Afya ya muonekano

Afya ya muonekano Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya ya muonekano, Medical and health, Makumbusho, Dar es Salaam.

Angel.... nifanye nin ili niondoe hili tatizo ndani ya mwili wangu?Waaaaaoh, Karibu umekuwa ukijiuliza maswali mengi juu...
04/11/2021

Angel.... nifanye nin ili niondoe hili tatizo ndani ya mwili wangu?
Waaaaaoh, Karibu umekuwa ukijiuliza maswali mengi juu ya tatizo au changamoto inayokusumbua......sasa suluhisho limepatikana 🏃🏃njoo nikupe suluhisho ya kuondoa nyama uzembe,kitambi,unene na uzito Kwa njia rahisi kabisaaa na nyepesi ndani ya siku 9 tu bila madhara yoyote ya kiafya.
Wasiliana NAMI WhatsApp namba***0683864656*** Karibu nikuhudumie

03/11/2021
WEIGHT MANAGEMENT PROGRAM (CLEAN 9.)Hongereni sana ndugu kwa kuonyesha msisitizo mkubwa na usirious wenu juu ya program ...
03/11/2021

WEIGHT MANAGEMENT PROGRAM (CLEAN 9.)

Hongereni sana ndugu kwa kuonyesha msisitizo mkubwa na usirious wenu juu ya program hii maalum ya kupunguza UNENE,UZITO, NA KITAMBI 👏 👏👏👏👏 kupitia program hii na mmeweza kufuata maelekezo ya matumizi nasasa imeweza kuwafanya kuwa na muonekano mpya HONGERENI SANA.

Watu wengi wamekua wakiangaika sehemu mbali mbali na wamekua wakitumia madawa na njia mbali mbali ili tu waweze kupunguza kitambi na unene uliopitiliza na wamekua hawapati matokeo kwa kiwango wanachohitaji kutokana na njia wanazotumia.
Wengi wao wamekua wakijikanda kwa maji moto, kujifunga mikanda ili kubana tumbo na wengine kufanya mazoezi na kunywa baadhi ya madawa lakini hawapati matokeo mazuri licha ya kufanya njia zote hizo.
⭐ipo njia rahisi na salama ambayo tumewaonyesha watu wengi na kuwapatia program hii na imewasaidia sana kwa zaidi ya 99% na 1% ni jitihada za mlengwa kufuata maelekezo atakayopewa Mara Banda ya kuamua kutumia program hii maaalum.
⭐CLEAN 9 hii program ni rahisi sana na mlengwa anapaswa kuitumia ndani ya siku 9 na husaidia kukupatia mambo matatu yafuatayo katika mwili .
1.VIRUTUBISHO
2. MAZOEZI
3.KUIMARISHA KINGA YA MWILI NA VITAMINS
Lakini pia husaidia kuufanya mwili wako kuwa katika hali 👇👇👇 nzuri na kuondoa mambo yafuatayo.

👉🏻husaidia kuondoa sumu na chemical mwilini.
👉🏻husaidia kuondoa mafuta mafuta mwilini na kuyalainisha mafuta yaliyoganda kwenye utumbo
👉🏻husaidia kupunguza kilo kwa kiwango kikubwa kutokana na mafuta yatakayoyayushwa mwilini kwa 90%
👉🏻husaidia kupunguza kitambi mfano. Vitambi vinavyotokana na bia, vitambi baada ya kujifungua; vitambi kutokana na vyakula tunavyokula.
👉🏻husaidia kukufanya kuwa na muonekano mpya na wenye mvuto zaidi.

⭐ Karibu kwa ushauri Zaid wasiliana nami kupitia
Sms
Call 📞📞
What's app☎ +255683864656
NB: USISAHAU KULIKE PAGE HII ILI KUJIPATIA MAMBO MAZUR ZAIDI.

UKIFUGA UZITO WAKO UNAFUGA MARADHI MWILINI MWAKO..Fanya upunguze kilo zako sasa.Call/WhatsApp 0683864656kupata Ushauri z...
02/11/2021

UKIFUGA UZITO WAKO UNAFUGA MARADHI MWILINI MWAKO..
Fanya upunguze kilo zako sasa.
Call/WhatsApp 0683864656kupata Ushauri zaidi.

Kwann uteseke kwa kufanya mazoezi yasiyo na mafanikio ili kuondoa manyama Uzembe na Kitambi? Wasiliana nasi ili tukuonye...
31/10/2021

Kwann uteseke kwa kufanya mazoezi yasiyo na mafanikio ili kuondoa manyama Uzembe na Kitambi? Wasiliana nasi ili tukuonyeshe njia sahihi ya wewe kufanya kwa kutumia program yetu ya C9 yenye natural supplements pekee ili kukuwezesha kupunguza kilo,,, kuondoa manyama Uzembe lakini pia kufanya cleansing ya mwili mzima ndani ya 9 days,,,

Wasiliana nasi kupitia What's App /calls +255683864656 popote ulipo tunakuletea,,,, ofa yetu ni free delivery mpaka ulipo

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya muonekano posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram