19/03/2023
Tezi Dume inatibika bila upasuaji wahi kabla ya tatizo kuwa kubwa
Call/ WhatsApp 0712549157
Saratani ya tezi dume ni nini?
Saratani ya tezi dume maana yake ni tezi dume imepata ugonjwa wa saratani..Na hii hutokea pale ambapo chembechembe hai za tezi huasi na kuanza kujigawanya bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili, chembechembe asi hizi mwishowe hutengeneza vivimbe hatari ndani ya tezi dume na hatimaye husambaa mwilini
Visababishi hatarishi kwa saratani ya Tezi dume
Umri Mkubwa kuanzia miaka 40
Nasaba (ukoo wenye historia ya saratani hii
Lishe hatarishi-nyama nyekundu kwa wingi, mafuta/samli,maziwa ya krimu
Unene uliokithiri
Ukosefu wa mazoezi
Upungufu wa virutubisho,mfano vit D.
Maambukizi ya mara kwa mara kwenye tezi dume
Dalili zake ni zipi?
✓]!Udhaifu katika utoaji wa mkojo, mkojo hauishi.
Kwenda kukojoa mara kwa mara.
✓Damu ndani ya mkojo.
✓Kushindwa kukojoa.
✓Maumivu ya kiuno na mifupa ya nyonga.
✓Wagonjwa wengi huanza maumivu ya nyonga k**a ni dalili za awali.
✓Udhaifu katika utoaji wa mkojo pia kunaweza kutokea kwa kuvimba kwa tezi dume bila ya saratani.
✓Damu kwenye mkojo nakushindwa kumaliza mkojo ni ishara tosha ya kuwa tezi dume imeathirika.
UCHUNGUZI
Wanaume wote wanapaswa kufanya uchunguzi wa saratani ya tezi dume kuanzia miaka 45. Kwa wale wenye historia katika familia wanapaswa kuanza wakiwa na umri wa miaka 40..
Tezi Dume inatibika bila upasuaji wahi kabla ya tatizo kuwa kubwa
Call/ WhatsApp 0712549157.