18/09/2023
TOPIC/MADA
➡️KUTOKWA UCHAFU UKENI
uchafu unaotoka ni dalili ya maambukizi ya magonjwa katika uke. Maambukizi katika uke sio Hali ya kawaida kwa wanawake na wanawake wengi sikuhizi wanasumbuliwa na tatizo la maambukizi. Ukiona yafuatayo, ujue unaweza kuwa na tatizo la maambukizi ya vijidudu vya maradhi katika uke wako. 📌Kutokwa na uchafu ukeni kunako ambatana na kuwashwa au vijipele 📌Kutokwa na uchafu ukeni ambako ni endelevu na kwa kiwango kinachozidi kila siku 📌Kusikia maumivu wakati wa kutoa haja ndogo Kutokwa na uchafu mweupe, mzito k**a jibini 📌Uchafu wa kijivu/mweupe au njano/kijani unaotoa harufu mbaya 📌Uchafu Mweupe Mzito K**a Jibini Hii ni dalili ya maambukizi ya aina ya fungus (Yeast infection) na dalili nyingine atakazozisikia mwanamke huyu ni kuvimba na maumivu kwenye sehemu za nje za siri (v***a), kuwashwa na maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa. 📌Uchafu Mweupe, Wa Njano Au Wa Kijivu Wenye Harufu Ya Samaki Uchafu wa aina hii ni dalili za maabukizi ya Bacterial Vaginosis. Mwanamke mwenye tatizo hili atasikia miwasho au maumivu, kuvimba kwa uke au sehemu ya nje ya uke (v***a). 📌Uchafu Wenye Rangi Ya Mawingu Au Njano Hii ni dalili ya ugonjwa wa kisonono (Gonorrhea). Mwanamke atatokwa na damu katikati ya siku zake, atatokwa na mkojo bila kukusudia na kupata maumivu ya nyonga. MADHARA YA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI ✅Ugumba ✅Mirija ya uzazi kuziba ✅kukosa Ute wa mimba ✅Kupata Uvimbe kwenye kizazi,Mayai au Mirija ✅Saratani ya Shingo ya kizazi SULUHISHO LIPO LA KUDUMU 📞0759416659