Afya nutrition.

Afya nutrition. ☆Health cares.
•Mfumo wa uzazi.wanawake &wanaume
•Mifupa, sukari, bawasiri,n.k..
•Wa/me 0621617664.

❤KUTOKWA NA UTEUTE UKENI.❤Part 2 anzia ulipoishia ....👒 Ute ambao unasababishwa na kuathriwa kwa mfumo wa uzazi na mgonj...
25/01/2023

❤KUTOKWA NA UTEUTE UKENI.❤

Part 2 anzia ulipoishia ....

👒 Ute ambao unasababishwa na kuathriwa kwa mfumo wa uzazi na mgonjwa ya zinaa. Huu huwa una Rangi ya kijani au njano inategemeana na aina ya ugonjwa wa zinaa. K**a ni kisonono huwa ni ute wa rangi ya njano, na k**a ni chlamydia huwa ni Rangi ya kijani.

👒 Ute unaosababishwa na mlango wa uzazi au uke kutoa damu, huu ute huwa na rangi ya pinki na pia hutoka wakti ambapo mwanamke ametoka kufanya tendo la ndoa akapata mchubuko ukeni au kwenye shingo ya kizazi.

👒 Ute unaosababishwa na uvimbe kwenye mji wa mimba au kansa ya shingo ya kizazi, huu huwa na Rangi nyekundi na mara nyingi huambatana na maumivu makali ya kiuno pamoja na kukondeana endapo mama atakuwa anumwa kansa.

"KWA SULUHISHO NA MSAADA ZAIDI WA HARAKA TUPIGIE :-

Kupitia Simu namba. 0659800564

Ku chart Moja Kwa Moja nasi Whatssapp Bonyeza hapa 👉🏿👇🏿
0621617664 Dr.Miriam

❤️KUTOKWA NA UTEUTE UKENI❤️👒 Hali ya kutokwa na ute ukeni imegawanyika katika katka makundi makuu mawaili.☠✳ La kwanza n...
25/01/2023

❤️KUTOKWA NA UTEUTE UKENI❤️

👒 Hali ya kutokwa na ute ukeni imegawanyika katika katka makundi makuu mawaili.☠

✳ La kwanza ni kutokwa ute ambao ni hali ya kawaida ya mwili yaani ute ambao hausababishwi na matatizo ya kiafya bali unasababishwa na mabadiliko ya mwili.

☠Ute ambao unatokana na mabadiiko ya mwili pia umegawanyika katika makundi yafatayo.☠

👒 Ute ambao unatolewa wakati mwanamke anapokuwa na mimba. Ute huu huwa ni mweupe (clear) kabisa na huwa hauwashi wala kutoka harufu yoyte.

👒 Ute ambao unatolewa wakati wa kupevushwa kwa yai (Ovulation), huu huwa ni mzito kidogo na unakuwa k**a na hali ya kujivuta, huu ute hutoka kwa siku mbili tyu ingawa kuna baadhi ya wanawake unakuta huu ute unaoka hadi siku 4 then unakata. Huu ute huwa ni mweupe pia na hauwashi.

👒 Ute unaotoka kwa hali ya kawida ya mabadiliko ya mwili, huu ute huwa unamaanisha kuwa mama yuko vzr kiafya. Ute huu huwa ni mweupe (clear) na huwa ni mzito sana na wakati mwingine unatoka kimabonge bonge. Hutoka na baadaye huacha. Ute huu huwa hauwashi hata kidogo wala huwa hauna harufu yoyote mbaya.

👒 Ute unaotoka kwa sababu ya kupungua kwa hormone za k**e (Estrogen), huu huwa uko clear kabisa na huwa hauwashi pia.

👒 Ue unaotoka wakati mwanamke anapomalizia hedhi, huu huwa una rangi nyekundi na hutoka mwanamke anapokuwa amemaliza hedhi. Huwa hauwashi.

Kundi la Pili, huwa ni ute unaotoka kwa sababu ya magonjwa mbali mbali.

☠Ute huu pia umegawanyika katika makundi mbalimbali k**a ifatavyo.☠

👒 Ute unaotoka kwa sababu ya mfumo wa uzazi kuathriwa na fungus, ute huu huwa ni mweupe na pia unakuwa unawasha sana, muda mwingi huu ute hauna harufu.

👒 Ute unaotoka kwa sababu ya mfumo wa uzazi kuathriwa na bacteria, huu ute unakuwa unatoa harufu K**a shombo ya samaki, na pia unakuwa Rangi k**a ya kijivu hivi.
NB; Mara nyingi mfumo wa uzazi ukiathriwa na bacteria inakuwa ni rahis pia kuathriwa na fungus hivyo unakuta wanawake wengi wanamatatizo yote mara moja.

Endelea post inayofuata ➡️

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO.Tatizo la Vidonda vya tumbo linatibika kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wameku...
25/01/2023

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO.

Tatizo la Vidonda vya tumbo linatibika kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakizalau dalili za vidonda vya tumbo na kudhani kuwa hakuna madhara makubwa.

VIDONDA VYA TUMBO .vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine k**a kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.

DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO.

Tuna dawa ya kutibu Vidonda vya tumbo ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. Dawa hiyo hutibu kwa mda kulingana na mda wa tatizo, tatizo halirudi tena maana huondoa chanzo pamoja na ugonjwa sio kituliza maumivu, ukianza kutumia baada ya wiki moja mgonjwa huanza kupona na huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendelea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa.

Kwa ushauri na Tiba. Wa/me 0621617664 Dr.Miriam

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBODalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi ...
25/01/2023

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO

Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili k**a;

✅Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula.

✅Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo.

✅Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa.

✅Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu.

✅Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu.

✅Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito.

✅Kushindwa kupumua vizuri.

JINSI YA KUEPUKANA NA VIDONDA VYA TUMBO.

●Kunywa maji mengi.

●Punguza mawazo, fanya mazoezi yatakupunguza na mawazo.

●Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol).

●Usivute sigara.

●Punguza au acha kunywa pombe.

●Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali.

●Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9.

Kwa ushauri na Tiba .wa/me 0621617664 Dr.Miriam

UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO●Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na...
25/01/2023

UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO

●Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus.

Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, k**a ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.

AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO.
▪︎Kuna aina zipatazo mbili za Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers)

•Vidonda vya tumbo kubwa (Gastric ulcers) – Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa.

• Vidonda vya utumbo mdogo (Duodenal ulcers) – Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu).

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO.

Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

✅Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori).

✅Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine).

✅Kuwa na mawazo mengi.

✅Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi.

✅Kunywa pombe na vinywaji vikali.

✅Uvutaji wa sigara.

✅Kuto kula mlo kwa mpangilio.

Kwa ushauri na Tiba. Whatsap/call me 0621617664.

MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUPONA HARAKA UVIMBE KWENYE KIZAZI1. 📎Hakikisha una uzito sawa kila mara kulingana na urefu wako...
13/01/2023

MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUPONA HARAKA UVIMBE KWENYE KIZAZI

1. 📎Hakikisha una uzito sawa kila mara kulingana na urefu wako.

2. 📎Kula sana mboga za kijani na matunda

3. 📎Fanya mazoezi ya viungo kila mara, mara 4 mapaka 5 kwa wiki

4. 📎Kunywa maji mengi kila siku lita mbili mpaka lita tatu

5. 📎Kula sana vyakula vyenye nyuzi nyuzi (faiba) na punguza vyakula vyenye mafuta

6. 📎Usitumie bidhaa zozote zenye kaffeina (chai ya rangi, kahawa, soda nyeusi zote nk), nyama nyekundu na vyakula vya kuchomwa au kupikwa katikati ya mafuta mengi (maandazi, chipsi, nk)

7. 📎Achana kabisa na mawazo mawazo (stress) na hamaki nyingine zozote

8. 📎Acha kuvuta sigara/tumbaku na vilevi vingine vyote hadi hapo utakapopona kabisa

Ushauri na tiba wa/me 0621617664

Uvimbe kwenye  kizazi unapokua mkubwa unawezakusababisha dalili zifuatazo.1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandam...
13/01/2023

Uvimbe kwenye kizazi unapokua mkubwa unaweza
kusababisha dalili zifuatazo.

1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo

2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo.

3.Haja kuwa ngumu

4.miguu kuvimba

5.kupungukiwa damu.

Ushauri na tiba wa/me 0621617664

MESEJI ZA KUMTUMIA MPENZI WAKO ILI AKUPENDE ZAIDI.♡Wewe ni kila kitu kwangu.♡Nitateseka bila wewe.♡Ninataka nikwambie tu...
13/01/2023

MESEJI ZA KUMTUMIA MPENZI WAKO ILI AKUPENDE ZAIDI.

♡Wewe ni kila kitu kwangu.

♡Nitateseka bila wewe.

♡Ninataka nikwambie tu kuwa ninakuwaza muda wote.

♡Ninatamani kuwa mikononi mwako muda wote.

♡Ninakupenda zaidi ya unavyofikiria.

♡Unafanya mapigo ya moyo wangu yaende mbio nikikuona.

♡Najisikia vizuri mno nikikuwaza mpenzi.

♡Ninajihisi salama nikiwa nawe.

♡Nikiwa mikononi mwako ninajihisi nimefika!

♡Ulishaubeba moyo wangu na sitaki uurudishe.

Ushauri na tiba wa/me 0621617664.

FAHAMU KUHUSU UVIMBE KWENYE KIZAZI NI NINI:~-Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana k**a ‘uterine myoma’ a...
13/01/2023

FAHAMU KUHUSU UVIMBE KWENYE KIZAZI NI NINI:~

-Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana k**a ‘uterine myoma’ au fibroid. Uvimbe huu hutokea kwenye misuli laini ya mfuko wa uzazi.

-Uvimbe huu hutokea katika sehemu mbalimbali juu au ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke.

-Ni uvimbe ambao hauhusiani na kansa na unaweza kubadilika rangi ukawa wa njano, unaweza kubadilika ukawa k**a maji tu na kurudi tena kuwa mgumu.

-Uvimbe kwenye kizazi hujulikana pia kwa majina haya kitaalamu: ‘Uterine fibroids’, ‘Myoma’ au ‘fibromyoma’.

-Hujulikana pia k**a ‘leiomyoma’ katika lugha ya kidaktari. Wanawake wenye umri kati ya miaka 30 hadi 50 ndiyo wanapatwa kirahisi zaidi na ugonjwa huu.

Ushauri na tiba wa/me 0621617664.

Mambo yafuatayo yanaongeza uwezekano kwa mwanamke kupata uvimbe kwenye kizazi:~~Kurithi: k**a mama au dada  yako aliwahi...
13/01/2023

Mambo yafuatayo yanaongeza uwezekano kwa mwanamke kupata uvimbe kwenye kizazi:~

~Kurithi: k**a mama au dada yako aliwahi kuugua tatizo hili basi wewe pia utakuwa kwenye hatari zaidi ya kupata uvimbe huu.

~Umri: uvimbe kwenye kizazi (fibroids) hutokea zaidi kwa wanawake wanaokaribia kukoma hedhi kuanzia miaka 35 mpaka 40.

~Lishe: matumizi ya vyakula vya wanga na sukari kupita kiasi huongeza hatari ya kupata fibroids.

~Uzito mkubwa na kitambi: wanawake wenye uzito mkubwa na kitambi wako kwenye hatari zaidi ya kupata fibroids .

~Wanawake wenye shinikizo kubwa la damu.

~Matumizi ya njia za kupanga uzazi: k**a vidonge huongeza ukuaji wa fibroids kwani vidonge hivi huweza kupandisha homoni ya estrogen kwa wingi.

~Kubalehe mapema: wanawake wanaobalehe mapema na kuanza kupata hedhi chini ya miaka 10 wako kwenye hatari zaidi ya kuugua fibroids na Wenye matatizo ya tezi ya Thairodi.

Ushauri na tiba wa/me 0621617664.

Zifuatazo ni dalili zinazojitokeza kwa wanawake wengi zaidi wenye uvimbe kwenye kizazi-:✅Kupata Hedhi inayochukua siku n...
13/01/2023

Zifuatazo ni dalili zinazojitokeza kwa wanawake wengi zaidi wenye uvimbe kwenye kizazi-:

✅Kupata Hedhi inayochukua siku nyingi kuanzia 7 na zaidi.

✅Hedhi nzito.

✅Kujiskia umeshiba mda mwingi.

✅Maumivu ya nyonga.

✅Kupata mkojo mara kwa mara na kushindwa kutoa mkojo wote kwenye kibofu.

✅Kukosa choo kwa muda mrefu au kupata choo kigumu.

✅Kupata maumivu wakati watendo la ndoa.

✅Maumivu chini ya mgongo na kwenye miguu.

✅Madhara mbalimbali ya uzazi k**a ugumba na mimba kutoka.

Ushauri na tiba wa/me 0621617664.

JINSI YA KUJIKINGA NA KUVURUGIKA KWA HEDHI. 1: Kuboresha mfumo wa mmeng'enyo wa Chakula.2: Kuondoa sumu mwilini, sumu in...
13/01/2023

JINSI YA KUJIKINGA NA
KUVURUGIKA KWA HEDHI.

1: Kuboresha mfumo wa mmeng'enyo wa Chakula.

2: Kuondoa sumu mwilini, sumu inapokuwa nyingi mwilini huathiri mfumo wa uzalishaji mayai kwa mwanamke.

3: Kuboresha mzunguko mzuri wa damu, mzunguko wa damu unapokuwa uko vizuri husaidia katika usafirishaji wa damu na hivyo kumwezesha mwanamke kuwa na mzunguko mzuri na pia hedhi yake kuwa katika mpangilio mzuri au kawaida.

4: Kuimarisha na kuboresha kinga ya mwili, Mwili unapokosa kinga au kinga ya mwili inapopungua hukaribisha maambukizi katika katika Ovaries,Mirija ya uzazi, mfuko wa uzazi na mpaka katika Uke.

Ushauri na tiba wa/me 0621617664.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya nutrition. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram