
30/06/2023
🍊Changamoto Ya Mvurugiko Wa Homoni.
Mvurugiko wa homoni ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa homoni kwa mwanamke hivyo kufanya mabadiliko katika mwili wa mwanamke.
Dalili za mvurugiko wa homoni.
🍇Kukosa hedhi kabisa.
🍇 Kupata hedhi kwa zaidi ya siku 7 au chini ya siku 3.
🍇 Kupata hedhi mara mbili kwa mwezi
🍇 Kupata hedhi nyingi sana au mabonge mabonge ya damu
🍇 Kupata maumivu makali sana wakati wa hedhi.
🍓 Madhara Ya Mvurugiko Wa Homoni
🍎Kutokushika mimba kwa muda mrefu.
🍎Kuharibika kwa mimba mara kwa mara.
🍎Kuziba kwa mirija ya uzazi.
🍎 Hupelekea kupata kansa ya shingo ya kizazi.
🍎 Husababisha ugumba.
🍎 Husababisha U.T.I ya mara kwa mara (sugu).
Mawasiliano:
📞0766786673
🍋 Karibu upate suluhisho la kudumu la Hormonal Imbalance ili kuepuka madhara makubwa k**a P.I.D, U.T.I , kansa ya shingo ya kizazi na ugumba.