HUBA Chiropractic

HUBA Chiropractic Chiropractic for joint problem

◾Je una tatizo lolote la mifupa, Tendoni,Misuli,au Mishipa ya fahamu?Usipitwe na ofa hii.◾Karibu sana HUBA CHIROPRACTIC ...
17/01/2023

◾Je una tatizo lolote la mifupa, Tendoni,Misuli,au Mishipa ya fahamu?Usipitwe na ofa hii.
◾Karibu sana HUBA CHIROPRACTIC tunatibu Matatizo yafuatayo:
1.Pingiri za uti wa mgongo kupishana
2.Pingiri za uti wa mgongo kuvimba
3.Pingiri za uti wa mgongo kusagika
4.Matatizo ya magoti yote
5.Nyonga aina zote
6.Matatizo ya Mishipa ya fahamu
7.Stroke na Paralysis
8.Misuli kukaza
9.Enka aina zote
10.Mabega
11.Tendoni
12.Unyayo kuwaka moto
13.Ganzi mwilini
14.Uti wa mgongo kupinda
◾Kwa msaada wa Matibabu piga 0757999703/0687027872 au fika External Ubungo-Dar es salaam

◾Je una tatizo lolote la mifupa, Tendoni,Misuli,au Mishipa ya fahamu?◾Karibu sana HUBA CHIROPRACTIC tunatibu Matatizo ya...
15/12/2022

◾Je una tatizo lolote la mifupa, Tendoni,Misuli,au Mishipa ya fahamu?
◾Karibu sana HUBA CHIROPRACTIC tunatibu Matatizo yafuatayo:
1.Pingiri za uti wa mgongo kupishana
2.Pingiri za uti wa mgongo kuvimba
3.Pingiri za uti wa mgongo kusagika
4.Matatizo ya magoti yote
5.Nyonga aina zote
6.Matatizo ya Mishipa ya fahamu
7.Stroke na Paralysis
8.Misuli kukaza
9.Enka aina zote
10.Mabega
11.Tendoni
12.Unyayo kuwaka moto
13.Ganzi mwilini
14.Uti wa mgongo kupinda
◾Kwa msaada wa Matibabu piga namba ◾Je una tatizo lolote la mifupa, Tendoni,Misuli,au Mishipa ya fahamu?
◾Karibu sana HUBA CHIROPRACTIC tunatibu Matatizo yafuatayo:
1.Pingiri za uti wa mgongo kupishana
2.Pingiri za uti wa mgongo kuvimba
3.Pingiri za uti wa mgongo kusagika
4.Matatizo ya magoti yote
5.Nyonga aina zote
6.Matatizo ya Mishipa ya fahamu
7.Stroke na Paralysis
8.Misuli kukaza
9.Enka aina zote
10.Mabega
11.Tendoni
12.Unyayo kuwaka moto
13.Ganzi mwilini
14.Uti wa mgongo kupinda
◾Kwa msaada wa matibabu piga no ◾Je una tatizo lolote la mifupa, Tendoni,Misuli,au Mishipa ya fahamu?
◾Karibu sana HUBA CHIROPRACTIC tunatibu Matatizo yafuatayo:
1.Pingiri za uti wa mgongo kupishana
2.Pingiri za uti wa mgongo kuvimba
3.Pingiri za uti wa mgongo kusagika
4.Matatizo ya magoti yote
5.Nyonga aina zote
6.Matatizo ya Mishipa ya fahamu
7.Stroke na Paralysis
8.Misuli kukaza
9.Enka aina zote
10.Mabega
11.Tendoni
12.Unyayo kuwaka moto
13.Ganzi mwilini
14.Uti wa mgongo kupinda
◾Kwa msaada wa Matibabu piga 0745 433 987 au fika External Ubungo-Dar es salaam

◾Je una tatizo lolote la mifupa, Tendoni,Misuli,au Mishipa ya fahamu?◾Karibu sana HUBA CHIROPRACTIC tunatibu Matatizo ya...
15/12/2022

◾Je una tatizo lolote la mifupa, Tendoni,Misuli,au Mishipa ya fahamu?
◾Karibu sana HUBA CHIROPRACTIC tunatibu Matatizo yafuatayo:
1.Pingiri za uti wa mgongo kupishana
2.Pingiri za uti wa mgongo kuvimba
3.Pingiri za uti wa mgongo kusagika
4.Matatizo ya magoti yote
5.Nyonga aina zote
6.Matatizo ya Mishipa ya fahamu
7.Stroke na Paralysis
8.Misuli kukaza
9.Enka aina zote
10.Mabega
11.Tendoni
12.Unyayo kuwaka moto
13.Ganzi mwilini
14.Uti wa mgongo kupinda
◾Kwa msaada wa Matibabu piga namba 0678779357/0629065323 au fika HUBA CHIROPRACTIC External Ubungo-Dar es salaam

Hii Kwa ajiri ya watu wa dodoma je wewe una tatizo la tendoni,Misuli,mishipa ya fahamu na mifupa.Nitakuwepo dodoma kuanz...
13/12/2022

Hii Kwa ajiri ya watu wa dodoma je wewe una tatizo la tendoni,Misuli,mishipa ya fahamu na mifupa.Nitakuwepo dodoma kuanzia 11/12/2022 -18/12/2022 Nitarudi Dar es salaam.
◾Wagonjwa nitaowatibia wenye matatizo yafuatayo.
1.Matatizo ya pingiri mgongo kuvimba ,kusagika na kupishana.
2.Matatizo ya nyonga .
3.Matatizo ya mabega
4.Matatizo ya shingo
5.Matatizo ya Ganzi mwilini.
6.Matatizo ya magoti.
7.matatizo ya enka .
8.matatizo ya gout na arthritis
9.Kiwango kikubwa Cha uric acid kingi.
◾Muda wa Matibabu nitakuwa naanza kutibia kuanzia saa 09:00 asubuh-saa 06:00 jion .
◾Mahali :Maili 2 Kwa kijoti makaburi ya wahanga .
◾Kwa yoyote mwenye tatizo tajwa hapo juu au ndugu,jamaa na rafiki waweza wapa taarifa kwa mawasiliano piga no zetu 0757999703/0687027872 pia waweza nitumia message WhatsApp kwa no hizo hapo juu.

HERNIATED DISK /SLIPPED DISC (PINGIRI ZA UTI WA MGONGO ZILIZOPISHANA) ▶Ni maumivu yanayotokea baada ya ringi ya nje ya u...
20/09/2022

HERNIATED DISK /SLIPPED DISC (PINGIRI ZA UTI WA MGONGO ZILIZOPISHANA)
▶Ni maumivu yanayotokea baada ya ringi ya nje ya uti wa mgongo kuwa dhaifu na kuruhusu Ringi ya ndani kutoka nje .Hutokea kwenye lumber 5 na sacrum 1 hii hupelekea maumivu makali sana .
◾Uti Wa mgongo umegawanyika katika sehemu tano
1.cervical vertebrae INA pingiri 7 hii ndio Shingo
2.Thoracic vertebrae hii INA pingiri 12
3.Lumber vertebrae hii INA pingiri 5
4.sacrum vertebrae hii Ina pingiri 3
▶Disc zikipishana MTU husikia maumivu makali na ganzi kwasababu Neva za kwenye pingiri hubanwa MTU hupata ganzi miguuni sababu scia sciatic Neva hubanwa,na ganzi mgongoni na mwili pinched Neva hubanwa .Ganzi ya muda mrefu hupelekea kuparalaizi mwili
▶DALILI ZA PINGIRI ZA UTI WA MGONGO KUPISHANA
1.Maumimu kwenye kiuno yasiyoisha
2.Ganzi mwili mzima
3.maumivu ukusimama au kukaa muda mrefu
4.maumivu ukitembea
5.kukaza kwa kiuno
6.udhaifu Wa misuli na kukaza kwa misuli Mara kwa Mara
7.Kukosa balance ya kusimama
▶Suluhisho karibu HUBA Physiotherapy clinic tupo mabibo tutarudisha pingiri kwa kutumia mikono ,kurudisha mishipa yote iliyopishana,kutibu magoti yote sugu,kurudisha nyonga iliyofyatuka,kutibu macho kwa kurudisha mishipa yote iliyopishana,kutibu maumivu ya shingo, kutoa ganzi mwilini,tunatibu stroke na MTU aliyeparalaiz
▶piga no 0757999703/0687027872 au fuka HUBA CHIROPRACTIC External ubungo.

Hizi ndizo Dalili za kupishana kwa pingiri za kiuno(lumber 3,4,5 na sacrum 1) kiatalamu herniated disc.1.Maumivu makali ...
16/08/2022

Hizi ndizo Dalili za kupishana kwa pingiri za kiuno(lumber 3,4,5 na sacrum 1) kiatalamu herniated disc.
1.Maumivu makali Sana kiunoni na Misuli kukaza.
2.Ganzi miguuni.
3.Kuwaka Moto kiunoni.
4.Maumivu ukisimama
5.Maumivu makali ukikaa muda mrefu.
6.Maumivu makali kiunoni ukitembea .
7.Maumivu makali upande mmoja kuanzia kiunoni Kushuka kwenye mguu.
8.Miguu kuishiwa nguvu
9.kupoteza hisia kwenye Miguu hata K**a kitu kikichoma mguu .
10.Vidole kucheza Bila kuchezeshwa..
◾Je una tatizo hili la pingiri za kiuno kupishana.Tahadhari K**a hutoweza tibia pingiri zitazidi kuibana sciatic neva ambaya hupeleka mawasiliano miguuni na baada ya muda utapooza kuanzia kiunoni Kushuka kwenye Miguu hutokuwa na uwezo wa kufanya kazi sehemu hizo kitaalamu paraplegia paralysis.
◾Kwa msaada wa matibabu piga no 0678779357/0629065323 au fika HUBA CHIROPRACTIC external ubungo .

Hizi ndizo Dalili za kupishana kwa pingiri za kiuno(lumber 3,4,5 na sacrum 1) kiatalamu herniated disc.1.Maumivu makali ...
19/07/2022

Hizi ndizo Dalili za kupishana kwa pingiri za kiuno(lumber 3,4,5 na sacrum 1) kiatalamu herniated disc.
1.Maumivu makali Sana kiunoni na Misuli kukaza.
2.Ganzi miguuni.
3.Kuwaka Moto kiunoni.
4.Maumivu ukisimama
5.Maumivu makali ukikaa muda mrefu.
6.Maumivu makali kiunoni ukitembea .
7.Maumivu makali upande mmoja kuanzia kiunoni Kushuka kwenye mguu.
8.Miguu kuishiwa nguvu
9.kupoteza hisia kwenye Miguu hata K**a kitu kikichoma mguu .
10.Vidole kucheza Bila kuchezeshwa..
◾Je una tatizo hili la pingiri za kiuno kupishana.Tahadhari K**a hutoweza tibia pingiri zitazidi kuibana sciatic neva ambaya hupeleka mawasiliano miguuni na baada ya muda utapooza kuanzia kiunoni Kushuka kwenye Miguu hutokuwa na uwezo wa kufanya kazi sehemu hizo kitaalamu paraplegia paralysis.
◾Kwa msaada wa matibabu piga no 0757999703/0687027872 au fika HUBA CHIROPRACTIC External ubungo

Je na wewe upo katika kundi moja wapo hapa chini Chukua Tahadhari kabla pingiri za uti wa mgongo kusagika au kupishana.◾...
19/07/2022

Je na wewe upo katika kundi moja wapo hapa chini Chukua Tahadhari kabla pingiri za uti wa mgongo kusagika au kupishana.
◾Kutokana na mfumo mzima wa Maisha kwasasa unasababisha watu pingiri kupishana au kusagika kabsa na kupelekea ongezeko kubwa la watu wanaopooza au kuparalaizi (paralysis) bila kujua chanzo ni pingiri matatizo ya UTI wa mgongo.
◾Hawa ndio Aina ya kundi la watu Wanaopata madhara ya pingiri kupishana au kusagika kabisa.
1.Watu wanaokaa muda mrefu.mf madereva,watu wote wa ofisi
2.Watu wenye uzito mkubwa au wanene.
3.Watu wanaosimama muda mrefu .mf kwa watu wa saloon ,makondakta ,wahudumu sehemu za hotel na bar,nk.
4.Watu wanaonyenyua vitu vizito .mf watu wa Gym ,wabeba mizigo,nk
5.Watu wanaofanya kazi za kuinama muda mrefu .
6.Watu wanaolala muda mrefu maana Godoro Ni moja ya chanzo Cha pingiri za uti wa mgongo kupishana na ndio Mana Kuna ainq ya ulalaji ili kuondokana na matatizo ya UTI wa mgongo.
7.watu waliopata Ajari na kupata matatizo ya UTI wa mgongo.
◾Kamwe usifanye oparation ya UTI wa mgongo akajua ndio suluhisho ndio utaongeza tatizo katika clinic yetu tumekutana na wagonjwa wengi wenye majuto juu ya kufanya oparation ya pingiri za uti wa mgongo wakijikutq hawajatatua tatizo wameongeza tatizo .
◾Je unahitaji msaada wa tatizo la kupishana au kusagika kwa pingiri za uti wa mgongo piga no 0757999703/0687027872 au fika HUBA clinic external ubungo

Address

External Ubungo
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:40
Tuesday 09:00 - 18:40
Wednesday 09:00 - 18:40
Thursday 09:00 - 18:40
Friday 09:00 - 18:40
Saturday 09:00 - 17:30
Sunday 09:00 - 13:00

Telephone

+255757999703

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HUBA Chiropractic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to HUBA Chiropractic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram