19/11/2024
UTOFAUTI KATI YA BONE MARROW NA SYNOVIAL FLUID (UTE UTE).
0656 793 841.
BONE MARROW.
-----------------------------
Bone marrow ni tishu laini zinazo patikana katikati ya mdupa au ndani ya mfupa.
Bone marrow hizi zinakua na rangi ya manjano na nyekundu.
Kazi ya bone marrow ni kuzalisha cells mabalimbali za damu ambazo ni...
-Red blood cells
-White blood cells
-Platelets
SYNOVIAL FLUID (UTE UTE).
-----------------------------------------------
Hiki ni kimiminika kinachopatikana kwenye maungio ya mifupa (joint's).
Kazi yake nikuweka ulainishi kwenye joint na kusaidia mfupa na mfupa viweze kupishana pasipo na msuguano.
Ute ute unahali ya kimiminika chenye kulendemka k**a mlenda au yai.
Hivyo mtu anapopata shida ya joint kutoa milio au mifupa kusagika maana yake nikua amekaukiwa na ute ute kwenye maungio ya mifupa yake au joint's zake
Inapaswa mtu huyu apate msaada wa virutubisho vitakavyo msaidia kulejesha ute ute kwenye joint zake au maungio yake.
Na k**a wewe unaesoma au kusikiliza ujumbe huu unachangamoto ya maungio yako au joint's zako kutoa milio, kuhisi maumivu na kusagika
karibu tuweze kukusaidia namna ya kulejesha ute ute kwenye joint's zako kwa kutumia virutubisho vyenye GlucosAmine na Chondroitine ya asili na vyenye ubora wa hali ya juu
Na tatizo lako litakwisha kabisa
Kwa mawasiliano zaidi
piga no - 0656 793 841.
゚ ゚viralシfypシ゚