AKRAM Pharmacies

  • Home
  • AKRAM Pharmacies

AKRAM Pharmacies Health Services

26/04/2022
Karibu tukuhudumie.
30/03/2022

Karibu tukuhudumie.

UGOJWA WA P.I.D  Pelvic Inflammatory Disease Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hi...
24/03/2022

UGOJWA WA P.I.D
Pelvic Inflammatory Disease
Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:-

Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivy wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi. Kadhalika ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua. Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms na kufanya ngono zembe.

DALILI ZA UGONJWA WA PID
• Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
• Kuwashwa sehemu za siri
• Uke kutoa harufu mbaya
• Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
• Uke kuwa wa ulaini sana
• Maumivu wakati wa tendo la ndoa
• Kuvurugika Kwa hedhi
• Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
• Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa
• Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula

MADHARA YA PID
•Ugumba
•Kansa ya shingo ya kizazi
•Mirija ya uzazi kuziba
•Majeraha kwenye mirija ya uzazi.

Address


Telephone

+255765170127

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AKRAM Pharmacies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AKRAM Pharmacies:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram