Antony na afya bora

Antony na afya bora Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Antony na afya bora, Medical and health, kigamboni, Dar es Salaam.

Dr Bellam 0733883199MIFUPA NA VIUNGO Matatizo ya mifupa na viungo yamekuwa changamoto Sana kwa watu wengi na hasa wanapo...
09/10/2023

Dr Bellam
0733883199

MIFUPA NA VIUNGO

Matatizo ya mifupa na viungo yamekuwa changamoto Sana kwa watu wengi na hasa wanapofika umri was miaka 30 na kuendelea.Hapa Sasa mtu ataanza kuhisi maumivu makali kwenye magoti,pingili za mgongo,nyonga na shingoni pia wapo ambao viungo vyao huuma mwili nzima kutokana na upungufu was madini muhimu K**a vile zink na calcium

Kitaalamu matatizo haya yamegawanyika katika makundi makuu manne (4) nayo ni_
1:osteoarthritis- ambayo viungo vinasagana kutokana na kulika kwa gegedu(cartilage) na Ute kuisha kwenye maungio

2:Rheumatic Arthritis--hii ni ile Hali ya Kinga ya mwili kutafuna gegedu(cartilage) hii hutokea kwa watu wa umri wowote

3:Osterporosis--hii ni ile Hali ya mifupa kuwa dhaifu na kuwa rahisi kuvunjika na hutokana na upungufu wa madini ya calcium

4:Gaut Arthritis--hii inasababiswa na uric acid (kemikali inayotokana na protini ya nyama)

Dalili za matatizo ya mifupa kwa ujumla

@ . Maumivu kwenye maungio
@ .Viungo kushindwa kujikunja
@ .kusikia milio ya kusagana Viungo
@ .Kukaza kwa Viungo
@ . Kushindwa kuinama au kuinuka baada ya kukaa kwa mda flani
@ .Kuhisi ganzi kwenye miguu na kuwaka Moto kwa miguu

Sababu zinazoleta haya matatizo ya mifupa

@ .Uzito uliopindukia
@ .Historian ya familia
@ .Ajali
@ .kutumikisha viungu kupita kiasi mfano mazoezi makali
@ .Kisukari pia huleta madhara kwa mifupa na Viungo

Changamoto katika kutibu haya matatizo

@ .Watu wengi wanatumia dawa za kutuliza maumivu
*Dawa za maumivu hutuliza maumivu tu kwamda na baadae Maumivu hurudi Tena maana hazisaidii kuongeza Cartilage (gegedu) Wala uteute

wengi wanafanyiswa mazoezi
*Mazoezi huwasaidia watu kwa muda mfupi na baadae hurudi Tena tatizo

*Kwahiyo watu wengi wenye tatizo la viungu kulika na kusagana huishia kufanyiwa upasuaji wa Viungo kwa gharama kubwa Sana

Madhara ya kukaa na tatizo hili kwa mda mrefu

@ . Kushindwa kukunja Viungo kabisa
@ .Kuvunjika kwa urahisi kwa mifupa
@ .Kushindwa kutembea kabisa
@ . Kushindwa kupanda ngazi
@ .kupata maumivu makali Sana Kila siku
@ .Miguu kuwaka Moto na kufa ganzi
@ .Kuvimba kwa miguu na sehemu zingine za mwili

Matibabu ya uhakika kwa matatizo ya mifupa na Viungo

✓ Kuna virutubisho maalum kutoka nchini (India ,China,Korea na America) ambavyo hurudisha uteute na gegedu kwa haraka na kukufanya urudi katika Hali yako ya kawaida
✓Pia huondoa maumivu ya Viungo na mifupa
✓Huimarisha mifupa kwa kuongeza madini ya calcium na
Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia

Karibu kwa ushauri na Tiba ya uhakika.
Dr Bellam
0733883199

Dr Bellam 0733883199 VIUNGO NA MIFUPA Matatizo ya mifupa na viungo yamekuwa changamoto Sana kwa watu wengi na hasa wanap...
09/10/2023

Dr Bellam
0733883199

VIUNGO NA MIFUPA

Ujumbe muhimu kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo wengi wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la vidonda vya tumbo K**a wewe ni ...
03/10/2023

Ujumbe muhimu kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo

wengi wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la vidonda vya tumbo

K**a wewe ni mmoja wao, ningependa kuongea na wewe.

Kwa jina naitwa Dr Belam.

Ninawasaidia wagonjwa wa vidonda vya tumbo kutatua tatizo la vidonda vya tumbo bila ya kutumia dawa za hospitali kupitia mpangilio wa chakula pamoja na virutubisho lishe

Wiki hii nataka kuandaa darasa la bure kwa ajili yako la Namna ya kutatua tatizo la vidonda vya tumbo.

K**a utapenda kuhudhuria darasa hilo naomba ucomment namba yako ya simu ya watsapp hapa chini.

Au nitumie ujumbe wa watsapp kwenda namba 0733883199

Kisha nitawasiliana na wewe ili kuelewa vizuri kuhusu changamoto uliyokuwa nayo nipate kukuandalia wewe pamoja na wenzako darasa bure kabisa kupitia group la watsapp.

Bonyeza kitufe kilichoandikwa whatsap ili kuja moja kwa moja whatsapp

Ni mimi mwenye kujali mafanikio yako,

DR BELLAM

Mtaalamu wa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

Mwanaume ! Je Una changamoto ya nguvu za kiume na umetafuta TIBA sahihi umekosa!? Dr. Bertha0747 11 53 14Zijue 👇*DALILI ...
30/09/2023

Mwanaume ! Je Una changamoto ya nguvu za kiume na umetafuta TIBA sahihi umekosa!?

Dr. Bertha
0747 11 53 14

Zijue 👇
*DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*

1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege.

2)Kukosa Hamu ya Tendo kabisa / kukosa Msisimko/Mihemko

3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito sana.

4)MBEGU KUTOKA KIDOGO AU HAZITOKI KABISA/

5)Uume kuwa Lege lege wakati unashiriki Tendo

6)UUME KUSINYAA NA KUWA MDOGO

Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume k**a umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na K**a unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho?

*PACKAGE YA MFUMO WA UZAZI ITAKUSAIDIA KATIKA MAMBO YAFUATAYO 🇲🇾KWA MWANAUME*
*
*
Ni maalumu kwa waathirika wa Punyeto na wenye Upungufu Wa Nguvu Za Kiume.

*HII hufanya kazi zifuatazo:-*

✅Huongeza Hamu Na Uwezo Wa Kufanya Tendo La Ndoa
✅Hufungua Mirija Midogomidogo Ya kibofu Kwenye Uume Ambayo Hufa Kwa Ajiri Ya Umri Na Kisukari/Presha
✅Huondoa Uchovu
✅Huongeza Wingi Wa Afya Wa Mbegu Za Kiume
✅Huondoa Tatizo La Maumivu Uume Ukiwa Umesimama
✅Humfanya Mwanaume Akae Muda Mrefu Kwenye Tendo
✅Huongeza Kinga Kwenye Via Vya Uzazi
✅Humfanya Mwanaume Arudie Tendo Bila Kuchoka Na Kwenye Ubora Wa Hali Ya Juu
✅Huondoa Tatizo La Uume Kusimama Ukiwa Legelege
✅Huondoa Tatizo La Uume Kurudi Ndani Na Kuwa K**a Wa Mtoto
✅Huondoa Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za kiume Na Ugumba Kwa Wanaume.
✅Hukuepushia Athari ya kupata Ugonjwa wa BAWASIRI (hemorrhoids)
Kumbuka 💥 NGUVU ZA KIUME ZIKIPUNGUA TEZI DUME UNAPATA.
Call | Message | WhatsApp
0747 11 53 14

Piga simu kwa Msaada zaidi , WhatsApp kwa ushauri zaidi

RFAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA NJIA SAHIHI YA KUEPUKANA  NAYO.KARIBUNI. 0733883199 Dr Bellam Kila mwanaume anazaliwa na Tez...
27/08/2023

RFAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA NJIA SAHIHI YA KUEPUKANA NAYO.

KARIBUNI. 0733883199
Dr Bellam
Kila mwanaume anazaliwa na Tezi ya kiume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo k**a viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.

Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

UKUAJI WA TEZI DUME.

Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.
Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.
Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; Na 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.
Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.

II. VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA

Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jami kuhusu afya bora na Virutubisho.

Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:
- Ukosefu wa lishe kamili na upungufu wa Virutubisho muhimu mwilini
- Uwepo wa sumu nyingi na mafuta mengi mwilini hasa katika mishipa na ogani za uzazi
- Kutokufanya mazoezi
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)
- Msongo wa mawazo (Stress )
- Magonjwa ya zinaa
- Umri mkubwa
- Upasuwaji wa korodani,matatizo ya kimaumbile ya Korodani
- Historia ya Familia (Kurithi)
- Mazingira (Ethnicity)n.k

III. DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME

Tatizo la Tezi Dume si tatizo la kutokea tuu siku moja na mara moja tuu na ndo maana tunasisitiza sana matumizi ya Suppliments (Virutubisho) kwa mwanaume yeyote anaejari Afya yake. Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), atambue alianza kupata tatizo hilo kwa muda mrefu sana, Wengi wao hueleza dalili za tatizo hili huanza kuziona si chini ya miaka 3.
Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa, ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).

Saratani ziko stage nne.
Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki. Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.

Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako
mzima wa uzazi wa mwanaume.

a) Dalili za awali

- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
- Homa
- Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

b) Dalili za mtu aliyeathirika

- Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
- Miguu maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
- Kushindwa kuzuia mkojo , pindi unapohisi kukojoa
- Kushindwa kuzuia haja kubwa
(kinyesi cha maji maji)
- Tumbo kujaa gesi mara kwa mara kwa mara

Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini k**a tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.
Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.

MADHARA:
Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:
- Kibofu cha mkojo kuuma : hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini n.k.
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
- Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
- Kifo

V. SULUHISHO KWA TEZI ILIYOTANUKA

a) Suluhisho Linalopendwa na
Watu wengi pindi wanapopatwa na madhara ya Tezi dume ni Dawa na kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa muda mfupi kisha tatizo hujirudia kwa kasi kubwa.
Tezi iliyotanuka haiwezi kutibika kwa njia za madawa yenye makemikali au mitishamba, lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi sana.
Kuna njia 3 za kudhibiti Tezi iliyotanuka
1. Kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na Daktari:
Inashauriwa kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza bila kukimbilia tiba kali k**a madawa, upasuaji na Tiba kemikali, mpaka pale mtu atakapoona hakuna njia mbadala.
2. Madawa
“Baadhi ya madawa wanayopewa wagonjwa wa saratani ya tezi Dume yaligunduliwa miaka 30 iliyopita, yanasababisha athari kwenye Ini, Moyo na kuvimbisha magoti. Yamepigwa marufuku katika Nchi haswa za Ulaya.”
– Johnathon Waxman , Cancer Specialist, Hammer Smith Hospital, London
3. Upasuaji
Njia hii ambayo madaktari hutumia inapelekea “70% ya wagonjwa kuwa mahanithi baada ya upasuaji, na 40% wanashindwa kuzuia mkojo kutoka wanapo banwa na haja ndogo.”
– Johnathon Waxman
Inasikitisha kuona wanaume wanapasuliwa bila uhakika wowote kwamba huo upasuaji utakuwa na manufaa.

b) Suluhisho la kudumu (Bora)

JE NINI WAWEZA KUFANYA KUJIKINGA NA KUONDOKANA NA CHANGAMOTO YA TEZI DUME??.

SOMA HAPA:
Miili yetu hihitaji virutubisho muhimu ili kuimarisha Kinga na Kuulisha mwili wetu.

Vitu gani vya kuzingatia kuilinda tezi dume?

1. Kula mboga mboga na matunda kwa wingi kulingana na kundi lako la damu yako.
2. Punguza au acha kuvuta sigara
3. Punguza au acha utumiaji wa pombe kali.
4. Punguza kukaa kwa mda mrefu sehemu moja kwa siku.
Fanya mazoezi kwa wingi.(Sitting is a new smoking)
5. Kutovaa nguo za kubana
6. Vaa chupi za cotton na sio material yeyote.
7. Kuhakikisha Uume uwe una erect mara kwa mara
8. Na mwisho Zingatia Matumizi ya Virutubisho. Utumiaji wa virutubisho ( Supplements) hasa vinavyohusika na Tezi dume, Uzazi kwa mwanaume(Nguvu za kiume) pamoja na ogani zote za uzazi.

Tezi Dume inatanuka kwasababu ya upungufu wa madini na virutubisho mwili unavyohitaji.
Kwa watu wenye uhitaji wa kujikinga na pia wenye changamoto hii ya kutanuka kwa Tezi Dume, na mfumo wa uzazi mwanaume ,na
Kampuni tumewaandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu . Supplements hizi ni vyakula, siyo madawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika miili yetu inavyo hitaji ili iweze kutengeneza mfumo bora wa mwili na uzazi wenye afya bora na nadhifu.

Supplements hizi (Virutubisho) vina mchanganyiko wa Proteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals .
Pia Program zetu za lishe zimethibitishwa na mashirika ya kuthibiti ubora wa viwango vya bidhaa duniani. Na kwa hapa Tanzania, zimethibitshwa na mamlaka ya chakula na madawa (TFDA).

TUNAPATIKANA
DAR ES SALAAM
ILALA BOMA NA MIKOA YOTE TANZANIA NZIMA PIGA SIMU KWA DOCTOR AKUPE MAELEKEZO.

Wasiliana nami: 0733883199

KARIBUNI .. KWA AFYA YA MWANAUME

FAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA NJIA SAHIHI YA KUEPUKANA  NAYO.KARIBUNI. 0733883199 Dr Bellam Kila mwanaume anazaliwa na Tezi...
27/08/2023

FAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA NJIA SAHIHI YA KUEPUKANA NAYO.

*🩺 DONDOO ZA AFYA 🩺*DR belam0733883199*IJUE SABABU YA KUTOKUPONA VIDONDA VYA TUMBO HIYO HAPO CHINI👇*Uzalishwaji wa ACID ...
25/08/2023

*🩺 DONDOO ZA AFYA 🩺*

DR belam
0733883199

*IJUE SABABU YA KUTOKUPONA VIDONDA VYA TUMBO HIYO HAPO CHINI👇*
Uzalishwaji wa ACID nyingi tumboni ndyo sababu kubwa ,ndyo maana Kuna watu unawajua wamepona vidonda lakini wewe hauponi kwasababu vidonda vyake ni tofauti na vyako,WASILIANA na DOCTOR upate ufafanuzi

*DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux*
-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️
1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.

2.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.

3.🖇️ Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.

4.🖇️ Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.

5.🖇️ Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.

6.🖇️ Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🖇️ Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.

8.🖇️ Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.

9.🖇️ Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.

10.🖇️ Kupata kikokozi kisichoisha
11.🖇️ Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.

12.🖇️ Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.

13.🖇️ Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.🖇️ Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).

15.🖇️ Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.

16.🖇️ Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.🖇️ Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.

18.🖇️ Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.

19.🖇️ Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.

20.🖇️ Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.

21.🖇️ Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.

22.🖇️Kichefuchefu na kutapika

*HIYO NDIO SABABU YA KUTIBIWA NA KUTOKUPONA KABISA VIDONDA VYA TUMBO*
UKIWA NA ACID TUMBONI HAUWEZI KUTIBU VIDONDA PEKEAKE UKAPONA HATA UNGETIBIWA NA DAWA YA KUTOKA SEHEMU GANI MAANA ACID NI KICHOCHEZI CHA KUONGEZEKA KWA VIDONDA VYA TUMBO AU KUTONESHWA VIDONDA VINAVYOTIBIWA AU KUJIRUDIA KWA VIDONDA VYA TUMBO MAANA INASABABISHA VIDONDA VYA TUMBO PIA.

Kuna mfumo maalumu tunautumia kwakutibu moja kwa moja huu ugonjwa . Parkage yake inahusisha dawa za Aina tatu ambapo Kuna dawa ya kukausha vidonda, kuua BACTERIA wabaya tumboni ikiwemo H PYROL, na dawa ya kurekebisha mmeng'enyo wa chakula yaani kuondoa Hali ya choo kigumu, tumbo kujaa gesi , kuungua kifuani na kutapika au kuharisha damu pia kuondoa Hali ya vichomi na maumivu ya tumbo.

K**A UNAONA DALILI HAPO UNAYO BASI TUPIGIE SIMU TUTAKUSAIDIA . OFISI ZIPO MIKOA YOTE . HAKUNA ULLAZIMA WA KUTUMA DAWA KWA MAGARI YAANI UTAPATA HUDUMA HUKOHUKO ULIKO.

Vidonda vya tumbo
25/08/2023

Vidonda vya tumbo

*🩺 DONDOO ZA AFYA 🩺*Dr belam0733883199 *IJUE SABABU YA KUTOKUPONA VIDONDA VYA TUMBO HIYO HAPO CHINI👇*Uzalishwaji wa ACID...
25/08/2023

*🩺 DONDOO ZA AFYA 🩺*
Dr belam

Address

Kigamboni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Antony na afya bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram