26/05/2023
➡Jipatie Ofa Ya Upimaji Mwili Mzima kwa kutizama mifumo yako yote ya mwili Na Kugundua mapungufu yote ya mwili yanayo pelekea maradhi yanayo kusumbua kwa ofa ya kiasi cha 2️⃣0️⃣0️⃣0️⃣0️⃣(ELFU ISHIRINI TU)
K**a una changamoto yeyote ya kiafya, unahitaji kupata suluhisho la uhakika na kuhudumiwa kwa haraka.
Inawezekana umepoteza muda mwingi na fedha nyingi kutatua tatizo hilo lakini hakuna matokeo chanya uliyopata mpaka sasa.
K**a unatafuta sehemu inayotoa uhakika wa matibabu na kukuhudumia kwa haraka.
Eternal International ni kliniki inayojishughulisha na masuala ya afya na tiba.
Utafanyiwa Upimaji Katika Mifumo Yote Ya Mwili Katika:
🔷Mifupa.
🔷Mmeng'enyo wa chakula.
🔷Uzazi kwa kina mama.
🔷Uzazi kwa kina baba.
🔷Fahamu.
🔷Ngozi.
🔷Upumuaji.
🔷Macho.
🔷Masikio.
Pia matibabu na tiba za magonjwa na maradhi mbalimbali zinapatikana k**a Kisukari, Saratani, Presha, Bawasiri, Vidonda vya tumbo, Tezi dume, Ngiri, Moyo kutanuka, Matatizo ya kibofu na mkojo, Maumivu makali ya nyonga, miguu, mgongo, mifupa, Miguu kuwaka moto na kuvimba, Uvimbe, Aleji, Bandama, Pumu, Matatizo ya kupooza ,Uzazi, Figo, Macho, Meno, Homa ya ini. Uzito na Unene.
Zipo shuhuda nyingi kutoka kwa watu mbalimbali ambao waliteseka kwa muda mrefu wameweza kupona na kupata nafuu baada ya mateso ya muda mrefu kutokana na magonjwa na maradhi yaliyokuwa yanawasumbua.
🔷Kumbuka ukijua mzizi wa tatizo na chanzo chake basi unaweza ondoa mzizi na chanzo hicho ili kuondokana na tatizo lako
➡Tiba zetu zinahusika na kuondoa chanzo cha tatizo husika ili kuiponya afya ya mwili wako
KWA USHAURI,VIPIMO NA MATIBABU tembelea KLINIKI Yetu iliyopo GONGO LA MBOTO MWISHO
Ama kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0712674245.
07