12/11/2025
Kwa wengi, ni rahisi kupuuza umuhimu wa uchunguzi wa macho mara kwa mara hadi tatizo linapotokea. Mara nyingi tunatenga muda wa chughuza Afya ya Macho tunapohisi tatizo la kutoona vizuri, ukavu na adha machoni au maumivu ya macho au kichwa. Ukisubiri mpaka
upate dalili hizi unaweza kuwa umeshapata hitilafu ya macho ambayo ingeweza kuzuilika;
Hudhuria Kliniki ya Macho ya Hans Mgaya Hospital kwa uchunguza wa mapema uepuka madhara yasiyotibika pamoja na upovu usiyo walazima.H.M Hospital tunatoa ushauri wa kina kabla ya kutoa matibabu.
Kuwa na afya njema zingatia lishe bora wakati wote.
Kwa uchunguzi na matibabu, Fika H.M
Hospital au wasiliana nasi kwa namba 0748053303
kwa maelezo zaidi .