Afya ni ushindi

Afya ni ushindi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya ni ushindi, KIGAMBONI FERRY, Dar es Salaam.

Ninakusaidia Kutatua Na Kuondokana na Maumivu Ya Ugonjwa Wako Unaokunyima Usingizi k**a Vile;
✅Bawasiri
✅P.I.D
✅U.T.I
✅Tatizo la HORMONE
✅Tatizo la MIFUPA na GANZI..
Kwa msaada 📢📢📢 PIGA /SMS🌟+255718810588 WhatsApp 🎯+255766 860 174
❌USIBEP

Bamia pekee sio TIBA kamili ya Ganzi  mwilini Leo NASAIDIA WATU WENYE SHIDA ya Ganzi mwilini na waliokwisha Tumia Bamia ...
12/01/2026

Bamia pekee sio TIBA kamili ya Ganzi mwilini

Leo NASAIDIA WATU WENYE SHIDA ya Ganzi mwilini na waliokwisha Tumia Bamia pekee

Kwa msaada wa Matibabu wasiliana nasi +255766860174

By Mr Stephen Kalonga

Je UNAPATA GANZI vidoleni Hasa Mkono Wako Wa Kushoto ?Nawasaidia  Watu Waliochoka mateso ya Ganzi , Maumivu ya Mifupa ,K...
10/01/2026

Je UNAPATA GANZI vidoleni Hasa Mkono Wako Wa Kushoto ?

Nawasaidia Watu Waliochoka mateso ya Ganzi , Maumivu ya Mifupa ,Kiuno ,Mgongo ,magoti Bila UPASUAJI

Kwa msaada zaidi wa matibabu tupigie Leo : +255766860174
By Mr. Stephen Kalonga

NAWASAIDIA Watu Wote wa Rika zote Wenye Shida ya Ganzi ,na Mifupa Usisubiri Mpaka Tatizo liwe SUGU !...
04/01/2026

NAWASAIDIA Watu Wote wa Rika zote Wenye Shida ya Ganzi ,na Mifupa Usisubiri Mpaka Tatizo liwe SUGU !...

03/01/2026

Watch, follow, and discover more trending content.

🚨🚨GANZI SI UGONJWA MDOGO – NI ONYO ⚠️🚨Unahisi kuchomachoma, kufa ganzi miguuni au mikononi, hasa usiku?Hii mara nyingi h...
03/01/2026

🚨🚨GANZI SI UGONJWA MDOGO – NI ONYO ⚠️🚨

Unahisi kuchomachoma, kufa ganzi miguuni au mikononi, hasa usiku?

Hii mara nyingi husababishwa na:

Mzunguko duni wa damu

Msongo wa mishipa (nerve pressure)

Kisukari, maumivu ya mgongo au uchovu wa muda mrefu

👉 Mwenye ganzi anatamani nini?



Kulala usingizi mzito bila kuamka usiku



Kurudi kutembea, kushika vitu na kufanya kazi bila maumivu



Kuepuka kupooza au madhara ya kudumu

⛔ Ukipuuza ganzi:

Inaweza kugeuka kuwa maumivu makali, kupoteza hisia kabisa au kuathiri uwezo wako wa kufanya kazi.

✅ Habari njema: Kuna tiba inayosaidia kurekebisha mishipa na kuboresha mzunguko wa damu mapema.

📲 Usingoje hali iwe mbaya!

Wasiliana nami sasa kuagiza dawa na kupata ushauri sahihi:

By the way ukianza matibabu Leo Utapata Ofa Ya Kusafirishiwa Dawa zako Bure ,Kokote Ndani Ya Tanzania



Utasimamiwa na kupatiwa Ushauri Bure Kipindi chote Cha matibabu

👉 WhatsApp: https://wa.me/255766860174

By Mr. Stephen kalonga

Afya yako ni mtaji — chukua hatua leo.

❌❌ BAWASIRI HAINA MFARIJI, LAKINI KUNA SULUHISHO SALAMA KWAKO!🚨👉 “Kama unaona DAMU chooni, tafadhali sikiliza hii.”-“Wat...
02/01/2026

❌❌ BAWASIRI HAINA MFARIJI, LAKINI KUNA SULUHISHO SALAMA KWAKO!🚨

👉 “Kama unaona DAMU chooni, tafadhali sikiliza hii.”
-
“Watu wengi wana bawasiri lakini wananyamaza kwa aibu…
maumivu wakati wa haja, kuungua, hata kukaa inakuwa shida.”
-
“Ukweli ni huu: ukichelewa kutibu bawasiri, huongezeka,
na kwa baadhi ya watu huishia hadi upasuaji.”
-
“Habari njema ni kwamba,
kuna njia salama ya kuitibu mapema bila fedheha, kwa siri kabisa.”
-
👉 “Usingoje iumize zaidi.

Niachie ujumbe WhatsApp sasa nikusaidie.”
Ushauri ni wa siri 📲 WhatsApp: +255766860174

By Mr. Stephen Kalonga

🚨 BAWASIRI SI MAUMIVU TU—NI ONYO LA AFYA YAKO ⚠️👉 Unatamani kuenda chooni bila maumivu, damu kuacha kutoka, kuwasha na u...
01/01/2026

🚨 BAWASIRI SI MAUMIVU TU—NI ONYO LA AFYA YAKO ⚠️

👉 Unatamani kuenda chooni bila maumivu, damu kuacha kutoka, kuwasha na uvimbe vipotee haraka?
👉 Unataka nafuu ya uhakika ili urudi kwenye maisha ya kawaida bila aibu wala hofu?

🚨 Onyo muhimu:
Bawasiri ikipuuzwa:
Husababisha vidonda na maambukizi ya ndani
Huleta upotevu wa damu taratibu

Dalili zake zinaweza kufanana na SARATANI ya utumbo mpana — hatari kubwa kuchelewa ❗

✅ Suluhisho lipo ukichukua hatua mapema.
📲 Wasiliana nami WhatsApp sasa hapa:

👉 https://wa.me/255766860174
⏳ Usingoje maumivu yaongezeke.

By Mr.Stephen Kalonga

Chukua hatua leo, linda afya yako.

⚠️ GANZI USIKU SI KAWAIDA — NI ONYO LA MWILI WAKOUnaamka usiku mkono au mguu umeganzi?Unahisi kuchomwa k**a sindano au b...
31/12/2025

⚠️ GANZI USIKU SI KAWAIDA — NI ONYO LA MWILI WAKO
Unaamka usiku mkono au mguu umeganzi?
Unahisi kuchomwa k**a sindano au baridi kali?
🚨 Ukichelewa kutibu:
Ganzi huwa ya kudumu
Huleta maumivu makali
Hupunguza nguvu za mikono/miguu
Hukukosesha usingizi na uwezo wa kufanya kazi
❌ Usiseme “itaisha yenyewe”
Ganzi haiponyeki kwa kusubiri — hupungua kwa matibabu sahihi mapema.
✅ Wengi waliokuwa hawalali usingizi, leo wako sawa kwa sababu walichukua hatua mapema.
📩 Usingoje hali iwe mbaya.

Nitumie ujumbe nikusaidie sasa.
👉 WhatsApp:
📲 https://wa.me/255766860174

By the way watu 9 watapatiwa offer ya dawa za kuchua Bure Kwa kipindi chote Cha matibabu
By Mr. Stephen Kalonga

Afya yako ni muhimu kuliko kisingizio chochote.

ASANTENI NYOTE KWA SUPPORT YENU KUTEMBELEA UKURASA HUU HAPA FACEBOOK   TAMBUA wewe ni Mtu wa thamani Sana kwangu na Kwa ...
31/12/2025

ASANTENI NYOTE KWA SUPPORT YENU KUTEMBELEA UKURASA HUU HAPA FACEBOOK

TAMBUA wewe ni Mtu wa thamani Sana kwangu na Kwa familia Yangu uwepo Wako hapa umenisaidia Mengi ikiwepo kujifunza kupitia Hasa Kuhusu masuala Yote Ya Kifya ,Magonjwa ,Sababu Mbali Mbali za magonjwa hayo ,Njia za kujikinga na matibabu Kwa ujumla ina mana wewe pekee Yako umenisaidia sana page hii kutambulika Nje na Ndani ya Tanzania .

Kwahiyo sio jambo jepesi na Wala sio jambo Dogo ,Asante Sana Kwa mwaka 2025 na Sasa tunaelekea mwaka 2026 Napata nguvu ya kuqmini Kuwa na followers Wengi zaidi wasiopungua 110k Katika page hii

Share jumbe zangu za Masomo kwq watu 10 zaidi Ili nawe Unisaidie kujiepusha na magonjwa Hatari zaidi Siku zote tunashindq na Kuwa naa Afya Njema

Bye mwaka 2025 na Karibu mwaka 2026

Ni Mimi mtaalamu wako
By the way usiache kujifunza hapa Bure Kabisa ila ukiwiwa kuchangia BUNDLE Tuna shukuru Kwa Mpesa Yetu 0752 171120
Au misxx by Yas 0718 810 588

By Mr.

🚨Nasaidià Watu Wenye Shida Ya Ganzi,Mikononi,Miguuni Hasa KUWAKA Moto!..k**a Unapata Maumivu ya Mifupa na Ganzi Suluhish...
31/12/2025

🚨Nasaidià Watu Wenye Shida Ya Ganzi,Mikononi,Miguuni Hasa KUWAKA Moto!..

k**a Unapata Maumivu ya Mifupa na Ganzi Suluhisho lako liko Limepatikana

Ina Mana Ukiwahi Mapema matibabu Uhakika 100% kuponà kuanzia siku ya 7-21 tu

Kwahiyo Ganzi Inatibika ,Mifupa Inatibika ,Mgongo na magoti yanatibika kikubwa nani Anakutibu
kutana na Mtaalamu wa masuala ya nerva na Mifupa.

By the way watu 9 tu pekee watapatiwa Dawa za kupaka na kuchua Bure Kwa kipindi chote Cha matibabu

mawasiliano+255766860174 Whatsapp

By Mr.Stephen Kalonga.

Nasaidià Wale tu waliochoka na Mateso Ya Bawasiri, Maumivu Njia Ya Haja Kubwa ,Damu ,Kinyama Kwa Njia Ya Dawa Tu na Sio ...
31/12/2025

Nasaidià Wale tu waliochoka na Mateso Ya Bawasiri, Maumivu Njia Ya Haja Kubwa ,Damu ,Kinyama Kwa Njia Ya Dawa Tu na Sio UPASUAJI

Ina Mana Ukiwahi Mapema matibabu Ni Uhakika Wa Kupona 100% DAWA zitakusaidia kusaga Chakula Vizuri na Kusababisha kupatq choo laini Bila Maumivu Wala damu,na Kukusaidia mishipa kusinyaa na Kuondoa Kinyama hicho ulichonacho Sasa

Kwahiyo matibabu yapo na Wala sio UGONJWA wa KUROGWA huo

Tafadhali Tuwasiliane Kwa msaada wa Matibabu tu hata k**a Uliwahi kufanyiwa UPASUAJI wee njoo nitakusaidia Dozi Yenye ubora wa Hali ya juu

By the way watu 10 wa kwanza watapata ofa ya dawa za Kuondoa Gesi Tumboni Bure Kabisa kwa kipindi chote Cha matibabu

nipigie /Whatsapp wa.me 255766860174
By Mtaalamu Wako
Mr. Stephen Kalonga.

Address

KIGAMBONI FERRY
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ni ushindi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ni ushindi:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram