20/10/2019
JE, WAJUA CHANZO, DALILI ZA MADHARA YA KUKOSA CHOO(CONSTIPATION)? Je, kukosa choo ni nini?
Kukosa choo maana yake ni kutokuwa na uwezo wa kwenda haja kubwa kutokana na kinyesi kukusanyikana sehemu moja tumboni na kuwa kigumu na kushindwa kutoka. Nahili tatizo kwa wanaume huweza kusababisha hata matatizo kwenye mfumo wa uzazi yaani kukosa nguvu za kiume endapo tatizo litaendelea
Kwa kawaida kinyesi tumboni kinapaswa kutoka kila siku kila baada ya kupata mlo, iwe ni mlo wa asubuhi, mchana au jioni. Hivyo, kila mtu anapaswa apate choo mara 2-3 kila siku. Lakini hali hii inapokosekana, vitu vibaya au vichafu pia huanza kusafiri taratibu na kuingia katika utumbo mpana. Utoaji kinyesi huwa wenye maumivu sana pindi muhusika anapoenda chooni kujisaidia, na hivyo sumu hunyonywa tena na kurudi tumboni, na kusababisha mzigo mkubwa katika utendaji kazi wa ini na figo. Na ieleweke kuwa, uchafu wote katika mwili wa mwanadamu unapaswa uondolewe ndani ya masaa 18-24 tu!! Napenda kila mmoja wetu tuelewe kuwa, matatizo mengi ya magonjwa mbalimbali mara nyingi yamekuwa yakisababishwa na hali ya kukosa choo kutokana na milo yetu, kwa mfano: >Kutokwa na harufu mbaya mdomoni,
Mwili kutoa harufu, tumbo kujaa gesi, kichwa kugonga, mshipa wa ngiri,
Mishipa ya damu kuwa migumu na kusababisha shinikizo la juu la damu na miguu au mikono kufa ganzi,
Mwili kuwa mnene,
Kukosa usingizi, maumivu ya kiuno, mwili kuchoka,
Chakula kushindwa kurudiwa kumeng’enywa mara ya pili, na ulimi kuwa na utando mweupe.
Sumu inayonyonywa mara ya pili kutoka kwenye kinyesi kinachoshindwa kutoka tumboni, inaweza pia kusababisha hali ya kipanda uso, tumbo kujaa gesi mara kwa mara na kulifanya kuunguruma na hivyo kujamba hewa yenye harufu mbaya, homa ya uti wa mgongo au vimbe wa tando za uti wa mgongo na ubongo, nk.
Je, Nini Husababisha Kukosa Choo?
Kwa kawaida tatizo hili mara nyingi husababishwa na ulaji wa vyakula aina zifuatazo: >Vyakula vilivyokobolewa k**a vile, ugali wa sembe, unga wa ngano(maandazi, chapatti, nk)
>Chips mayai na juisi
Nyama nyekundu(mishikaki, supu, nk)hasa inapoliwa kwa mfululizo)
>Vyakula vilivyosindikwa kwa ushauri nini ufanye wasiliana na sissy kwa namba 0787825579