Dr.ayman_afya & products

Dr.ayman_afya & products life better future

Tatizo la  kitambi.Kitambi ni hali ya kiafya ya mtu mnene ambapo mafuta ya ziada mwilini huongezeka eneo la tumbo kwa ki...
27/08/2023

Tatizo la kitambi.

Kitambi ni hali ya kiafya ya mtu mnene ambapo mafuta ya ziada mwilini huongezeka eneo la tumbo kwa kiasi kikubwa.

Mtu akiwa na kitambi anapata athari kubwa ikiwamo kupungua kwa umri. Katika karne hii, hili ni mojawapo ya tatizo kubwa la kiafya duniani. Hata hivyo, tatizo la kitambi kiafya linarekebishika.

Katika mawazo ya kizamani na hata sasa katika baadhi ya nchi mtu akiwa na kitambi anaonekana ni tajiri.

Tatizo la unene na vitambi litazidi kuongezeka ikiwa serikali, hususan wananchi wenyewe hawatachukua hatua za dharura na mipango madhubuti kulikabili.

Vitambi hupunguza maisha ya watu wenye hali hiyo ya afya, hivyo kusababisha upotevu wa rasilimali watu.

Ili kuepukana na athari hiyo watu wahakikishe wanabadili namna wanavyoishi na milo yao. Wengi wana muda mchache sana wa kutayarisha vyakula visivyo na mafuta mengi majumbani mwao, hivyo wanakula nje zaidi, yaani kwenye hoteli na migahawa na matokeo yake ni kuwa na vitambi.

Kuna wengi wanatambua athari za tatizo la unene na vitambi, lakini hawafanyi chochote kulirekebisha, hii inatokana na ukweli kwamba idadi kubwa ya watu hawajui maana halisi ya kuwa na afya njema.

Watu wengi, hasa vijana wamekuzwa kwa kula chipsi, mikate na vyakula vya sukari na si mbogamboga na matunda.

Ukweli ni kwamba watu wengi hawafanyi mazoezi ya kutosha k**a ilivyokuwa zamani hivyo, watu wenye vitambi wanaongezeka kila sehemu.

Kwa ujumla, umri wa mtu mnene mwenye kitambi huwa pungufu kwa miaka 8 had 10 ukilinganisha na mtu mwenye umbo la kawaida.

Hii inatokana na ukweli kwamba uzito wa mtu husababisha magonjwa ya moyo, aina fulani ya kisukari, magonjwa ambayo huua mamilioni ya watu duniani kote. Kifupi ni kuwa ukiwa na mafuta mengi mno utakuwa kwenye hatari ya kukumbwa na magonjwa k**a ya kupanda kwa presha, magonjwa ya moyo, kansa. Kuongeza uzito au kunenepa kunasababisha mwili ushindwe kupata sehemu ya kutosha ya kuhifadhi mafuta na hivyo kuanza kuyatunza mafuta hayo kwenye sehemu za ndani ya mwili, kuuzunguka moyo na ndipo matatizo yanapoanza.

27/08/2023

Je ni mazoezi gani ambavyo yanasaidia kupunguza na kumaliza UZITO ULIOPITILIZA??
Karibu kwenye darasa letu WhatsApp nikufunze...

15/08/2023

Kwa wale fizi zao zinatoa damu na kinywa kutoa harufu mbaya jipatie hii Dr. Ts
Karibu

10/08/2023

Mawasiliano .0784276375

Jipatie hii dawa kwa Tsh.85000/= kokote ulipo tunakuletea kwa uaminifu  0763763379
18/07/2023

Jipatie hii dawa kwa Tsh.85000/= kokote ulipo tunakuletea kwa uaminifu 0763763379

Jipatie bidhaa bora kwa Tsh.46000/= tu ni free delivery
18/07/2023

Jipatie bidhaa bora kwa Tsh.46000/= tu ni free delivery

Kalibu ujipatie urudishe ngozi yako ya kawaida kwa 12000/= tu.
18/07/2023

Kalibu ujipatie urudishe ngozi yako ya kawaida kwa 12000/= tu.

Address

Temeke
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.ayman_afya & products posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr.ayman_afya & products:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram