Ijuwe afya yako.

Ijuwe afya yako. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ijuwe afya yako., Medical and health, Makumbusho, Dar es Salaam.

Tunatoa huduma za ushauri pamoja na dawa ambazo ni za asili kwa 100% tuna tibu Magonjwa zaidi ya 19 kama kisukari,nguvu za kiume,presha,vidonda vya tumbo matatizo ya uzazi kwa wanawake, fangs ukeni, UTI sugu n.k

MKOMBOZI WA WANAWAKE KWA MAGONJWA SUGU NA USAFI BINAFSI0764517145🔸Uvimbe kwenye kizazi🔸Homon Imbalance🔸P.I.D🔸Hutibu UTI ...
04/12/2021

MKOMBOZI WA WANAWAKE KWA MAGONJWA SUGU NA USAFI BINAFSI
0764517145
🔸Uvimbe kwenye kizazi
🔸Homon Imbalance
🔸P.I.D
🔸Hutibu UTI sugu
🔸Miwasho
🔸Huondoa harufu mbaya ukeni
🔸Hufungua mirija ya Uzazi iliyoziba
🔸Huondoka uchafu Ukeni
🔸Hurudisha asili ya uke
🔸Kurudisha hamu ya tendo la ndoa nk
Ni tiba ya asili na isiyo na kemikali wala madhara;

Kwa mahitaji tuwasiliane kwa namba
0764517145

Imethibitisha na mamlaka zote duniani.

FAHAMU TATIZO LA BACTERIA VAGINOSIS(B.V)Bakteria rafiki na wabaya wote huishi ndani ya uke. Inapotokea uwiano dhalili wa...
02/12/2021

FAHAMU TATIZO LA BACTERIA VAGINOSIS(B.V)

Bakteria rafiki na wabaya wote huishi ndani ya uke. Inapotokea uwiano dhalili wa ukeni unabadilika, unaweza kupata ugonjwa huu wa bacterial vaginosis (BV kwa kifupi) au wakati mwingine huitwa vaginal bacteriosis. Ni ugonjwa unaowasumbua wanawake walio katika umri wa kuzaa, miaka 15 hadi 44 ingawa mwanamke wa umri wo wote huweza kuupata. Chanzo halisi bado hakijajulikana, lakini kushiriki ngono mara nyingi bila kinga na kujiosha ukeni kwa maji kumedhihirika kuwa kunaongeza uwezekano wa kupata ugonjwa huu.

CHANZO CHA BACTERIA VAGINOSI

Bakteria aitwaye lactobacillus hufanya kazi ya kuuweka uke kwenye hali ya utindikali ili bakteria wabaya wasizaliane. Endapo idadi ya lactobacillus itapungua, bakteria wabaya huongezeka na utapata BV.
Mwanamke ye yote anaweza kupata BV, lakini yafutayo yanaongeza yamkini ya maambukizi haya:
Kuvuta sigara
Kushiriki ngono na mpenzi mpya au wapenzi wengi
Kujiosha ukeni kwa maji au vimininika vingine (douching)
Matumizi ya antibiotics ya siku za karibuni

Unaweza kupata BV kwa kushiriki ngono ya mdomo au ya kinyume na maumbile.

DALILI ZA BACTERIA VAGINOSI

Zaidi ya nusu ya wanawake wenye BV hawaonyeshi dalili zo zote. Pale zinapoonekana huwa pamoja na:
Uchafu mwembamba mweupe, wa kijivu au kijani hasa baada ya tendo la ndoa
Kuwaka moto wakati wa haja ndogo
Harufu ya samaki inayozidi baada ya kujamiiana
Mara chache kuwa na miwasho sehemu ya nje ya uke

kutokwa na vidonda au michubuko ukeni

Tatizo hili linaepukika , & linatatulika

Ili kusaidika na tatizo hili
watsup

0764517145.

WhatsApp 0764517145.FAHAMU SABABU ZA KUWA NA U.T.I SUGU.MAAMBUKIZI kwenye njia ya mkojo ( Urinary Tract Infection kifupi...
13/11/2021

WhatsApp 0764517145.

FAHAMU SABABU ZA KUWA NA U.T.I SUGU.

MAAMBUKIZI kwenye njia ya mkojo ( Urinary Tract Infection kifupi U.T.I) ni maambukizi yanayoshika nafasi ya pili kuupata mwili mara nyingi zaidi. Maambukizi haya hufanya mtu kukosa raha na kwa baadhi ya watu hasa wanawake ni tatizo la kiafya linalojirudiarudia mara nyingi.

Kwa bahati mbaya ni kwamba tiba iliyozoeleka kwa U.T.I ni kutumia dawa za kuua bakteria (antibiotics) ambapo bakteria wanaosababisha ugonjwa huu wanaoitwa E.coli wameanza kuwa sugu dhidi ya hizi dawa hivyo kusababisha wagonjwa wengie kupata U.T.I sugu.

U.T.I ni mkusanyiko wa maambukizi eidha ya fangasi, virusi au bakteria ambayo yanatokewa kwenye njia ya mkojo ya mwanamke na mwanaume. Tunaposema njia ya mkojo tunaongelea figo zote mbili, mirija inayotoa mkojo kutoka kwenye figo hadi kwenye kibofu cha mkojo huitwa ureter, kibofu chenyewe na mrija wa kutoa mkojo nje kutoka kwenye kibofu.

Kazi ya figo ni kuchuja maji yaliyopo kwenye damu na kutoa maji yaliyozidi na takamwili. Baada ya hapo mkojo huifadhiwa kwenye kibofu na baadaye kutolewa nje kupitia mrija wa urethra ambayo una misuli ya sphincter iliyopo kwenye uke na uume.

Bakteria wanaopatikana kwenye kinyesi ndiyo kwa kiasi kikubwa husababisha U.T.I. Hawa wanapoingia kwenye njia ya mkojo mwilini kwa kutumia kinga yake huweza kuwadhibiti, lakini inaposhindikana ndipo bakteria hawa husababisha madhara.

Kitendo cha kukojoa mara kwa mara husaidia kusafisha bakteria waliojishikiza kwenye njia ya mkojo na pia tezi dume hutoa majimaji kwa mwanaume ambayo huzuia ukuaji wa bakteria wabaya. Japo kuna kinga kubwa ya mwili dhidi ya U.T.I lakini bado kuna hatari ya kuugua ugonjwa huu ndiyo maana tunatakiwa kuwa makini zaidi.

KWA WANAWAKE

Wanawake wapo hatarini zaidi kupata maambukizi kwenye njia ya mkojo kutokana na kwamba njia yao ya mkojokuelekea kwenye kibofu ni fupi kwa hiyo bakteria wanaweza kusafiri haraka zaidi na kuleta athari kwenye kibofu. Sababu nyingine ni kwamba njia ya kutolea mkojo kwa mwanamke kwenye uke ipo karibu zaidi na mahali pa haja kubwa penye bakteria waletao maambukizi.

DALILI ZA U.T.I

Zifuatazo ni dalili za moja kwa moja kwa watu wazima kupatwa na ugonjwa hu

Fahamu Madhara ya Kufanya Mapenzi Kipindi cha Hedhi kwa MwanamkeKufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusish...
13/11/2021

Fahamu Madhara ya Kufanya Mapenzi Kipindi cha Hedhi kwa Mwanamke

Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri kwa afya ya wote wawili.Hivyo kwa ushauri huwa tunapenda watu wajari sana afya zao na si kuzidumaza na kuendekeza hisia kwani hiloo ndilo kosa kubwa la vijana wengi wa siku hizi...Zifuatazo ni baadhi ya madhara yanayoweza kutokea endapo wawili hawa wakafanya ngono wakati KE yupo katika siku zake{period}..

 MADHARA KWA MWANAUME.

1.Kupata maambukizi katika njia ya mkojo hadi kwenye kibofu.

 2.Maambukizi katika tezi dume(Prostetits) hii inaweza kuathiri mfumo wa uzazi wa mwanaume.

 3.Kuziba kwa njia ya mkojo.

 4.Utasa au ugumba.

 5.Ulegevu wa misuli ya uume na upungufu wa nguvu za kiume.

 6.Athari mbaya ya kisaikolojia kwa kuwa anafanya tendo katika mazingira machafu hali itakayompelekea kutolifurahia tendo kutokana na hali ya umaji maji,utelezi, au harufu kali na mbaya na hivyo kuona kuwa mwanamke ni mchafu.Pia hali hii ikizidi inaweza kuathiri hata hufanyaji wa tendo katika siku za kawaida sio za hedhi.

MADHARA KWA MWANAMKE.
1.Kupatwa na mambukizi viungo vya ndani vya uzazi k**a vile shingo ya kizazi,mirija ya uzazi kwa ujumla wake anaweza kuwa na tatizo la PID( PELVIC INFLAMATORY DISEASES) tatizo ambalo linaweza kuathiri mfumo wake wa uzazi.

 2.Maumivu makali ya tumbo hasa kwa wale wanaopatwa na maumivu wakati wa hedhi.(Dysmenorrhea).

 3.Utokaji wa damu unaweza ukaongeza kuliko vile inavyotoka kwa kawaida yake.

 4.Utasa au Ugumba.

 5.Kuvimba kwa kuta za ndani za uke kwa kuwa wakati wa hedhi zenyewe huwa tayari zimevimba au kutanunuka hali pia itamsababishia maumivu kwenye uke wakati wa tendo la ndoa.

 6.Athari mbaya ya kisaikolojia:Mwanamke atahisi kuwa mumewe hamjali wala mpendi bali anajali hisia zake za kingono na kwamba yeye anatumika kingono tu.Pia kuona kuwa mumewe ajali afya yake pamoja na maumivu anayoyapata lakini bado huyu mume anataka KU-DO.
NOTE
 Hali hii ikizidi inaweza kuathiri hata hufanyaji wa tendo katika siku za kawaida sio za hedhi.

simu: +255764517145

Fahamu Madhara ya Kufanya Mapenzi Kipindi cha Hedhi kwa MwanamkeKufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusish...
10/11/2021

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 13:30 - 18:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ijuwe afya yako. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Ijuwe afya yako.:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram