Pendo na afya 806

Pendo na afya 806 elimu juu ya masuala ya afya TEZI DUME KUTANUKA, KISUKARI,PID,uzazi, upungufu Wa nguvu za kiume n.k

04/12/2023

K**A UNA SHINIKIZO LA DAMU(PRESSURE) SULUHISHO LIPO USITESEKE
Pata tiba lishe hii EPUKA MADHARA k**a
1.moyo kupanuka
2.stroke
3.figo KUFELI

Kwa ushauri Na tiba piga 0674136245

22/11/2023

Tiba YA maumivu YA maungio YA mifupa (mgongo,magoti) bila UPASUAJI
Piga 0674136245

21/11/2023

14/11/2023

Kwa ushauri zaid Na tiba nitext WhatsApp 0674136245

Kwa ushauri Na tiba piga 0674136245
14/11/2023

Kwa ushauri Na tiba piga 0674136245

14/11/2023

MWANAUME RUDIA ZAIDI TENDO LA NDOA!!

K**a wewe ni Mwanaume ambae....

1. Uume wako hausimami kabisa au unasimama kiulegevu.

2. Wakati wa tendo unawahi kutoa mbegu.

3. Ukimwaga mara moja hauna uwezo wa kuendelea tena....au..

4. Inakuchukua muda mrefu kupata hisia za kuendelea na tendo baada ya bao la kwanza.

5. Uume wako ni mdogo....yaani ni mfupi na mwembamba.

6. Mbegu zako ni chache na ni nyepesi.

7. Ukigusisha au kuingiza uume ukeni unalala/unalegea.

8. Hauna stamina za kushiriki tendo muda mrefu.

9. Kuna wakati ambapo ukikaribia kumwaga nguvu zinaisha, bao halitoki na unaanza upya.

K**a una changamoto mojawapo kati ya hizo habari njema ni kwamba ZINAISHA.

Kwa Wagonjwa wetu binafsi Tunawapa program ya tiba asili , kumaliza hizi changamoto moja kwa moja

Huduma zetu unazipata kwa kutupigia /kutuma Ujumbe whatsapp :0674136245

22/10/2023

TIBA YA TEZI DUME KUTANUKA BILA UPASUAJI
SIKILIZA KWA MAKINI DALILI ZAKE

Piga 0674136245

Usiteseke Tena Na uchafu wenye harufu mbaya mwanamke
22/10/2023

Usiteseke Tena Na uchafu wenye harufu mbaya mwanamke

20/09/2023

TIBA YA ASILI KWA MAUMIVU YA VIUNGO (MGONGO, MAGOTI N.K)KUSAGANA BILA UPASUAJI
(0622138701)

ARTHROEXTRA NA ZAMINOCAL PLUS NI ZA ASILI HAZINA KEMIKALI, IMETHIBITISHWA NA TFDA

KWA NINI MIFUPA HUSAGANA KWENYE VIUNGO NA KULETA MAUMIVU MAKUBWA?

=>KICHWA CHA MFUPA KATIKA VIUNGO KIMEZUNGUKWA NA MFUPA LAINI UITWAO GEGEDU(CARTILAGE)
KAZI YA GEGEDU(CARTILAGE ) NI KUZUIA MFUPA USISAGANE NA MFUPA MWENZAKE KWENYE VIUNGO,
PIA KUNA UTE UTE (SYNOVIAL FLUID) AMBAO NI GRISI YA VIUNGO,,HUSAIDA KULAINISHA MJONGEO(MOVEMENT) NA KUSAIDIA VIUNGO VISISUGUANE.
UTEUTE NA GEGEDU KUISHA HUPELEKEA MAUNGIO KUSUGUANA NA KUPELEKEA YAFUATAYO.

1.maumivu makali Kwenye maungio
2.kupata ganzi hii mara nyingi ni Kwa watu ambao pingili za mgongo zinasagana
3.kuvimba Kwenye maungio hasa magoti
4.kushindwa kutembea
5.kisigino kuwaka moto

MADHARA YA VIUNGO KUSAGANA
a.KUPOOZA HASA SHIDA YA PINGILI
b.ULEMAVU

,kupata huduma piga 0622138701

18/08/2023

TEZI DUME NA KANSA YA TEZI DUME INATIBIKA
( 0674136245)
Dalili za kupanuka kwa tezi dume

Dalili huonekana baada ya umri wa miaka ya hamsini . Karibu wanaume wote wenye umri wa sabini na themanini huwa na tatizo hili.Dalili huanza polepole na kuzidi jinsi miaka inavyoongezeka.Dalili hizi ni k**a zifuatazo:

1.Kukojoa mara nyingi hasa nyakati za usiku.Hii ni dalili ya mapema sana.

2.Kulazimika, mara nyingi hasa nyakati za usiku, kutumia nguvu kuanzisha mkojo kutoka. Hata pale mgonjwa anahisi kibofu kimejaa. Hii ni dalili ya mapema sana.

3.Mkojo kutiririka polepole, hukatikakatika na hutumia nguvu kutoka.

4.Mkojo kushidwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa.

5.Mkojo kuendelea kutoka kidogokidogo baada ya kukojoa, matone ya mkojo huendelea kutoka hata baada ya kukojoa hivyo nguo za ndani hulowa.

Kibofu hakiishi mkojo.
Matatizo ya tezi dume iliyotanuka

Tezi dume ikitanuka sana huleta matatizo mengi kwa wagonjwa wengine hali hii isipotibiwa. Matatizo hayo ni k**a yafuatayo:

Mkojo kukosa kutoka kabisa
Wagonjwa wenye tatizo hili lazima wawekewe katheta ili kumimina mkojo.
Madhara kwenye kibofu na figo
Kwa sababu ya kibofu kuwa na mkojo wakati wote, ukuta na misuli yake hupanuka na mwishowe hudhoofika hivi kwamba haiwezi kuzuia mkojo.
Kwa sababu ya kibofu kujaa
mkojo hurudi kwenye figo na mwishowe huharibu figo.
Ugonjwa wa tezi dume husababisha mkojo kutiririka polepole na mtu kukojoa mara nyingi hasa usiku.
Maambukizi na mawe
Kwa sababu kibofu hakimimini mkojo wote kuna hatari kubwa ya maambukizi kwenye njia ya mkojo nakuwa na mawe kwenye kibofu.
Kumbuka
Kutanuka kwa tezi dumehakusababishi ugonjwa wa saratani.

Utambuzi wa kupanuka kwa tezi dume
Historia na dalili zikiashiria uwepo wa hali hii, basi uchunguzi ufuatao hufanywe.
Uchunguzi wa ukubwa wa tezi

Uchunguzi huu hufanywa kwa kuingiza kidole chenye glavu nyuma hadi kwenye tezi dume. Daktari huweza kujua ukubwa na hali yake. Iwapo mtu ana ugonjwa huu tezi dume ni kubwa kuliko kawaida, laini na gumu yote pamoja. Iwapo tezi lina vifundo basi inaweza kuwa na kansa (saratani)au inaweza kuwa na

Dalili za tezi kilichopanuka na saratani hufanana.Lazima uchunguzi wa kina ufanywe ili kujua ni ugonjwa upi.

PIGA (0674136245) KWA USHAURI ZAIDI

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255674136245

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pendo na afya 806 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Pendo na afya 806:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram