12/09/2020
TATIZO LA WANAUME KUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA!
Ndugu zangu leo napenda tulijadili tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa, kwa maneno mengine ya mitaani linaitwa tatizo la kukosa ny*ge. Kuna sababu nyingi zinazompelekea mtu kuwa na Tatizo hili K**a vile; Maradhi ya mida mrefu (Kisukari, Presha, UTI...) Wasiwasi, Uchovu, Kijichua, Ulaji na Mtindo wa maisha Nk..
Bahati nzuri ni kwamba kuna mambo unayoweza kuyafanya kupunguza ukubwa wa tatizo hili au kuliondoa kabisa. Watu wengine wanamini kuwa hamu ya kufanya tendo la ndoa inapungua kadri umri wa mwanamme unavyoongezeka. Wakati ni kweli kwamba hilo huwatokea wengi, SIYO LAZIMA kwamba hamu ya kufanya mapenzi ipungue umri unapoongezeka. Kuna idadi kubwa tu ya wanaume ambao hamu yao ya kufanya tendo la ndoa imebaki vilevile hata umri wao ulipokuwa mkubwa kabisa.
Acha Kuteseka Tiba Ipoo ya ASILI, unaweza kuyafurahia tena Mahusiano.. 0748106464