07/01/2026
Changamoto ya haja kubwa huwapata watu wa rika zote haijalishi umri wala jinsia. Miongoni mwa sababu huwa ulaji mbovu wa muhusika, kutokula vyakula vya nyuzi / kambakamba, kutokunywa maji kwa wingi, kutopenda kula mboga mboga kwa wingi, kupendelea zaidi vyakula vya mafuta mengi badala ya michemsho na kadhalika.
Hii hali ikiwa endelevu hupelekea bawasiri (kinyama kwenye njia ya haja kubwa) .. hivyo ni vyema sana tujiangalie miendendo yetu ya ulaji wa kila iitwayo leo kwa ajili ya kukimbiza tatizo hili kwenye miili yetu.
K**a una dalili ama tayari una changamoto hii usisite kuwasiliana nasi kwa utatuzi kupitia virutubisho vyetu visivyo na madhara https://wa.me/+255712657055