27/03/2020
*MADA: SABABU ZA MWANAMKE KUKOSA UJAUZITO NA SULUHISHO LAKE_ 👇👇👇👇👇👇
✍🏻mada hii ya leo, utaweza kuzifahamu sababu kiundani baada ya kuona sababu za ugumba au utasa kwa mwanamke na kutazama mapungufu katika mwili wa mwanamke yanayochangia tatizo hili.
✍🏻Kama ada, katika mada nyingine, tutaona njia zinazotumika kuondoa tatizo hili la mwanamke kukosa kizazi.
✍🏻Ugumba/Kutopata Ujauzito ni hali ambapo mwanamme na mwanamke wamejamiiana kwa kipindi cha mwaka mmoja bila kinga na bado mwanamke hakuweza kupata ujauzito.
✍🏻Hali hii inachangiwa na jinsia zote na si mwanamke peke yake k**a ilivyozooleka kuamini hapo zamani. Ilibainishwa kuwa theluthi moja ya nyumba zenye tatizo hili huwa imeathirika kutokana na mapungufu ya mwanamme, theluthi nyingine kutokana na mwanamke na inayobakia inaathiriwa na matatizo au ya wote wawili au yale ambayo hayaeleweki.
✍🏻Kabla ya mada, nashauri kuwa linapotokea tatizo hili, wote wawili wanatakiwa wapimwe ili kujua ni nani kati yao ndiye chanzo cha tatizo.
*Sababu Za Mwanamke Kukosa Kizazi*
✍🏻Ili mwanamke apate mimba, sehemu zote za mwili wake zinazohusika na uzazi zinatakiwa zifanye kazi inavyotakiwa na katika hatua zote. Hatua katika utengenezaji wa mimba ni k**a zifuatazo:
👉Moja kati ya ovari mbili za mwanamke kuachia yai lililokomaa
👉Yai hili kusafirishwa na mrija wa uzazi (fallopian tube)
👉Mbegu za mwanamme kusafiri hadi kwenye cervix, kupitia tumbo la uzazi (uterus) hadi kwenye mrija wa uzazi, kulifikia yai na kulipevusha.
👉Yai lililopevushwa kusafiri kupitia mrija wa uzazi hadi kwenye tumbo la uzazi (uterus).
👉Yai kunata kwenye ukuta wa uterus na kukua
✍🏻Ugumba/Kukosa Kizazi kwa mwanamke unaweza kutokana na dosari katika hatua yo yote katika hizo zilizozitajwa na mara niyingine kutokana na dosari katika hatua zaidi ya moja.
✍🏻Pamoja na kuwa kuna sababu nyingi za mwanamke kutopata mimba, lakini sababu kuu tatu ndizo zinazohusika zaidi k**a nitakavyozielezea
Kwa maelekezo zaid 0692328126