28/02/2026
CHOONI KUNA MAJINI WACHAFU KUWA MAKINI HASA CHOO CHA NDANI.
*SHIFAA TRUST HERBERLIST**
https://chat.whatsapp.com/FglCcPoDv57ClSkinIAHn4?mode=gi_t
✓Wengi kwenye usasa nyumba nyingi choo kinakuwa ndani humu humu na mtu anaishi humo humo ni hatari..
✓Zamani wazee wetu walikuwa wanajenga choo mbali na nyumba kuepuka mambo ya kijini na kichawi..
✓Choo sehemu wanaishi wajini wachafu na vyakula vyao ni uchafu wa choo na harufu chafu za chooni
✓Kuna ongezeko la watu kuanguka choo kufa au kupata stroke ( kiharusi) hugumbana na upepo wa majini hao wachafu..
✓Maisha yako magumu, una jin mahaba, una nuksi umekumbana nazo chooni..
✓Thibiti choo chako hasa cha ndani hakikisha utoi vitu vya choo kuweka chumbani .. Usiache choo wazi. Funga choo chako umalizapo haja zako.
✓Weka mafuta ya pigo la majini kwenye ndoo ya kupigia deki piga chumba chako deki mara kwa mara kuepusha majini wa chooni kuhamia chumbani kwako.
TAFUTA MAFUTA YA PIGO LA MAJINI & WACHAWI UTASAIDIKA
PIGO LA MAJINI & WACHAWI
Ni mafuta yalio-andaliwa Na Wajuzi Wa Ruqia ,Wabobezi Mahiri zaidi ya 7 kuandaa tiba itakayokuwa Mkombozi Wa kukinga na wachawi na majini wabaya watembea usiku na mchana.
Mafuta yana mchanganyiko wa mafuta za zaidi ya 17 na opoo la mangube na usembe mkali zaidi ya 21 kwa kufukuza na kukukinga zidi ya mashetani na wachawi.
Faida ya mafuta ya PIGO LA MAJINI NA WACHAWI.
1. Hukinga mwili wako zidi ya majini wachawi na wanga.
2.Hufungua matego katika miji na nyumba.
3.Huvunja mazindiko katika miji na nyumba.
4.Husafisha nyota na kupandisha nyota
5.Huongeza mvuto mwilini.
6.Hufungua rizki.
7.Huondoa uchawi wa kulishwa mwili.
8. Hufukuza jin mahaba.
9.Huzuia chuma ulete kwenye biashara.
10.Huongeza mvuto wa mapenzi
: Ni mafuta mazuri kwa wachimba migodi kukukinga na nguvu za kijini na kichawi pale unapo enda kuatafuta mali.
: Pakaa usiku na mchana mwili mzima. Choma chumbani kwako.. Pia jifukize itakusaidia kufungua mwili na kuondoa vifungo vya uchawi mwili na kutapika uchawi k**a ulilishwa.
MAFUTA PIGO LA MAJINI NA WACHAWI.BEI YAKE NI:35000.