afya zone

afya zone Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from afya zone, Medical and health, Dar es Salaam.

16/03/2023
16/03/2023

________________________________
TIBA YA UZITO, UNENE, KITAMBI, NYAMA UZEMBE ,MAFUTA MENGI MWILINI NA KUTOA SUMU
________________________________
Piga (contact us)
0753 939 748
_______________________________
MADHARA YA KUWA NA UZITO MKUBWA NA MAFUTA MENGI MWILINI
_________________________
1. Matatizo kwenye figo
2. Uwepo wa michirizi
3. Kupunguza hamu ya tendo la ndoa
4. Kuharibu mfumo mzima wa upumuaji
5. Kuharibu ini
6. Hupelekea uwezekano wa kupata kisukari,tatizo la presha na guot
7. Hupelekea changamoto kwenye mfumo wa moyo
8. Hupelekea kuleta shida kwenye mfumo wa ubongo
9. Hupunguza kasi ya kuishi
10. Huleta shida kwenye mmeng'enyo wa chakula
11. Maumivu kwenye viungo k**a vile magoti,kiuno nk
12. Kuongeza kiwango cha mafuta mwilini.
___________________________
FAIDA ZA LISHE YA KUPUNGUZA MWILI
___________________________

1. Hupunguza mafuta mwilini
2. Huondoa minyama uzembe.
3. Hupunguza uzito
4. Huboresha mzunguko wa damu.
5. Hutibu bawasiri
6. Huzuia sukari isifyonzwe mwilini.
7. Huongeza uwezo wa mwili kuchoma mafuta.
8. Huzuia mafuta yasifyonzwe na kuhifadhiwa mwilini.
9. Huondoa hamu ya kupenda vitu vitamu.
10. Huzuia ubadilishwaji wa chakula cha wanga.
11. Inayayusha mafuta yaliyoko mwilini
12. Huzuia sukari isifyonzwe mwilini.
____________________________
NANI ANAPASWA KUTUMIA
_____________________

1. Wanaotaka kupunguza uzito
2. Wanaotaka kuondoa kitambi
3. Wanaotaka kuondoa minyama uzembe.
4. Wanaotaka kupunguza mwili.

16/03/2023

_________________________________
TIBA YA KUDUMU YA UGONJWA BAWASIRI/MGORO/HAEMORRHOIDS
_____________________________
MAWASILIANO
0753 939 748
__________________________________

BAWASIRI NI NINI ? NA TIBA YAKE YA ASILI YA KUDUMU NI IPI ?

Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama ambacho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/mgongo nk

Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa kinyama,miwasho,maumivu makali na kutoa damu

MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI

[1] Uzito kupita kiasi(Overweight)
[2] Ujauzito
[3] Unywaji pombe
[4] Kukaa sana sehemu ngumu
[5] Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa.
[6] Kujisaidia Choo Kigumu.
Miongoni mwa sababu za kujisaidia choo Kigumu ni
@ Vidonda vya TUMBO
@ Ngiri/Hernia
@ Ulaji duni
[7] Kula sana nyama nyekundu
[8] Presha ya kupanda
[9] Kula sana pilipili
[10] Kula udongo - Wajawazito na watoto wadogo.
[11] Tatizo sugu la kuharisha
[12] Kunyanyua vitu vizito

DALILI ZA BAWASIRI

[1] Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa

[2] Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa

[3] Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa

[4] Kupata kinyesi chenye damu

[5] Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa

[6] kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa

[7] Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa

[8] Uume kusinyaa - unapoteza urefu na ukak**avu

ATHARI/MADHARA YA BAWASIRI

[1] Upungufu wa damu mwilini

[2] Kutokwa na kinyesi bila kujitambua

[3] kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

[4] kupungukiwa nguvu za kiume

[5] kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu

[6] Kupata tatizo la kisaikolojia

[7] Kutopata ujauzito

[8] Mimba kuharibika

[9] Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer)

[10] Mwili kudhoofika

[11] Upungufu wa damu mwilini

[12] Kutokwa na kinyesi bila kujitambua

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when afya zone posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to afya zone:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram