Afya ni Uhai

Afya ni Uhai Kupewa ushauri na kutibiwa kwa sululisho la kudumu

Kwa wanaohitaji huduma wiki hii kuna ofa piah!
06/10/2022

Kwa wanaohitaji huduma wiki hii kuna ofa piah!

Ushuhuda  pia we ni nani usipone
06/10/2022

Ushuhuda pia we ni nani usipone

Shuhudaaaaaa 👇👇👇😅
06/10/2022

Shuhudaaaaaa 👇👇👇😅

Tumia hiii kupunguzaa sumu mwilini!
06/10/2022

Tumia hiii kupunguzaa sumu mwilini!

06/10/2022

Je unasumu nyingi mwilini? tumia virutubisho sasa

TIBA YA  MIFUPA NA MAUNGIO KWA  WASUMBULIWAO NAMAUMIVU YA NYONGA,  KIUNO, MGONGO NA MAUNGIO (JOINTS)?  MSHAURI: +2557451...
01/10/2022

TIBA YA MIFUPA NA MAUNGIO KWA WASUMBULIWAO NA
MAUMIVU YA NYONGA, KIUNO, MGONGO NA MAUNGIO (JOINTS)?

MSHAURI: +255745136428
➡▪Hasa maumivu ya kusambaa kutoka kwenye nyonga mpaka kwenye goti

Tatizo hili huweza humpata mtu yeyote. Maumivu ya kiuno huanza chini ya mgongo na kuk**ata katika vifupa vilivyo kwa chini
karibu na makalio. Maumivu haya husambaa kulia na kushoto na wakati mwingine huteremka hadi mapajani. Pamoja na kuwepo katika vifupa hivyo pia ndani zaidi huweza kusababisha maumivu haya yatoke kwa ndani na kusambaa nje yaani katika eneo la kiuno.

Maumivu ya nyonga huweza kutokea sambamba na maumivu ya kiuno au nyonga yakawa peke yake. Nyonga huunganisha miguu na mifupa ya mapaja inayotengeneza kiuno. Nyonga ndiyo inayofanya utembee, inakuwezesha kutoka sehemu moja hadi nyingine, kukaa na kuruka.

SABABU ZINAZOPELEKEA MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA (mifupa kwa ujumla)

1.Kujichua muda mrefu hupelekea maumivu hayo. Zipo dawa za kuacha kujichua na kurudisha nguvu zilizopotea.
2.Namna ya kulala (style) /godoro linaweza kukusababishia maumivu hayo
3.Kubeba mizigo kwa kuinama na mzigo.
4.mawazo (stress).
5.kulala kwa muda mrefu na matumizi mabaya ya mto.

MADHARA YA MAUMIVU HAYO NI K**A YAFUATAYO;

1.Hupelekea kushindwa kufanya tendo LA ndoa.
2.hupelekea kupooza kwa baadhi ya viungo vya mwili na kushindwa kutembea (kupata kilema cha kudumu)
3.hupelekea kuwahi kufika kileleni mapema wakati wa tendo na kushindwa kurudia.
4.Unaweza kushindwa kutembea kabisa /kunyanyuka, utakaa ukiwa umelala.

Habari njema ni kwamba baada yakufanya utafiti wa kina kwa mda mrefu sasa tiba imepatikana,tiba ya uhakika na ya haraka
Kwa matibabu ya haraka na sahihi wasiliana nasi,+255745136428

Whatsap https://wa.me/c/255745136428

P.I.D NINI,DALILI ZAKE NI ZIPI, MADHARA YAKE NI YAPI?P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease.P.I.D Ni maambukizi kwenye via v...
30/09/2022

P.I.D NINI,DALILI ZAKE NI ZIPI, MADHARA YAKE NI YAPI?
P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease.
P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS)
Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa P.I.D ni NEISSERIA GONORNOAE na CHLAMYDIA TRACHOMATIC

WANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D
-Kupitia ngono zembe
-Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja
-Kufanya mapenzi bila kutumia kinga
-Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono
-Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara
-Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba
-Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako
-Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano)
- Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda mrefu

DALILI ZA P.I.D
-Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa
-Uke kutoa harufu mbaya
-Kuwashwa sehemu za siri
-Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
-Uke kuwa mlaini sana
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kuvurugika kwa hedhi
-Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi
-Maumivu wakati wa kukojoa
-Homa, uchovu na kizunguzungu

MADHARA YA P.I.D
-Maumivu ya tumbo au nyonga ya mara kwa mara mara baada ya tendo la ndoa. au kipindi cha upevushaji mayai hali hii hutokana na majeraha yaliyopi katika mirija ya uzazi
-Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija za uzazi ambayo hipelekea mirija kuziba
-Kubeba mimba nje ya kizazi husababishwa yai kushindwa kufika kwenywe mji wa uzazi kupitia mirija ya uzazi
-Ugumba kwa mwanamke
-kupata kansa ya shingo ya uzazi

JINSI YA KUEPUKANA NA P.I.D
Japo kuwepo na tiba za kujitibu lakini unashauriwa kinga ni bore kuliko tiba hivyo zingatia yafuatayo;-
-Epuka kufanya ngono zembe
-Usifanye mapenzi baada ya kujifungua au mimba kutoka
-Weka tabia ya kufanya vipimo mara kwa mara
-Kuwa msafi na nguo zako za ndani na kula lishe bora
-Epuka kushare nguo za ndani

UNAPOONA DALILI ZA UGONJWA HUU WAHI KUPATA VIRUTUBISHI. KWANI UGONJWA HUU NI HATARI NA HUWEZA KUKUSABABISHIA UGUMBA AU KANSA YA SHINGO YA KIZAZI

Ugonjwa wa P.I.D unatibika vizuri kabisa hivy bas k**a upo tayari unaumwa na umezunguka hospitalini bila mafanikio bas wasiliana nasi kwa msaada zaidi
PIGA/WHATSAp 0745136428

P.I.D NINI,DALILI ZAKE NI ZIPI, MADHARA YAKE NI YAPI?P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease.P.I.D Ni maambukizi kwenye via v...
30/09/2022

P.I.D NINI,DALILI ZAKE NI ZIPI, MADHARA YAKE NI YAPI?
P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease.
P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS)
Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa P.I.D ni NEISSERIA GONORNOAE na CHLAMYDIA TRACHOMATIC

WANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D
-Kupitia ngono zembe
-Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja
-Kufanya mapenzi bila kutumia kinga
-Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono
-Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara
-Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba
-Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako
-Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano)
- Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda mrefu

DALILI ZA P.I.D
-Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa
-Uke kutoa harufu mbaya
-Kuwashwa sehemu za siri
-Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
-Uke kuwa mlaini sana
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kuvurugika kwa hedhi
-Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi
-Maumivu wakati wa kukojoa
-Homa, uchovu na kizunguzungu

MADHARA YA P.I.D
-Maumivu ya tumbo au nyonga ya mara kwa mara mara baada ya tendo la ndoa. au kipindi cha upevushaji mayai hali hii hutokana na majeraha yaliyopi katika mirija ya uzazi
-Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija za uzazi ambayo hipelekea mirija kuziba
-Kubeba mimba nje ya kizazi husababishwa yai kushindwa kufika kwenywe mji wa uzazi kupitia mirija ya uzazi
-Ugumba kwa mwanamke
-kupata kansa ya shingo ya uzazi

JINSI YA KUEPUKANA NA P.I.D
Japo kuwepo na tiba za kujitibu lakini unashauriwa kinga ni bore kuliko tiba hivyo zingatia yafuatayo;-
-Epuka kufanya ngono zembe
-Usifanye mapenzi baada ya kujifungua au mimba kutoka
-Weka tabia ya kufanya vipimo mara kwa mara
-Kuwa msafi na nguo zako za ndani na kula lishe bora
-Epuka kushare nguo za ndani

UNAPOONA DALILI ZA UGONJWA HUU WAHI KUPATA VIRUTUBISHI . KWANI UGONJWA HUU NI HATARI NA HUWEZA KUKUSABABISHIA UGUMBA AU KANSA YA SHINGO YA KIZAZI
0745136428

SHUHUDA ZA WATU NILIOWAFIKIA KWA KUWAPA VIRUTUBISHO SAHIHI.
26/09/2022

SHUHUDA ZA WATU NILIOWAFIKIA KWA KUWAPA VIRUTUBISHO SAHIHI.

MAUMIVU YA VIUNGO NA MIFUPA/JOINTS KATIKA MAUNGIO YA MGONGO,KIUNO,MIKONO,MAGOTI,VIDOLE,SHINGO PAMOJA NA KUPATA GANZI AU ...
25/09/2022

MAUMIVU YA VIUNGO NA MIFUPA/JOINTS KATIKA MAUNGIO YA MGONGO,KIUNO,MIKONO,MAGOTI,VIDOLE,SHINGO PAMOJA NA KUPATA GANZI AU KUWAKA MOTO KWA MAUNGIO HAYO!

CHANZO CHA MAUMIVU YA MIFUPA NA VIUNGIO/JOINTS....✍️?..✍️..?✍️....?✍️..?
Hii inajumuisha maumivu katika maeneo mbali mbali ya Mwili inaeza kuwa shingo, mgongo, joint za mikono ,joint za miguu ,magoti na Misuli Kuvuta,

WATU GANI WANAKUA KATIKA HATARI HII
1:wenye umri mkubwa
2:wana michezo
3:uzito mkubwa
4:wana gym
5:watoto wenye upungufu wa madini chuma na vitamini
6.Madereva na watu wakaao sehemu moja kwa mda mrefu

SABABU YA MAUMIVU HAYO
Umri unavyozidi kusogea au kukosa madini flani ya kuimarisha mifupa hupelekea mwili hushindwa kuzalisha ute ute (synovial fluid) katika viungo vya mifupa hivyo kupelekea msuguano wa viungo na kusababisha maumivu makali kushindwa kukaa,kuinuka,kukimbia na kutembea

KWANINI KUTOKEA MAUMIVU
Ni kutokana na;
•kulika kwa cartilage
•upungufu wa synovial fluid(ute)
•maambukizi ya vijidudu katika viungo k**a (bacteria,fangasi na virusi
•uzito kua mkubwa
Hivyo basi kwakua umri umeenda au kufanya mazoezi kwa wingi kuna madini yanakua yanapungua au kukosekana kabisa hasa madini Chuma, Calcium,zinc boron, copper, magnesium, potassium, phosphorus na Vitamin D ambayo haya yanahusika katika utengezwaji na uimarishwaji wa mifupa.

NINI HUTOKEA USIPOPATA SULULISHO LA KUDUMU/MADHARA YAKE!Kushindwa kujihudumia k**a vile kuinama,kutembea n.kKushindwa kufanya shuguli zako za kila sikuKutokuwa na amani au furaha kutokana na maumivu makaliKupata vimbe kwenye maungio hayo kutokana na msuguano mkali wa viungo hivyokupata ganzi na kuhisi kuwaka moto
N.K

USHAURI.
Unashauriwa kula vyakula ambavyo vina kiwango kingi Cha madini na Vitamini ili kukusaidia kuimarisha mifupa ,kuzalisha Ute Ute na kuondoa maumivu, unaeza kula parachichi, ndizi, zabibu ,maeple, broccoli, nafaka jamii ya kunde, viazi vitamu , matumizi ya nyanya, nafaka zisizokoborewa,kula mbegu za maboga, Kula Uyoga, Nyama ,maini, samaki ,mayai, kunywa maziwa ama maziwa mtindi "yoghurt", kunywa maji magumu ,kula matunda yenye acid, pia kula mboga za majani kwa wingi ikiwemo Bamia,nyanya chungu, matembele, majani ya maboga,mlenda nk,

TIBA
Tunazo dawa za asili na virutubisho lishe/food suppliments ambazo zimesheheni viini lishe ambavyo vinasaidia kuimarisha mifupa,kuzalisha Ute Ute na kuondoa uchakavu wa mifupa na maumivu hayo na kukusaidia kupata sululisho la kudumu na kupona kabisa kutokana na uzingativu wa dozi na kumaliza dozi husika kwa wakati sahihi!

GHARAMA
Gharama Utaanza na nusu dozi na kutokana na hali utakayoiona kuwa umepona ndo utapata nguvu ya kumalizia dozi iliyobaki kwa gharama pungufu zaidi karibu sana ofisi zipo mikoa mingi kwa maana hiyo ni rahisi huduma hii kukufikia popote ulipo kwa uaminifu kabisa.

NYONGEZA
Usisite kututafuta mana waweza pewa ushauri bure kabisa pamoja na maelekezo zaidi.Afya ni uhai wako na Afya ni maisha yako!
Wasiliana nasi whatsap 0678216322 au kupiga simu 0745136428
KUPONA KWAKO NI FURAHA KWETU ASANTE!

Sababu Za Mwanamke Kukosa Kizazi  Ili mwanamke apate mimba, sehemu zote za mwili wake zinazohusika na uzazi zinatakiwa z...
25/09/2022

Sababu Za Mwanamke Kukosa Kizazi




Ili mwanamke apate mimba, sehemu zote za mwili wake zinazohusika na uzazi zinatakiwa zifanye kazi inavyotakiwa na katika hatua zote. Hatua katika utengenezaji wa mimba ni k**a zifuatazo:



1. Moja kati ya ovari mbili za mwanamke kuachia yai lililokomaa
2. Yai hii kusafirishwa na mrija wa uzazi (fallopian tube)
3. Mbegu za mwanamme kusafiri hadi kwenye cervix, kupitia tumbo la uzazi (uterus) hadi kwenye mrija wa uzazi, kulifikia yai na kulipevusha.
4. Yai lililopevushwa kusafiri kupitia mrija wa uzazi hadi kwenye tumbo la uzazi (uterus).
5. Yai kunata kwenye ukuta wa uterus na kukua.

Ugumba kwa mwanamke unaweza kutokana na dosari katika hatua yo yote katika hizo tulizozitaja na mara niyingine kutokana na dosari katika hatua zaidi ya moja.

Pamoja na kuwa kuna sababu nyingi za mwanamke kutopata mimba, lakini sababu kuu tatu ndizo zinazohusika zaidi k**a tutakavyozielezea hapa chini.



tatizo la kukosa mtoto





Kushindwa Kuzalisha Mayai (Anovulation)


Hili ndilo tatizo ambalo linachangia ugumba kwa wanawake kwa asilimia 30 lakini kwa bahati nzuri asilimia 70 ya wanawake wenye tatizo hili hupata tiba na kufanikiwa kupata watoto. Mwanamke mwenye tatizo hili hutoa mayai mara chache au hatoi mayai kabisa. Chanzo cha tatizo huwa ni moja ya yafuatayo:

1. Matatizo Ya Homoni

Matatizo ya homoni ndiyo yenye mchango mkubwa zaidi kwenye kumfanya mwanamke ashindwe kuzalisha mayai. Uzalishwaji wa mayai hutegemea mchanganyiko wa homoni utakaofanya kazi kwa kuhusiana bila kuvurugwa katika utendaji wake wa kazi.



Kuna matatizo ya aina tatu yanayoweza kuvuruga mpangilio huo.

Kuzalisha Mayai Yasiyokomaa:

Matatizo Ya Hypothalamus: Hypothalamus ni sehemu ya ubongo inayohusika na kutoa ishara kwa tezi ya pituitary (pituitary gland) ambayo nayo huamsha homoni za ovari zinazoruhusu yai kukomaa. Hypothalamus isipofanya kazi yake, mayai hushindwa kufika ukomavu. Asilimia 20 ya dosari za ukomavu wa mayai husababishwa na matatizo ya hypothalamus.

Matatizo Ya Pituitary Gland: Tumeona hapo juu kuwa tezi ya pituitary inahusika katika kukomaza mayai. Endapo pituitary itatoa homoni kwa kiwango kidogo au kikubwa kupita kiasi, ovari zitashindwa kuzalisha na kutoa mayai ipaswavyo. Hali hii hutokea pale tezi hii inapoharibiwa kwa ajali, kunapotokea uvimbe ndani yake au kunapokosekana ulingano wa kikemikali ndani ya tezi hiyo.

2. Makovu Kwenye Ovari

Uharibifu kwenye ovari unaweza kusababisha ovari hizi kushindwa kuzalisha mayai. Operesheni za mara kwa mara hujenga makovu kwenye ovari hizo na kuzifanya zishindwe kuzalisha mayai. Maambukizi ya magonjwa huweza pia kusababisha ovari kushindwa kuzalisha na kutoa mayai.

3. Kukoma Hedhi Mapema

Kukoma hedhi mapema ni tatizo ambalo halijaeleweka vizuri kisayansi. Baadhi ya wanawake wanaacha kupata siku zao za kawaida kwenye umri usiotegemewa. Dhana moja ni kuwa hifadhi yao ya mayai imekwisha au nyingine ni kuwa inatokana na wanawake hawa kuwa wenye historia ya kuwa wanariadha waliokuwa na miili yenye uzito mdogo na waliofanya mazoezi ya nguvu kwa muda mrefu. Kuna uwezekano kuwa kukoma hedhi mapema ni suala la urithi.

4. Matatizo Ya Follicle

Kuna tatizo lisilo na maelezo ya kisayansi “unruptured follicle syndrome” ambapo mwanamke hutengeneza mfuko wa kawaida wa yai wenye yai ndani yake kila mwezi lakini mfuko huo hugoma kupasuka na kuachia yai. Hivyo kwamba, yai hubaki ndani ya ovari na utolewaji wa yai nje ya ovari kutotokea.
Tuwasiliane 0745136428
Call 0678216322
Afya yako ni maisha yako

CHANZO CHA TATIZO LA VIUNGO (JOINTS TEAR AND WEAR)-Mara Nyingi Ugonjwa Huu Huitwa ARTHRITIS,Unasababishwa na hitilafu yo...
24/09/2022

CHANZO CHA TATIZO LA VIUNGO (JOINTS TEAR AND WEAR)

-Mara Nyingi Ugonjwa Huu Huitwa ARTHRITIS,Unasababishwa na hitilafu yoyote katika sehemu hizo za maungio ya mifupa.

Inaweza kuwa cartilage inalika,upungufu wa synovial fluid(Maji Maji Katika Maungio),maambukizi ya vijidudu katika moja ya maeneo hayo au mchanganyiko wa matatizo Mbali Mbali,Ikiwemo Uzito mkubwa.

Tabia kuu ya magonjwa haya ni maumivu kwenye maungio ya mifupa (joints) ambayo ni endelevu na ambayo hutokea eneo hilo hilo moja.

Chanzo Cha Arthritis Ni Nini...?

Ili Upate Kuelewa Vyema Chanzo cha ugonjwa huu,hebu kwanza tutazame muundo wa joint au sehemu mifupa miwili inapokutana(Maungio).

Mfano Goti ambapo mifupa miwili mmoja wa paja na mwingine wa mguu vinapokutana:

Maungio ya mifupa-Ligaments;

-Ndicho kitu kinachoshikilia mifupa hii miwili pamoja,hii ni k**a utepe wa plastiki au mpira unaonyumbuka uliozunguka eneo hilo kwa nje,ukikunja goti inanyumbuka na ukinyoosha mguu inarudi.

Cartilage;Huu ni utando unafunika eneo ambalo mifupa hugusana ili kuzuia mifupa hii isisuguane moja kwa moja,Utando huu ambao kwa kiswahili tunauita gegedu huyawezesha maungio hayo kufanya kazi kiulaini pasipo kusababisha maumivu.

Capsule;Hiki ni kitu kinachofunika maungio haya kikizunguka pande zote,ndani ya mfuko huu wa capsule kuna synovial fluid ambayo huzalishwa na synovial membrane.

Synovial fluid ni ute ute wa kulainisha sehemu hiyo ya maungio na synovial membrane ni utando ulio kwenye kuta za ndani za capsule.

K**a nilivyoeleza hapo juu,kuwa kuna aina zaidi ya 100 za ugonjwa huu wa joints au arthritis.

Katika mada yetu ya leo tutatazama aina k**a nne hivi za ugonjwa huu,tukielezea chanzo cha kila aina....

1. Osteoarthritis.

- Hii ni aina ya arthritis inayosumbua watu wengi zaidi kuliko aina nyingine zote...

Ugonjwa huu huwapata zaidi watu wenye umri mkubwa,Osteoarthritis hutokea pale cartilage inapopoteza uwezo wake wa kubonyea na kuwa ngumu hivyo kuharibika haraka.

- Cartilage ni kiungo cha kuhimili migandamizo ya ghafla (shock absorber),Cartilage hii inapopoteza ubora wake,tendons na ligaments huvutika na kusababisha maumivu.

Hali ya uharibifu huu wa cartilage ikiendelea,mwishowe mifupa huanza kusuguana moja kwa moja na ndipo mgonjwa atakapoanza kupata maumivu makali sana sana.

- Athari za ugonjwa huanza taratibu na kuongezeka zaidi,Mgonjwa ataanza kupata maumivu kwenye joint baada ya kufanya shuguli fulani au baada ya mapumziko ya muda mrefu. Joints zitaanza kukaza siku hadi siku,Hasa wakati wa asubuhi unapotaka kuanza shughuli zako za kawaida.

Na siku zinavyosogea ndivyo utakavyoona ni vigumu zaidi kukitumia kiungo chako,Mara nyingine utaona uvimbe kwenye joint.

Osteoarthritis hushambulia zaidi nyonga,mikono,magoti na uti wa mgongo.

2. Rheumatoid arthritis.

- Ugonjwa huu hutokea pale mfumo wa kinga ya mwili unapopungua,viungo huanza kushambuliwa, ikiwa ni pamoja na synovial membrane (synovium) na kusababisha uvimbe na maumivu.

Hali hii isipodhibitiwa,huweza kusababisha ulemavu. Ugonjwa huu unaweza pia kushambulia macho,ngozi,mapafu,midomo,damu na mishipa ya damu. Huu ni ugonjwa ambao zaidi ni wa wanawake na huwatokea zaidi wawapo kati ya umri wa miaka 40 hadi 60.

Mgonjwa atasikia maumivu na kuona uvimbe kwenye joints za pande zote za mwili;

Yaani k**a ni magoti,yote mawili yatashambuliwa na Viungo vinavyoshambuliwa zaidi ni vidole,viwiko vya mikono na miguu.

- Athari zake huonekana zaidi asubuhi unapoamka na maumivu yanaweza kudumu kwa muda wa hadi nusu saa.

Muathirika wa ugonjwa huu hujisikia mchovu muda wote, hukosa hamu ya kula na hupungua uzito,Ugonjwa huu huweza kukua zaidi na Kusababisha matatizo katika viungo vyote vya mwili.

Matatizo yanayoweza kujitokeza ugonjwa ukikua ni k**a yafuatayo:

– Macho kuwa na ukavu,maumivu,wekundu,kutopenda mwanga na kutoona vizuri

– Midomo,Ukavu au kukauka kwa lips za midomo,maumivu na maambukizi ya fizi

– Ngozi,Vijinundu chini ya ngozi kwenye maeneo yenye mifupa

-- Mapafu,Kushindwa kupumua vizuri

– Mishipa Ya Damu,Uharibifu wa mishipa ya damu

– Damu,Upungufu wa chembechembe nyekundu za damu

3. Infectious arthritis (septic arthritic).

- Aina hii ya arthritis inatokana na maambukizi ya bacteria kwenye synovial fluid. Maambukizi haya yanaweza kuwa pia ni ya fungus au virusi.

Wadudu kutoka sehemu nyingine ya mwili iliyo karibu na maungio ya mifupa huweza kusambaa kupitia mfumo wa damu hadi kwenye joint na kuleta maambukizi.

Mara nyingi mtu mwenye aina nyingine ya arthritis ndiye anayepata maambukizi ya namna hii,Mgonjwa ataanza kwanza kupata homa, maumivu na uvimbe kwenye joint.

Maeneo ambayo hushambuliwa zaidi na aina hii ya arthritis ni goti, mabega,kiwiko cha mkono,kiganja (wrist) na vidole na mara nyingi ni eneo moja tu ndilo litakaloshambuliwa

4. Juvenile rheumatoid arthritis (JRA).

- Ni ugonjwa ambao huwapata zaidi vijana walio na umri ulio chini ya miaka 16 na unakuja kwa namna nyingi.

Kuna aina kuu tatu za ugonjwa huu:

I. Pauciarticular JRA.

- Huu ndiyo unaoonekana zaidi na hauna madhara makubwa ukilinganisha na aina nyingine,Mtoto atasikia maumivu kwenye joints zinazofikia nne.

II. Polyarticular JRA.

- Huu hushambulia joints nyingi zaidi, zaidi ya nne na maumivu yake ni makali zaidi.

Kadri siku zinavyoongezeka, ndivyo maumivu yatakavyozidi.

III. Systemic JRA.

- Huu huonekana kwa nadra ambapo maumivu hujitokeza kwenye maeneo mengi na madhara yake kuwa makubwa zaidi,Mtoto ataanza kusikia homa za vipindi ambapo huzidi zaidi nyakati za jioni.

Hali hii inaweza kumtokea mtoto kwa muda mfupi au kwa wengine kwa muda mrefu sana.

Mtoto atapata mauvimu kwenye maungio ya mifupa (joints),uvimbe kwenye maungio hayo na kukak**aa kwa viungo.

Mtoto huyu atakosa hamu ya kula hivyo kumfanya akonde.

Ugonjwa ukizidi, mtoto anaweza kudumaa (kushindwa kukua), ukuaji wa mifupa yake kuathirika na kupata matatizo ya macho (uveitis).

Changamoto Kubwa Ya Matatizo Ya Joints Huwapata Wana Michezo,Wanyanyua Vyuma(Body Builder),Watu Wanaofanya Kazi Ngumu,Mafundi Magari,Wabeba Mizigo Na Madereva Wa Masafa Marefu Na Wafanyakazi Wa Mahofisini Wanao Fanya Kazi Za Kukaa Zaidi.

SULUHISHO KWA MGONJWA MWENYE TATIZO LA JOINTS NA KUJIKINGA NA TATIZO LA JOINTS

Hakuna Ugonjwa usio na suluhisho k**a ukiuwahi mapema,japo pia ukichelewa ina kuwa ni mbaya zaidi ila suluhisho halikosekani kabisaa!!

Na Suluhisho pekee la Tatizo La Joints ni kutumia Virutubisho(Food Supplements),kwa mwenye tatizo ama kwa wanaofanya mazoezi ili kuongeza huo ute ute kwa lengo la kuzuia misuguano ya joints.

Kwa Ushauri au Maswali K**a Uko Mwanza,Dodoma,Arusha,Mbeya na Dar Es Salaam

Au Changamoto Nyingine Za Kiafya Tuwasiliane......
Whatsap&call 0745136428/0678216322
WhatsapgroupAfyayakonimaishayako

KAribuni mpate ushauri kuhusu Afya!
24/09/2022

KAribuni mpate ushauri kuhusu Afya!

Leo tutazungumzia tatizo linalowapata watu wengi sana pale umri wao unapokuwa umezidi miaka 50 na hasa wale wenye miili ...
24/09/2022

Leo tutazungumzia tatizo linalowapata watu wengi sana pale umri wao unapokuwa umezidi miaka 50 na hasa wale wenye miili mikubwa. Nina uhakika kuwa umewaona akina mama wenye umri mkubwa na miili mikubwa wanavyopata shida kutembea huku wakiinama toka upande mmoja hadi mwingine kila wakipiga hatua au shida wanayopata pale inapowabidi kupanda ngazi au kukuchuchumaa. Maneno k**a “ugonjwa wa kuumwa joints, nina tatizo la joints, maumivu ya joints” na maumivu ya mifupa umeyasikia mara nyingi. Tatizo hasa hapa ni nini? Ungana nami katika mada hii uujue ugonjwa huu wa arthritis.



Ugonjwa Wa Arthritis Ni Nini?


Arthritis ni ugonjwa unaotokana na namna yo yote ya hitilafu katika maungio ya mifupa ya binadamu ambao husababisha maumivu na pengine kuvimba katika sehemu moja au zaidi ya maungio hayo. Neno arthritis halilengi ugonjwa mmoja bali jamii ya magonjwa ambayo kwa ujumla yapo zaidi ya 100. Tabia kuu ya magonjwa haya ni maumivu kwenye maungio ya mifupa (joints) ambayo ni endelevu na ambayo hutokea eneo hilo moja.



Chanzo Cha Arthritis Ni Nini?


Kusudi kuelewa chanzo cha ugonjwa huu, hebu kwanza tutazame muundo wa joint au sehemu mifupa miwili inapokutana. Fikiria goti ambapo mifupa miwili mmoja wa paja na mwingine wa mguu vinapokutana:



maungio ya mifupa



Ligaments: Ndicho kitu kinachoshikilia mifupa hii miwili pamoja. Hii ni k**a utepe wa plastiki au mpira unaonyumbuka uliozunguka eneo hilo kwa nje, ukikunja goti inanyumbuka na ukinyoosha mguu inarudi.

Cartilage: Huu ni utando unafunika eneo ambalo mifupa hugusana ili kuzuia mifupa hii isisuguane moja kwa moja. Utando huu ambao kwa kiswahili tunauita gegedu huyawezesha maungio hayo kufanya kazi kiulaini pasipo kusababisha maumivu.

Capsule: Hiki ni kitu kinachofunika maungio haya kikizunguka pande zote. Ndani ya mfuko huu wa capsule kuna ukano (synovial fluid) ambao huzalishwa na synovial membrane. Ukano ni ute wa kulainisha sehemu hiyo ya maungio na synovial membrane ni utando ulio kwenye kuta za ndani za capsule.



Ugonjwa wa arthritis unasababishwa na hitilafu yo yote katika sehemu hizo za maungio ya mifupa. Inaweza kuwa gegedu inalika, upungufu wa ukano (synovial fluid), maambukizi ya vijidudu katika moja ya maeneo hayo au mchanganyiko wa matatizo.



Aina Za Ugonjwa Wa Joints-Arthritis


K**a nilivyoeleza hapo juu, kuna aina zaidi ya 100 za ugonjwa huu wa joints au arthritis. Katika mada yetu ya leo tutatazama aina k**a nne hivi za ugonjwa huu, tukielezea chanzo cha kila aina.

Osteoarthritis: Hii ni aina ya arthritis inayosumbua watu wengi zaidi kuliko aina nyingine zote. Ugonjwa huu huwapata zaidi watu wenye umri mkubwa. Osteoarthritis hutokea pale cartilage inapopoteza uwezo wake wa kubonyea na kuwa ngumu hivyo kuharibika haraka. Cartilage ni kiungo cha kuhimili migandamizo ya ghafla (shock absorber). Cartilage hii inapopoteza ubora wake, tendons na ligaments huvutika na kusababisha maumivu. Hali ya uharibifu huu wa cartilage ikiendelea, mwishowe mifupa huanza kusuguana moja kwa moja na ndipo mgonjwa atakapoanza kupata maumivu makali sana.

Athari za ugonjwa huanza taratibu na kuongezeka na muda. Kutaanza kutokea maumivu kwenye joint baada ya kufanya shuguli fulani au baada ya mapumziko ya muda mrefu. Joints zitakaza, hasa mapema asubuhi unapotaka kuanza shughuli zako za kawaida. Siku zinavyosogea ndivyo utakavyoona ni vigumu zaidi kukitumia kiungo chako. Mara nyingine utaona uvimbe kwenye joint. Osteoarthritis hushambulia zaidi nyonga, mikono, magoti na uti wa mgongo.

Rheumatoid arthritis: Ugonjwa huu hutokea pale mfumo wa kinga ya mwili kwa bahati mbaya kuanza kushambulia viungo vya mwili ikiwa ni pamoja na synovial membrane (synovium) na kusababisha uvimbe na maumivu. Hali hii isipodhibitiwa, huweza kusababisha ulemavu. Ugonjwa huu unaweza pia kushambulia macho, ngozi, mapafu, midomo, damu na mishipa ya damu. Huu ni ugonjwa ambao zaidi ni wa wanawake na huwatokea zaidi wawapo kati ya umri wa miaka 40 hadi 60. Mgonjwa atasikia maumivu na kuona uvimbe kwenye joints za pande zote za mwili, yaani k**a ni magoti, yote mawili la kulia na la kushoto, yote yatashambuliwa. Viungo vinavyoshambuliwa zaidi ni vidole, viwiko vya mikono na miguu.

ugonjwa wa joints-Rheumatoid Arthritis

Athari zake huonekana zaidi asubuhi unapoamka na maumivu yanaweza kudumu kwa muda wa hadi nusu saa. Muathirika wa ugonjwa huu hujisikia mchovu muda wote, hukosa hamu ya kula na hupungua uzito.

Ugonjwa katika hatua zake za baadaye huleta matatizo katika viungo vyote vya mwili. Matatizo yanayoweza kujitokeza ugonjwa ukikua ni k**a yafuatayo:

– Macho. Ukavu, maumivu, wekundu, kutopenda mwanga na kutoona vizuri
– Midomo. Ukavu, maumivu na maambukizi ya fizi
– Ngozi. Vijinundu chini ya ngozi kwenye maeneo yenye mifupa
– Mapafu. Kushindwa kupumua vizuri
– Mishipa Ya Damu. Uharibifu wa mishipa ya damu
– Damu. Upungufu wa chembechembe nyekundu za damu

Infectious arthritis (septic arthritic): Aina hii ya arthritis inatokana na maambukizi ya bacteria kwenye synovial fluid. Maambukizi haya yanaweza kuwa pia ni ya fungus au virusi. Wadudu kutoka sehemu nyingine ya mwili iliyo karibu na maungio ya mifupa huweza kusambaa kupitia mfumo wa damu hadi kwenye joint na kuleta maambukizi. Mara nyingi mtu mwenye aina nyingine ya arthritis ndiye anayepata maambukizi ya namna hii. Mgonjwa ataanza kwanza kupata homa, maumivu na uvimbe kwenye joint. Maeneo ambayo hushambuliwa zaidi na aina hii ya arthritis ni goti, mabega, kiwiko cha mkono, kiganja (wrist) na vidole na mara nyingi ni eneo moja tu ndilo litakaloshambuliwa.

Juvenile rheumatoid arthritis (JRA): Juvenile rheumatoid arthritis (JRA) ni ugonjwa ambao huwapata zaidi vijana walio na umri ulio chini ya miaka 16 na unakuja kwa namna nyingi. Kuna aina kuu tatu za ugonjwa huu:

1. Pauciarticular JRA, huu ndiyo unaoonekana zaidi na hauna madhara makubwa ukilinganisha na aina nyingine. Mtoto atasikia maumivu kwenye joints zinazofikia nne.

2. Polyarticular JRA, huu hushambulia joints nyingi zaidi, zaidi ya nne na maumivu yake ni makali zaidi. Kadri siku zinavyoongezeka, ndivyo maumivu yatakavyozidi.

3. Systemic JRA, huu huonekana kwa nadra ambapo maumivu hujitokeza kwenye maeneo mengi na madhara yake kuwa makubwa zaidi.

Mtoto ataanza kusikia homa za vipindi ambapo huzidi zaidi nyakati za jioni. Hali hii inaweza kumtokea mtoto kwa muda mfupi au kwa wengine kwa muda mrefu sana . Mtoto atapata mauvimu kwenye maungio ya mifupa (joints), uvimbe kwenye maungio hayo na kukak**aa kwa viungo. Mtoto huyu atakosa hamu ya kula hivyo kumfanya akonde. Ugonjwa ukizidi, mtoto anaweza kudumaa (kushindwa kukua), ukuaji wa mifupa yake kuathirika na kupata matatizo ya macho (uveitis).

Kwa sababu ya urefu wa mada hii, leo tutaishia hapa na katika muendelezo wake katika ukurasa nyingine tutaujadili ugonjwa wa gout na Tiba Za Magonjwa Ya Joints. Tunaomba maoni yako kuhusu mada hii na usisite vilevile kuuliza maswali uliyo nayo. Tutafurahi sana kupata mchango wako au kuona tumekujibu vizuri maswali yako.

Katika mada nyingine, tutaelezea kifurushi cha kampuni ya Green World ambacho kinafanya vizuri katika kutibu matatizo haya ya maungio ya mifupa.
TUTAFUTE TUKUPE SULULISHO LA KUDUMU
WHATSAP 0745136428\0678216322
whatsapgroup Afyayakonimaishayako

02/07/2022

TEZI DUME NI NINI?.

Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (PROSTATE GLAND) ,Hii Ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume.Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo.Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume.
Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele.Hivyo tezi hii Ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume.Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-

✓Kukojoa Mara kwa mara.
✓kubakiza mkojo kwenye kibofu.
✓kukojoa saana usiku.
✓Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.
✓Kupungukiwa nguvu za kiume
✓UTI ya Mara kwa mara.
✓Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.
✓Figo kujaa maji,hii Ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.
✓Kupoteza fahamu.
✓Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.
✓Uume kushindwa kusimama vizur.
✓Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.

ATHARI ZA TEZI DUME K**A HAITAWAHI KUTIBIWA:-
1)Kushindwa kabisa kukojoa.
2)Kupatwa na maambukizi ya UTI
3)Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.
4)Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.
5)Figo inaweza kuharibika.

Suluhisho la kumaliza hili tatizo lipo:
KARIBU UPATE HUDUMA🤝+255672441815

Whatsap https://wa.me/c/255672441815

02/07/2022

TIBA YA MIFUPA NA MAUNGIO KWA WASUMBULIWAO NA
MAUMIVU YA NYONGA, KIUNO, MGONGO NA MAUNGIO (JOINTS)?

MSHAURI: +255672441815
➡▪Hasa maumivu ya kusambaa kutoka kwenye nyonga mpaka kwenye goti

Tatizo hili huweza humpata mtu yeyote. Maumivu ya kiuno huanza chini ya mgongo na kuk**ata katika vifupa vilivyo kwa chini
karibu na makalio. Maumivu haya husambaa kulia na kushoto na wakati mwingine huteremka hadi mapajani. Pamoja na kuwepo katika vifupa hivyo pia ndani zaidi huweza kusababisha maumivu haya yatoke kwa ndani na kusambaa nje yaani katika eneo la kiuno.

Maumivu ya nyonga huweza kutokea sambamba na maumivu ya kiuno au nyonga yakawa peke yake. Nyonga huunganisha miguu na mifupa ya mapaja inayotengeneza kiuno. Nyonga ndiyo inayofanya utembee, inakuwezesha kutoka sehemu moja hadi nyingine, kukaa na kuruka.

SABABU ZINAZOPELEKEA MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA (mifupa kwa ujumla)

1.Kujichua muda mrefu hupelekea maumivu hayo. Zipo dawa za kuacha kujichua na kurudisha nguvu zilizopotea.
2.Namna ya kulala (style) /godoro linaweza kukusababishia maumivu hayo
3.Kubeba mizigo kwa kuinama na mzigo.
4.mawazo (stress).
5.kulala kwa muda mrefu na matumizi mabaya ya mto.

MADHARA YA MAUMIVU HAYO NI K**A YAFUATAYO;

1.Hupelekea kushindwa kufanya tendo LA ndoa.
2.hupelekea kupooza kwa baadhi ya viungo vya mwili na kushindwa kutembea (kupata kilema cha kudumu)
3.hupelekea kuwahi kufika kileleni mapema wakati wa tendo na kushindwa kurudia.
4.Unaweza kushindwa kutembea kabisa /kunyanyuka, utakaa ukiwa umelala.

Habari njema ni kwamba baada yakufanya utafiti wa kina kwa mda mrefu sasa tiba imepatikana,tiba ya uhakika na ya haraka
Kwa matibabu ya haraka na sahihi wasiliana nasi,+255672441815

Whatsap https://wa.me/c/255672441815

Address

Dar Es Salaam
1099

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ni Uhai posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ni Uhai:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram