwenye afya kwa ustawi wa mafanikio yako

22/06/2023

Utatuzi wa changamoto zako za kiafya umepatikana kwa kitumia tiba ya virutubisho lishe.Dawa zisizo na kemikali ya aina yoyote.Endelea kufuatilia ukurasa huu

Wekeza kwenye afya kwa ustawi wa mafanikio yako👉Karibu tuwasiliane kwa tiba bora kabisa ya virutubisho lishe 0782 433 37...
20/06/2023

Wekeza kwenye afya kwa ustawi wa mafanikio yako
👉Karibu tuwasiliane kwa tiba bora kabisa ya virutubisho lishe 0782 433 376

       #0782433376
15/06/2023

#0782433376

Tatua changamoto ya uzazi kwa kutumia virutubisho lishe 0782433376
12/06/2023

Tatua changamoto ya uzazi kwa kutumia virutubisho lishe 0782433376

#0782 433 376

Ushauri wa bure👉Tumia bamia kwa wingi ikusaidie kuepuka tatizo la bawasiri👉Bamia inasaidia kwa wagonjwa vidonda vya tumb...
10/06/2023

Ushauri wa bure

👉Tumia bamia kwa wingi ikusaidie kuepuka tatizo la bawasiri
👉Bamia inasaidia kwa wagonjwa vidonda vya tumbo
👉Pia inasaidia kukuepusha na saratani hasa inayotokana na tatizo la vidonda vya tumbo
👉Inasaidia kwa watu wenye matatizo ya gesi mara kwa mara
👉Kwa wanaume inasaidia kuongeza nguvu za kiume
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Kwa ushauri zaidi kuhusu afya yako
Piga 0782 433 376/0654 292 272/0757 362 272

Tatua changamoto za afya kwa kutumia virutubisho lishe(tiba isiyo na kemikali)0782 433 376
03/06/2023

Tatua changamoto za afya kwa kutumia virutubisho lishe(tiba isiyo na kemikali)0782 433 376

#0782433376

   #0782433376
01/06/2023

#0782433376

    #0782433376
24/05/2023

#0782433376

     #0782433376
24/05/2023

#0782433376

Watch, follow, and discover more trending content.

Pata suluhisho kupitia virutubisho lishe #0782433376
24/05/2023

Pata suluhisho kupitia virutubisho lishe #0782433376

21/05/2023

See Instagram 'Highlights' highlights from afyayako na ivan1 ()

20/05/2023
      #0782 433 376
17/05/2023

#0782 433 376

ivanmligo's short video with ♬ Niwe Baraka

Address

Ilala
Dar Es Salaam

Telephone

+255782433376

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya yako na Ivan Mligo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya yako na Ivan Mligo:

Videos

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Other Medical & Health in Dar es Salaam

Show All

You may also like