Afya clinic

Afya clinic Ukurasa huu nikwa ajili ya kutoa msaada wa kimatibabu na ushauri kuhusu afya yako

Usichukulie poa wahi mapema tatizo likiwa bado linatibika
23/03/2022

Usichukulie poa wahi mapema tatizo likiwa bado linatibika

P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nya...
11/12/2021

P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS)

🎈VYANZO VYA MARADHI YA PID🎈
01 :Kupitia Ngono zembe
02:kuwa na wa penzi zaidi Ya mmoja
03:kufanya mapenzi bila kutumia Condom
04:Kupitia magonjwa ya zinaa hasa kaswende na kisonono
05:Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara
06:kuweka vitu ukeni kufanya uke ubane au upendeze kumvutia mpenz wako
07:utoaji wa mimba Sambamba na kutosafishwa vuzuri
08:matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango mfano kijiti, sindano pamoja na vidonge
09:UTI Sugu

🎯DALILI YA MARADHI YA PID🎯
👉Miwasho ukeni
👉Kutokwa na Uchafu ukeni
👉kutoa uchafu ulio na Harufu
👉Mvurugiko wa Siku za Hedhi
👉Mimba Kuharibika
👉Kuchelewa Kushika Mimba
👉Maumivu makali chini Ya kitovu, au kiunoni unapoingia Siku za Hedhi
👉Homa na Kukos Hamu Ya kula
👉UTI sugu

💥ADHARI YA PID💥
🌻ughumba
🌻saratani Ya Shingo Ya kizazi

PID INATIBIKA 100% Karibu kupata Huduma zetu,
Wasiliana Nasi kupitia namba zifuatazo ☎️0784542540

Tusichukilie poa huu ugonjwa jamanKaribu nikupatie suluhisho0784542540
01/12/2021

Tusichukilie poa huu ugonjwa jaman
Karibu nikupatie suluhisho
0784542540

02/11/2021

Pata Elimu ya kujikinga na Tiha sahihi i Dhidi ya maradhi ya
Harufu mbaya na uchafu ukeni
UTI sugu
Maumivu chini ya kitovu
Kuharibika kwa mimba n.k

Bonyeza link hapo chini👇👇👇👇

https://chat.whatsapp.com/H96mIEmJHZ53543aSlGUH7

31/10/2021

▶️JE,UNAJUA KWAMBA P.I.D INAPONA KABISA?

👉Pelvic Inflammatory Disease
Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:-

👉Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivyo wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi. Kadhalika ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua. Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms na kufanya ngono zembe.

🔴DALILI ZA UGONJWA WA PID
1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
2️⃣Kuwashwa sehemu za siri
3️⃣Uke kutoa harufu mbaya
4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5️⃣Uke kuwa wa ulaini sana
6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi
8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa
🔟Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula

🔴MADHARA YA PID
🔸Ugumba
🔸Kansa ya shingo ya kizazi
🔸Mirija ya uzazi kuziba
🔸Majeraha kwenye mirija ya uzazi na kuharibika kabisa.

inatibika na kupona kabisa

25/10/2021

Imani nikitu kikubwa sana JIAMINI amini katika Jambo unalolifanya na amini katika ndoto zako ulizonazo kua zinawezekana itakupa nguvu yaziada yakufanyia kazi kwa bidii Sana na ubunifu zaidi amini kua mungu anakusudi kuu lawewe kua hapa duniani nakusudi lake niushindi sio kashindwa🙏🙏

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam

Telephone

+255784542540

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya clinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram