14/03/2022
JINSI YA KUFANYA UCHUNGUZI WA DALILI ZA SARATANI YA MATITI.
-Vua blauzi, Tshirt au kitu chochote kilicho ziba mat**i yako
- Kisha simama wima mbele ya kioo chako, alfu inua mikono yako juu, kisha uishushe kiunoni, hakikisha mabega yote mawili yapo katika usawa.
- Baada ya hatua ya juu hapo anza kuangalia mabadiliko yaliyo jitokeza kwenye mat**i yako ambayo siyo ya kawaida
- Mabadiliko hayo ni k**a vile, ukubwa wa mat**i, uelekeo wa chuchu( chuchu mala nyingi huwa zina simama kuelekea mbele ), muonekano wa ngozi kuzunguka chuchu( apa tazama k**a ngozi kuzunguka chuchu ina rangi ya kawaida ya ngozi yako au la na basi k**a ukigundua ngozi ni k**a rangi ya ganda la chungwa basi fika hospitali kwa vipimo zaidi. Na k**a kuna mabadiliko yoyote either t**i moja ni kubwa kuzidi lingine, au muelekeo wa Chuchu usio wa kawaida pia fika hospitali kwa vipimo zaidi.
- Baada ya hatua za hapo juu sasa unaweza kuanza kubinya binya ( palpate) t**i moja badala ya jingine ili kubaini k**a kuna uvimbe au la. Utatumia mkono wako wa kushoto kubinya binya t**i la kulia na mkono wako wa kulia kwa t**i la kushoto. Tazama k**a kuna ugumu wowote ule kwenye mat**i yako au uvimbe.
-Baada ya hayo yote sasa utalala chali kitandani kwako mkono wako wa kulia ukiwa umeulalia nyuma ya kichwa chako na mkono wa kushoto utakuwa una papasa t**i la kulia kuangalia uvimbe au ugumu wowote usio wa kawaida, utaweka tena mkono wako wa kushoto nyuma ya kichwa na mkono wa kulia utapapasa t**i la kushoto.
NOTE: Kuwa na uvimbe au dalili yoyote kwenye hatua za awali za ukaguzi haimaanishi una saratani tayari, hapana uvimbe mwingine ni dalili za kawaida tu za matatzo mengine ambayo huweza kuwa si saratani, hivyo basi pindi utakapo ona haupo sawa kwenye muonekano wa mat**i yako basi nenda hospitali kucheck..
- Pia inashauriwa kufanya uchunguzi huu kwenye siku ambazo siyo za siku zako za hedhi maana kwenye kipindi hichi kunakuwa na mabadiliko mengi sana ya kimwili, yatakayo kufanya uhamaki