Max Afya Bora

Max Afya Bora Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Max Afya Bora, Medical and health, maulidmpoto87@gmail. com, Dar es Salaam.

FAHAMU TATIZO LA MAPAFU KUJAA MAJIMapafu Kujaa Maji; Ni pale ambapo kunakuwa na mkusanyiko wa maji kati ya kuta mbili zi...
05/07/2023

FAHAMU TATIZO LA MAPAFU KUJAA MAJI

Mapafu Kujaa Maji; Ni pale ambapo kunakuwa na mkusanyiko wa maji kati ya kuta mbili zinazozunguka mapafu. Kujaa huku kwa maji husababisha mgonjwa kupata shida ya kupumua vizuri.

✍🏻Sababu za mapafu kujaa maji zinaweza kuelezewa kutokana na aina ya maji yaliyojaa:

👉🏻Kwa mfano kuna kitu kinatajwa kuwa ni Transudate; hapa maji hutoka kutoka kwenye mishipa ya damu na kuingia kwenye mapafu hasa kwa watu ambao wana magonjwa yafuatayo:
✅Moyo kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi (congestive cardiac failure),
✅ini kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi (liver failure) na,
✅figo kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi (renal failure)

👉🏻Exudate; hapa maji hujaa kutokana na kuta zinazozunguka mapafu kuwa na maji kitaalamu (pleura) husababisha mapafu kuvimba.

✍🏻Mtu anaweza mapafu yake kujaa kutokana na magonjwa ya mapafu mfano:
✅Kansa ya mapafu au ya t**i,
✅ugonjwa unaoitwa Lymphoma,
✅Kifua kikuu (TB),
✅vichomi,
✅figo kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi au
✅kuwa na majipu ndani ya tumbo.

DALILI YA UGONJWA

✍🏻Mtu ambaye amepatwa na tatizo la mapafu kujaa maji huwa na dalili za;
👉🏻kusindwa kuhema vizuri,
👉🏻kusikia maumivu ya kifua
👉🏻hukumbwa na Kifua Kikuu
👉🏻jasho jingi kutoka kipindi cha usiku,
👉🏻Kukohoa damu, na
👉🏻Kupungua uzito kwa kasi ya kutisha.
👉🏻Kuwa na vichomi,
👉🏻Kupatwa na homa,
👉🏻Kukohoa makohozi yenye rangirangi, inaweza kuwa damudamu au manjano.

MATIBABU
✍🏻Kwa sababu ya kusababisha matatizo ya kupumua huduma zetu huangalia kwanza kudhibiti yafuatayo;
👉🏻kuokoa,
Kuangalia mfumo wa hewa na kadhalika.
👉🏻Kutibu magonjwa yanayosababisha maji kwenye mapafu.
✍🏻Kila mtu aonapo dalili nilizozitaja anatakiwa kufanya vipimo ili kujua chanzo cha tatizo na kuanza matibabu mapema
Matibabu yetu
Micro2 cycle
Antidirr
Pure&ganoderma spores
Refined yunhzi
Cordcep coffee
Costirelax

piga simu

au acha ujumbe mfupi watsapp
0695288711

22/06/2023
X POWER COFFEE FOR MANX Power Coffee ni dawa maalumu kwa waathirika wa Punyeto na wenye Upungufu Wa Nguvu Za Kiume. Dawa...
09/06/2023

X POWER COFFEE FOR MAN

X Power Coffee ni dawa maalumu kwa waathirika wa Punyeto na wenye Upungufu Wa Nguvu Za Kiume.
Dawa hii hufanya kazi zifuatazo:-
✅Huongeza Hamu Na Uwezo Wa Kufanya Tendo La Ndoa
✅Hufungua Mirija Midogomidogo Ya kibofu Kwenye Uume Ambayo Hufa Kwa Ajiri Ya Umri Na Kisukari/Presha
✅Huondoa Uchovu
✅Huongeza Wingi Wa Afya Wa Mbegu Za Kiume
✅Huondoa Tatizo La Maumivu Uume Ukiwa Umesimama
✅Humfanya Mwanaume Akae Muda Mrefu Kwenye Tendo
✅Huongeza Kinga Kwenye Via Vya Uzazi
✅Humfanya Mwanaume Arudie Tendo Bila Kuchoka Na Kwenye Ubora Wa Hali Ya Juu
✅Huondoa Tatizo La Uume Kusimama Ukiwa Legelege
✅Huondoa Tatizo La Uume Kurudi Ndani Na Kuwa K**a Wa Mtoto
✅Huondoa Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za kiume Na Ugumba Kwa Wanaume
Watsup/call/text +255695288711 Kupata package yako

Je! Unajua detoxilive caps inagusa maisha ya kila siku na kila mmoja ...?Products hii inawalenga watu hawa 👇⚪MTU AMBAYE ...
09/06/2023

Je! Unajua detoxilive caps inagusa maisha ya kila siku na kila mmoja ...?

Products hii inawalenga watu hawa 👇

⚪MTU AMBAYE ANASHIDA YA KUONDOA SUMU MWILINI.
(Hapa kila mtu hataki sumu mwilini mwake)

⚪MTU MWENYE SHIDA YA INI.
Hapa bora kuondolewa tumbo la chakula utaishi ila sio ini lipate shida
Sasa products hii inafanya kazi vizuri sana

⚪MTU MWENTE SHIDA YA MAFUTA KUJAA KWENYE MISHIPA YA DAMU. n.k.
Hapa hakuna anayetaka pressure wala sukari

⚪MWENYE SHIDA YA GOUT
Hapa hakuna anayetaka shida ya uric acid mwilini mwake
Hii products inaondolea mbali kabisaa shida hizi

⚪MWENYE SHIDA YA KUPUNGUZA KITAMBI
Hii products inasifa hizo za kuchoma mafuta mabaya na kukuacha uko safi

⚪MTUMIAJI SIGARA NA POMBE KWA UWINGI
Hii huwasaidia watu wenye shida ya ulevi na hupelekea kupata shida za figo na ini
Mlevi sana atumie hii anajisikia vizuri na kupunguza Ulevi wake.

⚪MTU MWENYE SHIDA YA KUSAHAU NA KUTOPATA USINGIZI MZURI/KWA WAKATI
Hii Husaidia mtu mwenye shida za KUSAHAU kutokana na mzunguko hafifu wa damu

Watsup +255695288711 Tuma neno afya kupata Offa yako

🦠FANGASI ZA UKE.Fangasi ukeni ni maambukizi ya midomo ya uke na uke yanayo sababishwa na Fangasi anayeitwa Candida.Ambay...
09/06/2023

🦠FANGASI ZA UKE.
Fangasi ukeni ni maambukizi ya midomo ya uke na uke yanayo sababishwa na Fangasi anayeitwa Candida.Ambaye hupendelea kukaa mahali penye unyevunyevu hususa ni sehem za sili.
💥SABABU AU VISABABISHI VYA FANGASI.
⭐Saratani ya tezi koo( thyroid cancel).
⭐Ujauzito.
⭐Msongo wa mawazo.
⭐Utapia mlo.
⭐Matibabu ya hormone (hormone replacement therapy)
⭐Kujamiana kwa njiakubwa( a**l s*x).
⭐Matumizi ya glycerin wakati wa kijamiana.
⭐Matumizi ya dawa za uzai wa mpango.
⭐Uvaaji wa mavazi yanayoleta joto.
⭐Uchafu wa nguo za ndani.
💥DALILI ZA FANGASI UKENI.
⭐Kuwashwa sehem za sili
⭐kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa.
⭐kuhisi kuwaka moto sehem za sili.
⭐Kupata michubuko na vidonda ukeni.
⭐Kuvimba na kuwa mwekundu sehem ya nje ya mdomo wa uke.
⭐Kupata maumivu wakati wa kukojoa.
⭐kutokwa na uchafu mzuto mweupe au wakijivu wenye harufu mbaya.
🔥MADHARA YA FANGASI UKENI.
⭐Miwasho hisiyostaimilika.
⭐Husababisha tatizo la hormone imbalance.
⭐Huasili utungaji mimba.
⭐Hupelukea mimba kutoka ua kuhalibika.
⭐Maumivu wakati wa kijisaidia.
⭐Ugumba.
💥JINSI YA KUJIKINGA.
⭐Epuka kuvaa nguo za ndani zinazobana.
⭐Epuka kuoga maji ya moto wakati wa joto.
⭐Epuka kufanya mapenzi na mpenzi wako mwenye fangasi.
⭐Epuka vifaa vya kufanyia mapenzi (s*x toys)
⭐Osha ukewako kwa maji safi na salama.
⭐Epuka punyeto
⭐Epuka matumizi ya sabuni zenye manukato.
Watsup us +255695288711. Tuma neno Afya ushauri na tiba

NINI MAANA YA PID, CHANZO, DALILI NA TIBA YA PID.PID Ni kifupi Cha maneno ya kiingereza *Pelvic Inflammatory Disease ( P...
09/06/2023

NINI MAANA YA PID, CHANZO, DALILI NA TIBA YA PID.

PID Ni kifupi Cha maneno ya kiingereza *Pelvic Inflammatory Disease ( PID).

P.I.D Ni maambukizi au uvimbe katika via vya uzazi.

Chanzo Cha PID

Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:- .
👉Matumizi ya antibiotics Kwa wingi,
kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote wazuri ,Na wabaya hivyo wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi.
👉Kadhalika ujauzito kuharibika ikiwa ni pamoja na kujifungua na kuachwa bila kusafishwa
👉 Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms( kwa baadhi ya watu) na kufanya ngono zembe.
Hapa baada ya tendo la ndoa kwa baadhi ya wanawake huwa wanapata shida na mafuta ya condom
Hivyo wanapaswa kujisafisha sana
👉 Pia *hormonal imbalance* ni chanzo moja wapo baada ya kusababisha uvimbe

*Dalili Za Ugonjwa Wa PID*

1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
2️⃣Kuwashwa sehemu za siri .
3️⃣Uke kutoa harufu mbaya
4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5️⃣Uke kuwa laini sana hivyo Kupata michubuko kiurahisi wakati wa tendo la ndoa
6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi
8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa
🔟Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula

*Madhara Ya PID*

•Ugumba
•Kansa ya shingo ya kizazi
•Mirija ya uzazi kuziba
•Majeraha kwenye mirija ya uzazi

PID inatibika na kupona Kwa haraka ukipata tiba sahihi na
Ukifuata dose sahihi

Pia ni mhimu sana kutumia vitu vyenye vitamin C za kutosha

Ila ngumu kutibika usipo fuata dose sahihi na kutotambua shida ni nini.

*Mwanamke Ni Bora ukawa na shida nyingine yoyote Ila so PID* hii inauwezo wa kukuharibia maisha Yako kwa haraka sana.. Hivyo Ni Muhimu kutafuta suluhisho kwa haraka.

Ongea nami upate suluhisho la P.I.D📞💬
Watsup +255695288711

*SULUHISHO LA JINO SIYO KUNG'OA.* *RUDISHA TABASAMU LAKO KWA KUTUMIA DR TS.* *BILA KUNG'OA JINO* Dr.Ts natural herbal to...
09/06/2023

*SULUHISHO LA JINO SIYO KUNG'OA.* *RUDISHA TABASAMU LAKO KWA KUTUMIA DR TS.* *BILA KUNG'OA JINO*

Dr.Ts natural herbal toothpaste ni dawa ya meno ambayo imetengenezwa na mimea ya asili na Salama kwa afya ya mtumiaji ambayo ni;
1️⃣Panax notoginseng
2️⃣Green tea (majani chai)
3️⃣Lonicera japonic

KWA_WENYE_MATATIZO_YA_MENO K**A;

1️⃣Kutoa harufu mbaya mdomoni.
2️⃣.Meno kuwa ya njano
3️⃣.Kuoza kwa meno
4️⃣.Meno kuwa ya brown
5️⃣.Kutokwa damu kwenye fizi na kuvimba fizi.
6️⃣. Inasaidia kuua wadudu
Kwa kutumia dawa ya meno hii basi matatizo yako ya meno *yataisha kabisa na kukulejeshea* tabasamu lako.

*KAZI KUU ZA DR TS TOOTHPASTE:*
👉🏾Hung'arisha meno YENYE RANGI.
👉🏾Huimarisha meno na fizi(Matatizo ya meno kutikisika)
👉🏾Huondoa tatizo la kutokwa damu wakati wa kufanya usafi wa kinywa.
👉🏾Huwafaa watu wanaosumbuliwa na meno kuuma
👉🏾Huondoa tatizo la kutokwa damu kwenye fizi na meno
👉🏾Hutibu tatizo la meno kumeguka meguka
👉🏾Huondoa tatizo la meno kutingishika mara kwa mara
👉🏾Huondoa bacteria hatarishi katika kinywa na kutibu na kutoa kinga ya meno kuoza
👉🏾Hulinda kinywa kisipatwe na magonjwa hatarishi
👉🏾Huondoa tatizo la harufu mbaya kinywani kinywani,
👉Hupambana na fangasi kinywani pamoja na tatizo la mdomo kuchanika.
Kwa wale wenye matatizo sugu Dr TS ni Dactari wa meno.
Watsup/Call us +255695288711 kupata Offa yako sasa

  YA NDANI NA NJE   KWA KUTUMIA  .IJUE BAWASIRI NA TIBA YAKE_Bawasiri ni hali Kupasuka kwa mishipa sehemu ya haja kubwa,...
06/06/2023

YA NDANI NA NJE KWA KUTUMIA .

IJUE BAWASIRI NA TIBA YAKE

_Bawasiri ni hali Kupasuka kwa mishipa sehemu ya haja kubwa, damu kuganda na kujitokeza vinyama katika Maeneo hayo.

AINA ZA BAWASIRI
1_Bawasiri ya ndani
2_Bawasiri ya nje.

_Bawasiri ya nje hutokea mwisho wa mfereji wa haja kubwa Mishipa ya damu (vena) hupasuka na damu kuganda, ikiambatana na maumivu makali
_Bawasiri ya ndan hutokea ndan ya mfereji wa haja kubwa, hii haiambatan na maumivu. hapa wengi huwa hawajijui

DALILI ZA UGONJWA WA BAWASIRI
_Kuota vinyama sehemu ya haja kubwa.
_Miwasho na maumivu sehemu ya haja kubwa.
_Kinyesi kuvuja bila kujijua.
_Kutokwa na damu.
_Kinyesi kuchanganyika na damu .
_Kinyesi kuwa chenye harufu mbaya.

CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI
_kukaa kitako au kusimama kwa muda mrefu
_kufanya mazoez magumu yanayokaza misuli ya haja kubwa
_Uzito kupitiliza
_Mapenz kinyume na maumbile
_tatizo la kutokupata choo
_Wakati wa kujifungua

TIBA YAKE
_Mara nyingi watu wenye tatizo hili tiba yake ni kufanyiwa upasuaji, hata hivyo mara nyingi bawasirii hurudi baada ya kufanyiwa upasuaji.
_Sasa unaweza kutibu tatizo hili kwa kutumia virutubisho vilivyotengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu ambavyo havina kemikali 100%

KAZI YAKE.

_Huondoa miwasho na maumivu
_huweka sawa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kuanzia mdomon hadi sehemu ya haja kubwa
_huondoa Bawasiri bila upasuaji.
_kulainisha choo.
NI VYEMA KUWAHI KUPATA TIBA MAPEMA.

KWA MAWASILIANO ZAIDI:-
+255695288711

FIBROIDS(UVIMBE KWENYE KIZAZI),SABABU, DALILI, PAMOJA NA TIBA ..  Ni Uvimbe ambao hutokea katika  misuli laini ya mfuko ...
05/06/2023

FIBROIDS(UVIMBE KWENYE KIZAZI),SABABU, DALILI, PAMOJA NA TIBA ..

Ni Uvimbe ambao hutokea katika misuli laini ya mfuko wa uzazi wa mwanamke.

Kuna Aina tatu za vimbe
👉Submucosal fibroid- Uvimbe huu hutokea Ndani ya kizazi
👉Intramural fibroid- uvimbe huu hutokea Ndani ya nyama ya kizazi
👉Subserosal fibroid- Uvimbe huu hutokea nje kwenye ukuta wa kizazi

SABABU YA UVIMBE
Uvimbe huu sababu kubwa Ambayo husababisha na wingi wa vichocheo mwilini (hormon ya estrogen)ambayo hufanya kupata hedhi,
👉sindano,vidonge,vitanzi(uzazi wa mpango)pia nivichocheo ambavyo huchangia kuongezeka kwa hormona ya estrogen.

WATU AMBAO WANA HATIHATI YA KUPATA UVIMBE NIK**A:
👉ambao hawajazaa kabisa
👉wanawake wanene(hasa ule wa kujiongezea na sindano)
👉wanaopata hedhi mapema
👉wasichana /wanawake ambao wako ktk umri wa kupata ujauzito.

DALILI ZA UVIMBE
dalili ya uvimbe hutegemea na ukubwa wa uvimbe Pamoja na sehemu ya uvimbe ulipo kwenye mfuko uzazi,,pia uvimbe ukiwa migo unaweza usioneshe Dalila zozote.

Dalili ni hizi zifuatazo:
🥦kutokwa Damu nyingi kwa muda mrefu wakati wa hedhi ikiambatana na mabonge isivyokawaida
🥦hedhi zisizokuwa na mpango na kutokwa Damu isiyo ya kawaida katikati ya mwezi
🥦kupata maumivu ya kiuno wakati wa hedhi(kutokana na ugonjwa kubana viungo vingine vya mwili)
🥦maumivu wakati wa tendo la ndoa
🥦maumivu ya mgongo
🥦kukokoa mara kwa mara (Uvimbe hukandamiza kibofu cha Mkojo)
🥦kutotunga mimba/mimba kutoka au kuharibika wakati mwingine ugumba

Uvimbe unapokuwa mkubwa sana huonesha husababisha:
🥦miguu kuvimba
🥦kufunga choo
🥦kupungukiwa damu
🥦mkojo kubaki kwenye kibofu

Nikwanini Uvimbe hufanya mtu kutopata mimba?

👉uvimbe hukandamiza mirija ya kupitishia maya kutoka kwenye ovari/sehemu mayai yanapotengenezwa
👉hufanya mfuko wa uzazi ukaze hivyo kushindwa kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitishia mayai
👉uvimbe unaweza kuzuia yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye kizazi hada ikiwa ni submucosal fibroids

Watsup/ Call Tuma neno Afya kwenda
+255695288711
https://chat.whatsapp.com/LYM1lWMDBrnLrtB9i9nUtn

https://chat.whatsapp.com/EefTfISnZXA1vBQ4vCn6EB

NINI CHANZO CHA MIGUU KUWAKA MOTOKatika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhi...
29/05/2023

NINI CHANZO CHA MIGUU KUWAKA MOTO

Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.

Mwili wa binadamu hutawaliwa na mifumo ya neva au kwa kitaalamu Nervous System, ambapo katika mifumo hii kuna mfumo mkuu, central nervous system (ubongo na uti wa mgongo) na pia kuna mfumo wa pembezoni ambao ni kazi za mwili mbali na ubongo na uti wa mgongo (peripheral nervous system), mfumo huu wa pembezoni hujumuisha kazi za misuli, mapigo ya moyo, mmeng’enyo wa chakula tumboni, uwezo wa kuhisi baridi au joto, kugusa vitu na kujua ukali wa ncha ya kitu na kadhalika.

Matatizo haya ya kiafya (miguu au mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.

Dalili zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo:

1. Mtu kuhisi ganzi
2.Maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni au mikononi,
3. Kuhisi k**a umevaa soksi au gloves wakati hujavaa,
4. Kuhisi k**a kuna kitu cha ncha kali kinakuchoma miguuni au kwenye vidole,
5. Kushindwa kushika au kunyanyua kitu,
6. Kuchoka kwa misuli na kadhalika.

Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo naomba uyafahamu:

1. Kupungua kwa virutubisho mwilini, katika hili tunamaanisha mwili kutokuwa na vitamini vya kutosha na hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).

2.Matumizi ya dawa, mtu kuwa katika matumizi ya baadhi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi huweza kumsababishia mtumiaji matatizo ya neva.

3. Uzito mkubwa wa mwili: Hali hii hupelekea maumbile ya viungo vya mwili mfano umbile la uti wa mgongo lionekane tofauti na ilivyo kawaida,.
Watsup us +255695288711
Dr. Max Tiba na Uhsuari

Address

Maulidmpoto87@gmail. Com
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Max Afya Bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram