
21/09/2023
I: ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP
Hii sabuni imetengenezwa na:
1)Asali wa nyuki wa mwitu
2)Mafuta ya n**i
3)Mafuta ya mchikichil
4)Majani ya mchaichai
FAIDA ZA ANATIC SOAP
1;Inaondoa makovu na mabaka mwilini
2:Inaondoa miwasho,vipele
3:Ni nzuri kuitumia k**a after shave kwa wanaume
4:Huua bakteria kwenye ngozi
5:Inatibu chunusi, upele, harara
6: Nzuri kwa watu wenye mapunye,mafua
7:Inasaidia kukuza nywele na kulinda zisikatike hovyo kwa
kuoshea k**a shampoo
8:Inalinda ngozi yako na mionzi ya jua. Nzuri pia hata kwa
wale wanaotumia cream kali
9: Nzuri kwa watoto hata awe mchanga
10:Inazuia malengelenge unapokuwa umeungua na maji
au mafuta baada ya kupaka povu lake
Wanaoitumia wanajua hii ni sabuni kwa nje lakini kwa
ndani ni zaidi ya sabuni kwa kazi zake. Mnunulie mwanao
au familia yako leo
Ijaribu leo hakika hutojuta na utapenda uitumie kila siku na
kila mara.hii ndio mkombozi wa ngozi yako na matatizo
yako.
Inunue Leo kwa ofa
Wahi mapema mzigo umebakia kidogo.
http://wa.me/255655919608