13/03/2023
_________________________________
TIBA YA KUDUMU YA UGONJWA BAWASIRI/MGORO/HAEMORRHOIDS
_____________________________
PIGA
0753 939 748
__________________________________
BAWASIRI NI NINI ? NA TIBA YAKE YA ASILI YA KUDUMU NI IPI ?
Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama ambacho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/mgongo nk
Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa kinyama,miwasho,maumivu makali na kutoa damu
MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI
[1] Uzito kupita kiasi(Overweight)
[2] Ujauzito
[3] Unywaji pombe
[4] Kukaa sana sehemu ngumu
[5] Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa.
[6] Kujisaidia Choo Kigumu.
Miongoni mwa sababu za kujisaidia choo Kigumu ni
✓ Vidonda vya TUMBO
✓ Ngiri/Hernia
✓ Ulaji duni
[7] Kula sana nyama nyekundu
[8] Presha ya kupanda
[9] Kula sana pilipili
[10] Kula udongo - Wajawazito na watoto wadogo.
[11] Tatizo sugu la kuharisha
[12] Kunyanyua vitu vizito
DALILI ZA BAWASIRI
[1] Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
[2] Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
[3] Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
[4] Kupata kinyesi chenye damu
[5] Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa
[6] kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
[7] Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa
[8] Uume kusinyaa - unapoteza urefu na ukak**avu
ATHARI/MADHARA YA BAWASIRI
[1] Upungufu wa damu mwilini
[2] Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
[3] kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
[4] kupungukiwa nguvu za kiume
[5] kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
[6] Kupata tatizo la kisaikolojia
[7] Kutopata ujauzito
[8] Mimba kuharibika
[9] Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer)
[10] Mwili kudhoofika
[11] Upungufu wa damu mwilini
[12] Kutokwa na kinyesi bila kujitambua