
12/11/2024
FAHAMU CHANZO CHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
👉kinachopelekea Upungufu wa nguvu za kiume ni k**a vile:
Maradhi kadhaa k**a kisukari; presha ya kupanda; presha ya kushuka
Vyakula tunavyokula
Tabia na mtindo wa maisha vinavyoweza kupelekea baadhi ya viungo kutofanya
kazi vizuri k**a uvutaji wa sigara; unywaji wa pombe; madawa ya kuleva;
kufanya kazi kupita kiwango na kukosa muda wa kupumuzika
Tabia za kujichua/punyeto (ma********on) na matatizo ya kukosa usingizi na
kuchelewa kulala usiku.
Kutokunywa maji ya kutosha, tatizo la kufunga choo hasa pale unapotumia
nguvu nyingi kusukuma choo; kutofanya mazoezi; ukosefu wa kumbukumbu
_
DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Kitendo cha baadhi ya viungo vya mwanaume kutofanya kazi vizuri basi hapo hutokea upungufu katika nguvu za kiume. Na Upungufu huo unaweza kuleta dalili zifuatazo:
Kukosa hamu ya mapenzi
Uume kusimama kwa uregevu
Kuwahi kufika kileleni
Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)
Kushindwa kurudia tendo la ndoa
Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo
Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji
Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia
kichefuchefu;
Kutokuwa na uwezo wa kumpa mimba mwanamke
_
⚠️SULUHU YA TATIZO
>Wanaume wengi wanapopungukiwa nguvu za kiume hukimbilia kutafuta dawa za
kuongeza nguvu za kiume, na siyo kutibu.
>Ni kosa kubwa kukurupuka kubugia dawa za nguvu za kiume bila kujua chanzo cha tatizo coz Upungufu wa nguvu za kiume lazima utibiwe kuanzia chanzo cha tatizo.
> kwa maana ya kwamba mzizi wa tatizo sharti ung'olewe kwanza! Mathalani, k**a tatizo ni la homoni, au ugonjwa wowote basi
ijulikane kwanza.
_
Ushauri na tiba
Whatsapp au piga 0743 429 728.
________
_