18/06/2022
JINI MAHABA
Jini mahaba ni Majini ambao wamekuwa changamoto kubwa Sana katika Maisha ya Sasa. Jini mahaba yupo Hadi kwa Waganga.. yaani waganga Hadi watumishi mashekhe Hadi walimu huyo jini mahaba anawaingilia au kuingiliwa na hao.
Jini mahaba ni Sawa na Mwanadamu mwenzio anaekufatilia katika Maisha yako kuacha mpaka akome au achoke lakini kinyume na hapo ni mtihani. Waganga,mashekhe na watumishi wao kutokana wanajua Dalili na Dawa/Nguvu za kumfukuza wanapoona Dalili zake Basi ufanya Sala ya kumfukuza Kisha wanafungua vipato vyao na kuendelea na Maisha yao.
Hivyo ni swala la Elimu na miongozo ya Dawa Sala na Maombi tofauti na hapo utegemea uende kwa Mganga Yani atolewe milele labda ufe.
Tembelea Page kwa kupata miongozo hiyo juu ya kuwa shinda Majini mahaba na kufungua kipato chako.