18/11/2025
Chunusi na mabaka meusi vinaweza kukukosesha kujiamini lakini sio tena!
Slide ya kwanza inaonyesha kabla & baada ya kutumia set hii ya kutibu chunusi na kurejesha mwanga wa ngozi ✨
Set hii inafanya kazi kwa:
🔸 Kuondoa mafuta mengi (oil control)
🔸 Kupunguza na kuponya chunusi
🔸 Kufifisha darkspots
🔸 Kulinda ngozi dhidi ya jua
🔸 Kuweka ngozi tulivu, nyororo na yenye mng'ao asili
💰 Bei: 165,000
📍 ZEDD Pharmacy: Sinza | SGR Dodoma