14/03/2023
๐ตKWA MTU WA TEZI DUME UNAWEZA KUZINGATIA VYAKULA HIVI HAPA
Kwanza jitahidi kupunguza matumizi ya vyakula vya wanga (Stachi) saana na vyakula vyenye sukari zaidiii, Matumizi ya wanga yawe nikidogo sanaa.
๐K**a utatumia ugali basi tumia Dona nzuri, na Mboga ziwe nyingi zaidi, Mboga za majani, dagaa, samaki, mayai, nyama sio mbaya.
Ongeza Matumizi ya matunda k**a Maparachichi ambayo yana vitamin E muhimu Sana kwenye Madini mengine mwili
Pia ongeza matumizi ya Tikiti Maji Kwa wingi na ndizi zakuiva k**a hauna tatizo la kisukari .
๐Pia penda sana kutumia karanga, kwani Zina Amino asidi ambazo zinasaidia uzalishaji wa Madini ya ziki kwa wingi.
๐Kunywa chai ya Tangawizi Kila siku ukiweza, hii Inasaidia kusisimua zaidi mwili na mfumo wa damu.
๐Pia jitahidi kufanya Mazoezi pia hata ya kutembea au kukimbia, Epuka kutumia vyakula vya viwandani yani fast food, k**a unatumia pombe unaweza kupunguza au kuacha kabisa, au kupunguza Kwa kiasi kikubwa.
๐Pia ongeza Matumizi ya Mboga mboga za majani
Pia k**a utapata juice ya muunganiko wa korosho, tende,N**i,Karanga mbichi,Muhogo mbichi(Kutafuna),Maziwa fresh walau glasi moja Kila siku ni nzurii zaidi
CALL/WHATSAPP 0787367182