![Mwanaume alie jichua Kwa mda mrefu na kuangalia video za ngono mara nyingi hupata Dalili zifuatazo 1]. Maumivu ya mgongo...](https://img5.findhealthclinics.com/179/535/412894511795357.jpg)
28/07/2024
Mwanaume alie jichua Kwa mda mrefu na kuangalia video za ngono mara nyingi hupata Dalili zifuatazo
1]. Maumivu ya mgongo,kiuono
2].Mwili kuwa na uchovu mda wote
3].Hofu na kutojiamini
4].Kupungukiwa na uwezo wa kufikli anapokuwa kwenye majukumu ya kula siku
5]. Kushindwa kushiriki tendo la ndoa kikamilifu
Unatakiwa ufanye nini ili kurudisha uwezo wako na nguvu zako za kiume fuata hatua hizi kuweza kujiokoa
HATUA 10 ZA KUACHA PUNYETO;
1]. ACHA KUANGALIA VIDEO ZA NGONO
2]. AMUA KUACHA
3]. JISHUGHULISHE
4]. FANYA MAZOEZI YA KEGEL
5]. TAFUTA MSAADA
6]. ONGEA NA MTU
7]. TAFUTA SAPOTI YA GROUP
8]. KUWA MVUMILIVU
9]. KUWA MKWELI
10]. VAA NGUO ZA ZIADA USIKU WAKATI WA KULALA
Fuata hatua hizo Kwa mda WA siku 30 mpka 90 utaweza kurudisha uwezo wako na kurudisha nguvu zako za kiume
Kila la kheri
Kwa Ushauri Binafsi call/ WhatsApp ☎️ 0752103399