Afya ya mifupa na DR.AThumani

Afya ya mifupa na DR.AThumani ATHUMANI MTAALAMU WA VIUNGO NA MIFUPA...
+255710 878 673.

Alhamdulillah for everythingThanks allah.Allah kareem alwaysJumaaa Qareem 🌙🙏....
21/06/2024

Alhamdulillah for everything
Thanks allah.
Allah kareem always
Jumaaa Qareem 🌙
🙏....

15/02/2024

I got 3 reactions on my recent top post! Thank you all for your continued support. I could not have done it without you. 🙏🤗🎉

15/02/2024

VIUNGO KULIKA NA KUSAGIKA
HUDUMA YA SIMU+255710878673.
Osteoarthritis, pia inajulikana k**a maumivu ya viungo, ni ugonjwa unaosababisha dalili nyingi za kusumbua. Lakini kuna habari njema! 🎉 Lishe yenye wanga mdogo inaweza kuwa ufunguo wa kupunguza maumivu haya.

Maumivu Yasiyokoma 🤕
Maumivu ya viungo yanaweza kuwa ya kudumu na yanaweza kutokea sehemu yoyote ya mwili, iwe ni magotini, kiunoni, mgongoni au hata kwenye mikono. Dalili zingine za kawaida ni pamoja na ugumu wa viungo asubuhi na uvimbe kwenye mikono na miguu.

Lishe ya Chini ya Wanga 🥗
Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha kuwa lishe yenye wanga mdogo inaweza kupunguza kiwango na ukali wa maumivu, na hata kusaidia katika kuzuia uharibifu wa viungo. Lishe hii pia inaweza kupunguza msongo wa oksidi mwilini.

Vyakula Vinavyosaidia 🍌🍒
Banana: Ina athari ya kupunguza uchochezi na inaweza kupunguza uharibifu wa cartilage.
Cherry: Ina flavonoids ambazo zinapunguza uchochezi.
Maziwa: Inasaidia kuimarisha mifupa na kuchelewesha osteoarthritis.
Kitunguu saumu: Ina athari kubwa ya kupunguza uchochezi.
Nanasi: Ina enzyme ya bromelain ambayo ina athari ya kupunguza uchochezi.
Matunda ya machungwa: Yana vitamini C ambayo inasaidia katika utengenezaji wa collagen ....
HUDUMA YA SIMU+255710878673

02/02/2024

CHANGAMOTO YA MGONGO
MGONGO......
× KWENYE MGONGO KUNA UTI WA MGONGO AMBAO UMETENGENEZWA KWA PINGILI ZA UTI WA MGONGO
×.KATI YA PINGILI NA PINGILI YA UTI WA MGONGO KUNA DISC AMBAYO NDIYO CARTILAGE YENYEWE YAAANI GEGEDU.
×HIYO DISC NDANI YAKE KUNA UTE UTE AMBAO HUSAIDIA MJONGEO WA MGONGO.
×.HIYO DISC KAXI YAKE NI KUZUIA PINGILI ZISIGUSANE KWENYE UTI WA MGONGO

HATUA ZA PINGILI ZA UTI WA MGONGO KUSAGANA
1.Disc kuwa dhaifu..upungufu wa virutubisho na disc kuwa lain
2.Disc kutuna ili ute ute utemwe ..
Hapa ndipo DISC huathiriwa na kubonyenza na kusababisha na kuathiri mishipa ya fahamu
3.Ute kutemwa kwenye disc na kuathiri mishipa ya fahamu..
4.Disc kuwa nyembamba na kulika kabisa...
5.Pingili kugusana kabisa.
Piga 0710 878 673 kwa tiba na ushauri...

02/02/2024

MATATIZO YA MIFUPA 1.OSTEOARTHRITICS HUSABABISHWA NA UMRI
02.RHEUMATIC ARTHRITIS HUSABABISHWA NA KINGA YA MWILI 03.0STEOARTHRITIS HUSABABISHWA NA UPUNGUFU WA CALCIUM

OSTEOARTHRITIS Tatizo hili linaathiri na viungo baadae huathiri mifupaHutokea baada ya gegedu (cartilage)kulika kwenye viungo pia uteute kuisha huathiri viungo mbalimbali k**a vile pingili za ute wa mgongo, nyonga magoti n.k
NBVIUNGO NI MUUNGANIKO WA MIFUPA YA MWILI KATIKATI YA VIUNGO KUNA GEGEDU (CARTILAGE)HII NI PLASTIC YA ASILI INAYOZUIA MIFUPA NA MIFUPA VISIGUSANE KWENYE VIUNGOHUTOKEA PALE AMBAPO GEGEDU (CARTILAGE) IMEISHA, IMELIKA NA UTEUTE KUPUNGUA

SABABU KUU INAYOPELEKEA KUTOKEA KWA 0STEOARTHRITS
01 virutubisho vinavosaidia kuimarisha gegedu kupungua mwilini mara nyingi husababishwa na umri
SABABU ZINAZOONGEZA KASI YA KUTOKEA KWA 0STEOARTHRITS
A.Uzito kupindukia
B.Historia ya kifamilia
C.Ajali
D.kutumikisha viungo kupita kiasi mfano michezo, mazoezi. Nk

CHANGAMOTO KATIKA KUTIBU
01 Watu wengi wanatumia dawa za maumivu
02 watu wengi wanafanyishwa mazoezi

DALILI ZA VIUNGO KUSAGANA
1MAGOTi
-maumivu kwenye magoti
-magoti kushindwa kujikunja
-kushindwa kupanda ngazi kwa urahisi
-kusikia milio ya mifupa kugusana kwenye magoti
02 MGONGO / UTI WA MGONGO
-maumivu kwenye mgongo
-kushindwa kuinama
-maumivu wakati wa kuinama
-Ganzi miguuni,mapajan
03 BEGA
-kushindwa kunyanyua mkono na kusikia maumivu makali kwenye began.
CHANGAMOTO YA MGONGO
-kwenye mgongo kuna uti wa mgongo ambao umetengenezwa kwa pingili za uti wa mgongo
-Kati ya pingili na pingili ya uti wa mgongo kuna disc ambayo ndiyo CARTILAGE
-hio disc ndani yake kuna uteute ambao Husaidia mjongeo wa mgongo
-na hio disc kazi yake n kuzuia pingili zisigusane

HATUA ZA PINGILI ZA UTI WA MGONGO KUSAGANA
1 disc kuwa dhaifu ama laini
02 disc kutuna ili ute ute utemwe
03 ute kutemwa kutoka kwenye disc
04disc kuwa nyembamba na kulika kqbisa
05 pingili kugusana kabisa
Piga 0710 878 673 na ushauri ama tiba.

MATATIZO YA MIFUPA 1.OSTEOARTHRITICS HUSABABISHWA NA UMRI 02.RHEUMATIC ARTHRITIS HUSABABISHWA NA KINGA YA MWILI 03.0STEO...

Piga +255710 878 673 na ushauri ama tiba.

17/01/2024

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255710878673

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya mifupa na DR.AThumani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ya mifupa na DR.AThumani:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram