11/02/2026
Chuo cha East Evan College of Health and Allied Sciences,Tunakaribisha maombi ya kujiunga kwa waliomaliza Form 4 au Form 6 na wanaoupgrade. Jiunge nasi kwa muhula wa mwaka MARCH 202 kusoma Diploma kwa kozi zifuatazo:
--𝐃𝐈𝐏𝐋𝐎𝐌𝐀 𝐈𝐍 𝐀𝐍𝐈𝐌𝐀𝐋 𝐇𝐄𝐀𝐋𝐓𝐇 𝐀𝐍𝐃 𝐏𝐑𝐎𝐃𝐔𝐂𝐓𝐈𝐎𝐍 (Sifa: Uwe ufaulu wa masomo angalau 4 kidato cha 4 kwa masomo yasiyo ya dini ikiwemo angalau masomo mawili kati ya biology,chemistry, physics ,geograpy and Agriculture)(Kozi ina mkopo wa serikali)
--𝐃𝐈𝐏𝐋𝐎𝐌𝐀 𝐈𝐍 𝐂𝐎𝐌𝐌𝐔𝐍𝐈𝐓𝐘 𝐃𝐄𝐕𝐄𝐋𝐎𝐏𝐌𝐄𝐍𝐓 (Sifa: Uwe ufaulu wa masomo angalau 4 kidato cha 4 kwa masomo yasiyo ya dini).
Tuna historia nzuri sana ya ufaulu, walimu waliobobea na hostel bora zinapatikana chuoni bure. Ada zetu ni nafuu sana na unalipa kwa awamu 4 kwa mwaka 𝐧𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐨𝐳𝐢 𝐳𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐦𝐢𝐤𝐨𝐩𝐨 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐰𝐚𝐬𝐚𝐢𝐝𝐢𝐚 𝐤𝐮𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐦𝐢𝐤𝐨𝐩𝐨 𝐡𝐢𝐲𝐨 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐤𝐚 𝐬𝐞𝐫𝐢𝐤𝐚𝐥𝐢𝐧𝐢.
Chuo kipo Dar es salaam-Kigamboni-Cheka.
TUMA TAARIFA ZAKO HAPA TUWEZE KUWASILIANA NAWE:
https://ecohas.safitech.co.tz/