Health care and nutrition

Health care and nutrition Kinga ni bora kuliko tiba

19/11/2023

MWANAUME KUWA IMARA

Jinsi Ya Kuzuia Tatizo La Kuwahi Kileleni Na Jogoo Kusimama Legelege Kwa Kutumia Virutubisho Lishe...!!

K**a wewe upo miongoni mwa wale ambao wamesumbuka sana na tatizo la kuwahi kufika kileleni , Kisha baada ya hapo unakosa kabisa hamu ya kuendelea au unatamani kuendelea lakini jogoo wako anakuwa legelege au kutokuwika kabisa...

Njoo nikufundishe njia sahihi kwa kukupatia elimu , ushauri na suluhisho la hiyo changamoto kwa kutumia Virutubisho , Acha kutumia madawa kwasababu unazidi kujiongezea tatizo na hupati matokeo ya kudumu

Kupata elimu hii Tuma ujumbe neno ELIMU YA AFYA kwenda namba 0627132160

14/11/2023

FAHAMU UKWELI KUHUSU TENDO LA NDOA

Unapojigundua kuwa huwezi kushiriki tendo la ndoa kikamilifu huwa unahangaika sana kutumia madawa bila kujua chanzo cha tatizo lako na dawa unayotumia kazi yake ni ipi haswa!

Sababu hasa zinazofanya uanze kutumia dawa ni kwasababu, unawahi sana kufika kileleni, au mashine kusimama legelege baada ya round ya kwanza muda mwingine haisimami kabisa na hili jambo linakunyima usingizi kabisa 😂

Ila nikwambie jambo ambalo wengi niliwaambia wakanisikiliza unapotumia dawa huwezi kupata matokeo ya kudumu ndo pale unakuta unafanya tendo bila kufika kileleni hadi mwenzio anachoka na wewe upo hoi, sasa hayo ni mapenzi au kukomoana tu!? 😀😂

Sasa njia sahihi ya kuweza kushiriki tendo kikamilifu na wote mkafurahia pamoja, nimekuandalia elimu fupi ambayo ntakuelezea utumie vitu gani ili uweze kuwa mwanaume wa shoka 😃💪

Nitatoa Nafasi 12 leo kuwapa njia watu Watatu kujuwa namna gani wanakuwa imara cha kufanya Tuma ujumbe neno ELIMU YA AFYA sasa hivi kwenda WhatsApp 0688880966 kuweza kujiweka kwenye nafasi ya elimu hii.

01/06/2023

Habari za muda huu ndugu!

Naitwa Dr zaharia
Napatikana hapa, Dodoma

Nafahamu hatufahamiani, Ila naamini huu ujumbe ninao taka kushare nawe unakufaa sana kwasababu wewe ni mtu sahihi kuupata.

Binafsi Ni mshauri masuala ya Afya na virutubisho mbadala.

INAWEZEKANA KUWA NI WEWE AU MTU WAKO WA KARIBU ANAPAPITIA HALI HII NITAYOIELEZEA
Unajua mfumo wetu wa maisha ambao tunaishi sasa, unachangia Sana watu kuwa na changamoto nyingi za kiafya.

Kwa kutambua hilo, tumekuandalia program nzuri ya Virutubisho ambayo inasaidia kuwa na Afya Njema, katika:

1. Mmeng'enyo wa chakula ( Choo kigumu, vimbe, muwasho na maumivu wakati wa haja kubwa)

2.Afya ya Mzunguko wa Damu.(Pressure ya kupanda au kushuka, Kupooza/Stroke)

3. Uzito uliopitiliza (kitambi,nyamauzembe)

4. Kuboresha tendo la ndoa kuwa vizuri zaidi kwa Wanawake na Wanaume. (NGUVU ZA KIUME)

5.Magonjwa yasiyo ya kuambukiza: Tezi Dume Kisukari Presha Vidonda vya tumbo nk

6.Afya ya Mama na Mtoto.- Hamu ya kula.- Hedhi isiyo na Maumivu - Uzito uliopitiliza. - Vimbe za uzazi nk

7.Kwa kuzingatia ubora na manufaa, virutubisho lishe hivi, vimeandaliwa vyema hivyo hutumiwa na watu wa jamii zote.

NB: Virutubisho hivi, vinatumiwa na mtu yeyote, mwenye tatizo na asiye na tatizo.

Je ungependa nikupe ufafanuzi zaidi virutubisho vinavyosaidia nini kati ya hivyo nilivyo vitaja!?
Je unahitaji msaada zaidi
Wasiliana nami kupitia namba 0627132160

17/05/2023

Maumivu ya MGONGO na KIUNO , yanawatesa watu wengi sana. Na Kwa wanaume ambao wanakabiliwa na tatzo Hilo la Kiuno na mgongo inawapelekea kupoteza hadi NGUVU za kiume. Na hii ni kwa sababu mhimili wa stamina na nguvu za MWANAUME unategemea Uti wa mgongo na kiuno. Hii ELIMU wanaume wengi hawaijui, mwisho wa siku wanateseka kutafuta Tiba ya nguvu za kiume Bila kujua Umuhimu wa kutatua kiini cha tatzo kwanza. My friend K**a ulipiga PUNYETO kwenye ujana wako, tegemea haya matatizo ya mgongo na viuno ni swala la muda tu. JIIMARISHE MAPEMA , KINGA NI BORA KULIKO TIBA. Karibu usaidiwe 🤝
Piga simu kwa namba zetu 0627132160

JE NINI KIFANYIKE ILI KUBORESHA AFYA KUPITIA VYAKULATunatakiwa kula vyakula salama na kulingana na mahitaji ya mwili wak...
03/04/2023

JE NINI KIFANYIKE ILI KUBORESHA AFYA KUPITIA VYAKULA
Tunatakiwa kula vyakula salama na kulingana na mahitaji ya mwili wako na pia uwe na elimu sahihi ya vyakula
Mfano vyakula vya protin ni vipi na je kazi yake nini mwilini
Vyakula vya Wanga ni vipi na pia kazi yake nini mwilini
Vyakula vya mafuta ni vipi na kazi yake mwilin
Vyakula vya Madini ni vipi na Kaz yake ni nini mwilini
Yote haya ukiyazingatia utaweka afya vzur na kwa usalama kabisa

Hili ni darasa la leo kesho tutaanza kuchambua aina ya vyakula na kazi zake mwilini
Muwe na siku njema
Zingatia na kuwa Makin kusoma ili usipitwe na somo nmeanza mbal ili tujue kiundan kwann changamoto ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza yamekuwa mengi Zaidi mfano saratani na nguvu za kiume hivyo hakikisha unasoma

Kwa kutaka elimu zaidi bofya link

WhatsApp Group Invite

03/04/2023

SOMO LA AFYA KIUJUMLA

Nini maana ya Afya
Afya ni hali ya kuwa mzima kimwil na Kiakili. Mtu anaweza kuwa mzima kimwil lakn kiakl asiwe mzma au kuambiwa hayupo salama kwa maana hayupo Sawa

Mtu ambae mweny afya nzuri ni mzima kimwil na Kiakili, na pia ndan ya mwili wa binadam Kuna mfumo ambao husaidia kupambana na magonjwa mbali mbal mfano mfumo wa sell Kaz yake kupambana na vijidudu vinavyoshambulia mwili na kupambana na sumu

Kinga za mwili zinaweza kutengenezwa zenyewe au kuzipata kupitia chanjo au virutubisho lishe mbali mbali mfano protein, vitamin, Carbohydrates, fats n. K

KUNA MAMBO MBALI MBALI AMBAYO YANAPELEKEA KUATHIRI AFYA

Mambo haya muhimu yapo matano
1.VYAKULA
2.SHUGHULI ZA KILA SIKU
3.MAZINGIRA
4.TABIA NA MAZOEA
5.VIZAZ, FAMILIA AU KURITHI (GENETICS)

TUKIANZA NA VYAKULA
Vyakula ndio chanzo kikubwa cha kusababisha maradhi au kupunguza maradhi mwilini, magonjwa mengi husababishwa na ulaji wa vyakula, tunakula hatuzingatii ulaji mzur na wenye mpangilio
Je tunapokosea kula mlo wenye mpangilio mzur lazma kuleta baadhi ya maradhi au magonjwa mwilini mfano saratani ( kutokana na vyakula vimejaa kemikal)
Kisukar, shinikizo la damu (kutokana na mafuta ya viwandani)
Kwashakoo, utapiamlo n. K

Haya yote hutokana na kutozingatia ulaji mzur na mpangilio wa lishe

JE NINI KIFANYIKE ILI KUBORESHA AFYA KUPITIA VYAKULA
Tunatakiwa kula vyakula salama na kulingana na mahitaji ya mwili wako na pia uwe na elimu sahihi ya vyakula
Mfano vyakula vya protin ni vipi na je kazi yake nini mwilini
Vyakula vya Wanga ni vipi na pia kazi yake nini mwilini
Vyakula vya mafuta

25/03/2023

Habari za muda huu ndugu!

Naitwa Dr fatuma,
Napatikana hapa, Dar es salaam jirani na Mwananyamala hospital

Nafahamu hatufahamiani, Ila naamini huu ujumbe ninao taka kushare nawe unakufaa sana kwasababu wewe ni mtu sahihi kuupata.

Binafsi Ni mshauri masuala ya Afya na virutubisho mbadala.

INAWEZEKANA KUWA NI WEWE AU MTU WAKO WA KARIBU ANAPAPITIA HALI HII NITAYOIELEZEA
Unajua mfumo wetu wa maisha ambao tunaishi sasa, unachangia Sana watu kuwa na changamoto nyingi za kiafya.

Kwa kutambua hilo, tumekuandalia program nzuri ya Virutubisho ambayo inasaidia kuwa na Afya Njema, katika:

1.Mmeng'enyo wa Chakula. (Choo ngumu, Vimbe, Miwasho na Maumivu wakati wa haja kubwa)

2.Afya ya Mzunguko wa Damu.(Pressure ya kupanda au kushuka, Kupooza/Stroke)

3. Uzito uliopitiliza (kitambi,nyamauzembe)

4. Kuboresha tendo la ndoa kuwa vizuri zaidi kwa Wanawake na Wanaume. (NGUVU ZA KIUME)

5.Magonjwa yasiyo ya kuambukiza: Tezi Dume Kisukari Presha Vidonda vya tumbo nk

6.Afya ya Mama na Mtoto.- Hamu ya kula.- Hedhi isiyo na Maumivu - Uzito uliopitiliza. - Vimbe za uzazi nk

7.Kwa kuzingatia ubora na manufaa, virutubisho lishe hivi, vimeandaliwa vyema hivyo hutumiwa na watu wa jamii zote.

NB: Virutubisho hivi, vinatumiwa na mtu yeyote, mwenye tatizo na asiye na tatizo.

Je ungependa nikupe ufafanuzi zaidi virutubisho vinavyosaidia nini kati ya hivyo nilivyo vitaja!?
Je unahitaji msaada zaidi
Wasiliana nami kupitia namba 0627132160

21/03/2023

DALILI ZINAZOONYESHA KWAMBA MWANAUME AMEPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME

1️⃣Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usingizi.

2️⃣Sehemu za Siri Zinasinyaa taratibu baada ya goli moja.

3️⃣Mwili unahisi ganzi pamoja na sehemu za Siri.

4️⃣Hamu inakata ghafla Mara baada ya kutoa Manii ,ule uchangamfu unapotea kabisa.

5️⃣Nyeti zinasimama Vizuri Lakini ukitaka kuingiza kwa mwanamke Zinasinyaa .Hapa Wengi huhisi kwamba Wamerogwa Lakini ukweli Ni Kwamba hawajarogwa.

6️⃣Kupoteza hamu ya tendo la ndoa.

7️⃣kushindwa kurudia Mara ya Pili .unakuta ukishatoa Goli Mara Moja, Basi mashine inakata Moto haisimami Tena hata ufanyeje inazidi kulala.

8️⃣Mashine kulala Ndani ya Nyeti Za Mwanamke,unakuta upo katika ya Game ,mzigo unalala ghafla na kulegea Ndani kwa Ndani.

Tuwasiliane K**a una dalili tajwa hapo juu. Nitakusaidia Nitakupatia Matibabu Utapona Kabisa Hali Yako Itakuwa Nzuri K**a Mwanzoni.

Kwa ushauli, Elimu, Suluhisho la kudumu la upungufu wa nguvu za kiume
tuma ujumbe whatsapp andika 👇

(NGUVU ZA KIUME) Utapata huduma haraka

Piga/WhatsApp
0627132160

18/01/2023

*MWANAUME EPUKA AIBU YA KUWAHI KUFIKA KILELENI, ANZA TIBA SASA
Cheza dakika 90 wakati wa tendo la ndoa bila kuchoka mapema .

*CHANZO CHA KUWAHI KUFIKA KILELENI.*
1. Kujichua /kupiga punyeto
2.Kusinyaa/ kulegea kwa uume.
3.Msongo wa mawazo
4.Upungufu wa nguvu za kiume.
5.Uoga /kutokujiamini
6.Upungufu wa madini ya zink
7. Kutokufanya mazoezi
8.Matatizo/ changamoto za afya. Mfano vidonda vya tumbo,kisukari,tezi dume, bawasili,magonjwa ya moyo n.K

*FAIDA ZA KUTUMIA TIBA ZA VIRUTUBISHO LISHE.*Huondoa tatizo la kuwahi kufika kileleni.Kuongeza uzalishaji wa mbegu za kiume.Kuondoa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.Huondoa tatizo la kolodani kupanda juu.Kuondoa tatizo la hormon imbalance kwa mwanaume.Kuongeza na kuimarisha milija ya uume.Kuupa nguvu misuli ya pelvicKuepuka kusinyaa kwa uume wakati wa tendo la ndoa.Kusafisha kibofu cha mkojo.Kuzuia kolodani kuvimba .Kuzuia na kutibu maambukiz kwenye uzazi wa mwanaume k**a vile UTI na FANGASI.
Tuma neno BORESHA AFYA KWENDA WhatsApp namba 0627132160

WANAUME WENGI HAWAIJUI KUHUSU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME... Ukweli ni kwamba upungufu wa nguvu za kiume siyo ugonjwa k**...
11/01/2023

WANAUME WENGI HAWAIJUI KUHUSU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME...

Ukweli ni kwamba upungufu wa nguvu za kiume siyo ugonjwa k**a wengi wanavyofahamu , ila ni dalili tu , ambapo mwili hukujulisha kuwa mwili wako una dosari au kuna udhaifu wa kiutendaji ndani ya mwili wako.

Kuna sababu takribani nying ambazo zinazompelekea mwanaume kuwa na changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume.
wanaume wengi wanapo pungukiwa nguvu za kiume hukimbilia kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume na siyo kutibu, hili ni kosa kubwa sana, ni kosa kubwa kukurupuka kubugia dawa za nguvu za kiume bila kujua chanzo cha tatizo na bila kujua hiyo dawa inakwenda kutibu tatizo gani.

kwa njia hiyo utateseka miaka nenda miaka rudi hauto kaa upone. Upungufu wa nguvu za kiume lazima utibiwe, kwa kuanzia chanzo cha tatizo kwa maana ya kwamba mzizi wa tatizo sharti ung'olewe kwanza. mathalani k**a tatizo ni la homoni ijulikane kwanza k**a ni tatizo la tezi ijulikane, k**a ni moyo ijulikane kwanza, k**a ni kisaikolojia ijulikane kwanza.
Kisha matibabu sahihi yaelekezwe katika maeneo husika, Watu wengi wanaelewa kimakosa sana, ndiyo maana hata matibabu yamekuwa ni tatizo kubwa sana, k**a unahisi una dalili za upungufu wa nguvu za kiume ni bora uwahi mapema hospital ukapime ili kubaini chanzo cha tatizo kwanza.

Kwa ushauri zaidi wasiliana nami kwa kutuma ujumbe neno "AFYA YA MWANAUME" kwenda WhatsApp number +255 627132160 au piga simu moja kwa moja.

Address

Kinondoni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Health care and nutrition posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram