08/03/2023
CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO
Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng'enyo, vyanzo hivyo ni;
Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori) Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a
asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine) Kuwa na mawazo mengi Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi Kunywa pombe na vinywaji vikali
Uvutaji wa sigara
Kuto kula mlo kwa mpangilio DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili k**a;
gastrita
Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza
kuchanganyikana na damu Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
Kushindwa kupumua Vizuri
WhatsApp & Call +255754265163