22/10/2023
SULUHISHO LA MAUMIVU YA MAGOTI,NYONGA NA MGONGO BILA UPASUAJI.
Watu hawa wapo hatarini zaidi kupata magonjwa ya Mifupa na viungo.
1. Wenye umri wa miaka 40 +
2. Wenye uzito mkubwa.
3.Mgonjwa wa tezi dume.
4.Mtu aliyepata ajali.
5.Mama mjamzito (baada ya kujifungua)
6.wachezaji wa mpira.
7.wabebaji mizigo.
8.kazi za kukaa Muda mrefu.
Wengi katika makundi haya wanahangaika na changamoto za maumivu ya mgongo ,nyonga au Magoti. Wengi wamekuwa wakitumia dawa za kutuliza maumivu na changamoto hizi hujirudia na wengine kufanya upasuaji .
Dawa za kutuliza maumivu zimekuwa ni chanzo cha kuongeza maumivu haya baada ya Muda fulani.TUMIA VITU VIFUATAVYO UNAPOUGUA CHANGAMOTO HIZI.
Tumia vyakula kupunguza maumivu baada ya dawa za kutuliza maumivu. K**a vile bamia zikuzalishie ute, Samaki upate calcium na Omega o3 kuimalisha mifupa ,tumia supu ya kongoro ,karanga au korosho husadia kuleta hauweni uwapo mgonjwa.
TIBA
kupona kabisa changamoto hizi unaweza kutumia virutubisho asilia kwaajili ya nyonga,magoti na pingili za mgongo huweza kuzalisha ute wa kutosha ,kutatua tatizo la kulika au kusagika kwa nyonga ,magoti au pingili. Tumia muda wa miezi miwili. Na wengine hadi miezi mitatu. Kuzuia tatizo lisijiludie tena .
Kupata tiba wasiliana nami kwa namba 0757898003.Dr.Gaston Dar es salaam. Utapata mkoa wowote mgonjwa alipo.
AFYA YAKO MASHA YAKO.
KWA HUDUMA YA ELIMU,USHAULI NA TIBA AFYA YA MIFUPA NA VIUNGO BILA KUFANYIWA UPASUAJI.USIHANGAIKE TENA