Viatu hand bag na school bag

Viatu hand bag na school bag PID $ HORMONAL IMBALANCE hormonal imbalance

Permanently closed.
*DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI*-       Ukavu ukeni-       Maumivu wakati wa tendo la ndoa-       Kutoa jasho usiku-     ...
21/04/2021

*DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI*

- Ukavu ukeni
- Maumivu wakati wa tendo la ndoa
- Kutoa jasho usiku
- Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
- Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
- Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)
- Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
- Uchovu wa mara kwa mara
- Hasira za mara kwa mara
- Kukosa usingizi
- Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
- Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula
- Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
- Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)
- Maumivu ya viungo
- Upungufu wa nywele kichwani.
- Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
- Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
- Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea
- Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi
- Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini
- Kusinyaa na kupauka kwa ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango
- Maumivu ya kichwa mara kwa mara
- Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
- Kutokupata choo kwa wakati
- Misuli kudondoka

*MAWASILIANO KUPATA TIBA PIGA* 0754228080

ZIJUE DALILI ZA PID👉Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu👉Kupata maumivu ya mgongo👉Mwanamke ku...
18/04/2021

ZIJUE DALILI ZA PID

👉Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu

👉Kupata maumivu ya mgongo

👉Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za siri. Utoko huu huambatana na harufu mbaya.

👉Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa

👉Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa

👉Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi

👉Kupata homa

👉Wakati fulani kuhisi kichefuchefu na
Pia kutapika

LIKE HII PAGE ILI TAARIFA INAPOINGIA UWE WA KWANZA KUONA

Karibuni sana kwa Tiba pia na Ushauri ukihitaji unapatikana
Piga simu au tuma Ujumbe Whatsapp kwa 0754228080

PID $ HORMONAL IMBALANCE

KWA TTZ LAPID UVIMBE HOMONES IMBALANCE  NIONE IN-BOX
17/04/2021

KWA TTZ LAPID UVIMBE HOMONES IMBALANCE NIONE IN-BOX

PID $ HORMONAL IMBALANCE

Mzigo huo bei sawa na bure.Tupo kunduchi mtongani dar es salaam.for More info call+255754228080
29/03/2020

Mzigo huo bei sawa na bure.
Tupo kunduchi mtongani dar es salaam.for More info call+255754228080

Begi hilo la mtoto  wa shule  bei sawa na bureBei ni 12000/- tsh
25/03/2020

Begi hilo la mtoto wa shule bei sawa na bure
Bei ni 12000/- tsh

Viatu hvyo vya ngozi kwetu vinapatikana kwa bei poa kbsaa .weka order mapema uletewe Kwa dar free delivery.kwa mikoan  i...
12/03/2020

Viatu hvyo vya ngozi kwetu vinapatikana kwa bei poa kbsaa .weka order mapema uletewe
Kwa dar free delivery.kwa mikoan inatumiwa.

Pata hand bag kwa bei ya kawaida kabsaa.weka order yako mapem a.Free delivery in dar es salaam
09/03/2020

Pata hand bag kwa bei ya kawaida kabsaa.weka order yako mapem a.
Free delivery in dar es salaam

Address

Kunduch Mtongani
Dar Es Salaam
1234

Telephone

+255754228080

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Viatu hand bag na school bag posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Viatu hand bag na school bag:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram