Asma Afya Care

Asma Afya Care �Tiba na Ushauri
�H.Imbalance
�U.T.I Sugu & P.I.D
�Fungusi Sugu
�Tezi Dume
�Nguvu Za Kiume
�Bawasiri
�Maginjwa Ya Ngozi
�Vidonda vya tumbo

UVIMBE KWENYE KIZAZI UNATIBIKA BILA UPASUAJI⚫ Uvimbe kwenye kizazi (Fibroids)  na kwenye Mfumo wa mayai(Ovarian cysts) n...
29/07/2022

UVIMBE KWENYE KIZAZI UNATIBIKA BILA UPASUAJI

⚫ Uvimbe kwenye kizazi (Fibroids) na kwenye Mfumo wa mayai(Ovarian cysts) ni matatizo ambayo yanawasumbua wanawake wengi sana hasa katika zama hizi. Hali hii imepelekea wanawake wengi kushindwa kabisa kupata ujauzito na wengine ujauzito kutoka.

⚫ Wengi hutumia dawa nyingi bila mafanikio kwasababu wengi wanaojinadi kutoa matibabu ya tatizo hili hawajui njia sahihi za kukabiliana na tatizo hili,hali hiyo imepelekea watu kupoteza pesa nyingi sana na kuamini kwamba njia pekeee ya kutibu uvimbe ni UPASUAJI tu ilihali sio kweli kwasababu hata wanaofanya UPASUAJI uvimbe hurudi tena.

⚫ Njia sahihi ya kufanya matibabu ya Uvimbe kwenye kizazi ni kwanza kujua nini kinachosababisha uvimbe kwenye kizazi. Miongoni mwa visababishi vikubwa vya Uvimbe kwenye kizazi ni kuzidi kwa kiasi cha hormones mbili yaani PROGESTERONE & ESTROGEN. Hormone hizi kuzidi ndio sababu kubwa ya Uvimbe kwenye kizazi, hivyo huwezi kutibu uvimbe moja kwa moja bila kurekebisha mfumo wa hormones hizi.

⚫ Sisi tumegundua njia bora kabisa katika kutibu tatizo hili na wamefanikiwa wengi kutibu uvimbe kwenye kizazi bila Upasuaji. njia hii inahusisha urekebishaji wa mfumo wa hormones, kutibia athari za mfurugiko wa hormones ikiwemo uvimbe na kusafisha kizazi.

HUDUMA ZETU ZINAKUFIKIA POPOTE ULIPO NJE NA NDANI YA NCHI. Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa namba 0764915872 au 0623754981

*CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO* Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vya...
27/07/2022

*CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO*

Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

1.Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
2.Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
3.Kuwa na mawazo mengi
4.Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
5.Kunywa pombe na vinywaji vikali
6.Uvutaji wa sigara
7.Kuto kula mlo kwa mpangilio

KUNA AINA 2 ZA VIDONDA VYA TUMBO.1:Gastric ulcers ( vidonda kwenye utumbo mpana). Hivi ni michubuko kwenye kuta za utumb...
27/07/2022

KUNA AINA 2 ZA VIDONDA VYA TUMBO.
1:Gastric ulcers ( vidonda kwenye utumbo mpana). Hivi ni michubuko kwenye kuta za utumbo mpana wa chakula.
2:Duodenal ulcers (vidonda kwenye utumbo mdogo wa chakula karibu na kongosho.
*Vidonda vya tumbo kwenye utumbo mdogo maumivu yake huathiri chembe ya moyo ambavyo vinaambatana na kiungulia na vichomi vikali. Maumivu huhisika mpaka mgongoni.
Wengi wetu hutambua hayo maumivu k**a CHEMBE YA MOYO.
*Vidonda vya tumbo kwenye utumbo mpana vinashambulia kuta za utumbo, michubuko hiyo hutokana na ongezeko la tindikali inayozalishwa tumboni kushindwa kudhibitiwa kutokana na mfumo mbovu wa mlo.

*UTANGULIZI – UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO* Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumb...
27/07/2022

*UTANGULIZI – UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO*

Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus. Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, k**a ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.

Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine k**a kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.

Leo tutajuzana machache kuhusu vidonda vya tumbo, ugonjwa unaosumbua wengi wetu katika jamii.
27/07/2022

Leo tutajuzana machache kuhusu vidonda vya tumbo, ugonjwa unaosumbua wengi wetu katika jamii.

Habarini wapendwa. Kadri tunavyoendelea na majukumu yetu ya kila siku ni vyema kuendelea kujifunza.Haswaa katika swala l...
27/07/2022

Habarini wapendwa. Kadri tunavyoendelea na majukumu yetu ya kila siku ni vyema kuendelea kujifunza.
Haswaa katika swala la afya. Ili kutibu tatizo lazima kujua chanzo cha tatizo, aina ya tatizo, dalili, madhara na namna ya kuepuka tatizo. Hapo ndio utakapoona maendeleo mazuri pindi utakapotumia dawa utakayoelekezwa na tabibu au mshauri wa afya.

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO* Tatizo la Vidonda vya tumbo linatibika kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamek...
27/07/2022

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO*

Tatizo la Vidonda vya tumbo linatibika kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakizalau dalili za vidonda vya tumbo na kudhani kuwa hakuna madhara makubwa.

*DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO*

Tuna dawa ya kutibu Vidonda vya tumbo ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. Dawa hiyo hutibu kwa mda kulingana na mda wa tatizo, tatizo halirudi tena maana huondoa chanzo pamoja na ugonjwa sio kituliza maumivu, ukianza kutumia baada ya wiki moja mgonjwa huanza kupona na huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendelea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa.

Tunamshukru Mungu kwa uumbaji wake na kutupa dawa ambazo alizileta ili kutuimarisha na kutuponya, Mungu hakuumba dawa nyingine zaidi ya mimea na vitu vingine vya asili, japo wengi hudharau. Mungu tunaomba utuokoe na kutuponya. Kwa ushauri na tiba tuwasiliane kwa namba 0623754981 au 0764915872.

*SULUHISHO LA JINO SIYO KUNG'OA.* *RUDISHA TABASAMU LAKO KWA KUTUMIA DR TS.* *BILA KUNG'OA JINO* Dr.Ts natural herbal to...
24/07/2022

*SULUHISHO LA JINO SIYO KUNG'OA.* *RUDISHA TABASAMU LAKO KWA KUTUMIA DR TS.* *BILA KUNG'OA JINO*

Dr.Ts natural herbal toothpaste ni dawa ya meno ambayo imetengenezwa na mimea ya asili na Salama kwa afya ya mtumiaji ambayo ni;
1️⃣Panax notoginseng
2️⃣Green tea (majani chai)
3️⃣Lonicera japonic

KWA_WENYE_MATATIZO_YA_MENO K**A;

1️⃣Kutoa harufu mbaya mdomoni.
2️⃣.Meno kuwa ya njano
3️⃣.Kuoza kwa meno
4️⃣.Meno kuwa ya brown
5️⃣.Kutokwa damu kwenye fizi na kuvimba fizi.
6️⃣. Inasaidia kuua wadudu
Kwa kutumia dawa ya meno hii basi matatizo yako ya meno *yataisha kabisa na kukulejeshea* tabasamu lako.

*FAIDA ZA DR TS TOOTHPASTE:*
👉🏾Hung'arisha meno.
👉🏾Huimarisha meno na fizi
👉🏾Huondoa tatizo la kutokwa damu wakati wa kufanya usafi wa kinywa.
👉🏾Huwafaa watu wanaosumbuliwa na meno
👉🏾Huondoa tatizo la kutokwa damu kwenye fizi na meno
👉🏾Hutibu tatizo la meno kumeguka meguka
👉🏾Huondoa tatizo la meno kutingishika mara kwa mara
👉🏾Huondoa bacteria hatarishi katika kinywa
👉🏾Hulinda kinywa kisipatwe na magonjwa hatarishi
👉🏾Huondoa tatizo la harufu. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0764915872

TEZI DUME NI NINI?.Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (PROSTATE GLAND) ,Hii Ni tezi inayopatikana katika mfumo wa u...
22/07/2022

TEZI DUME NI NINI?.

Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (PROSTATE GLAND) ,Hii Ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume.Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo.Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume.
Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele.Hivyo tezi hii Ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume.Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-

✓Kukojoa Mara kwa mara.
✓kubakiza mkojo kwenye kibofu.
✓kukojoa saana usiku.
✓Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.
✓Kupungukiwa nguvu za kiume
✓UTI ya Mara kwa mara.
✓Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.
✓Figo kujaa maji,hii Ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.
✓Kupoteza fahamu.
✓Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.
✓Uume kushindwa kusimama vizur.
✓Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.

ATHARI ZA TEZI DUME K**A HAITAWAHI KUTIBIWA:-
1)Kushindwa kabisa kukojoa.
2)Kupatwa na maambukizi ya UTI
3)Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.
4)Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.
5)Figo inaweza kuharibika.

Suluhisho la kumaliza hili tatizo lipo:
KARIBU UPATE HUDUMA. Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa namba 0764915872 WhatsApp na kawaida.

TEZI DUME NI NINI?.Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (PROSTATE GLAND) ,Hii Ni tezi inayopatikana katika mfumo wa u...
22/07/2022

TEZI DUME NI NINI?.

Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (PROSTATE GLAND) ,Hii Ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume.Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo.Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume.
Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele.Hivyo tezi hii Ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume.Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-

✓Kukojoa Mara kwa mara.
✓kubakiza mkojo kwenye kibofu.
✓kukojoa saana usiku.
✓Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.
✓Kupungukiwa nguvu za kiume
✓UTI ya Mara kwa mara.
✓Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.
✓Figo kujaa maji,hii Ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.
✓Kupoteza fahamu.
✓Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.
✓Uume kushindwa kusimama vizur.
✓Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.

ATHARI ZA TEZI DUME K**A HAITAWAHI KUTIBIWA:-
1)Kushindwa kabisa kukojoa.
2)Kupatwa na maambukizi ya UTI
3)Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.
4)Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.
5)Figo inaweza kuharibika.

Suluhisho la kumaliza hili tatizo lipo:
KARIBU UPATE HUDUMA. Kwa mawasiliano zaidi tutafute kwa namba 0764915872 WhatsApp na kawaida.

Ugonjwa Wa Arthritis Ni Nini? Arthritis ni ugonjwa unaotokana na namna yo yote ya hitilafu katika maungio ya mifupa ya b...
22/07/2022

Ugonjwa Wa Arthritis Ni Nini?


Arthritis ni ugonjwa unaotokana na namna yo yote ya hitilafu katika maungio ya mifupa ya binadamu ambao husababisha maumivu na pengine kuvimba katika sehemu moja au zaidi ya maungio hayo. Neno arthritis halilengi ugonjwa mmoja bali jamii ya magonjwa ambayo kwa ujumla yapo zaidi ya 100. Tabia kuu ya magonjwa haya ni maumivu kwenye maungio ya mifupa (joints) ambayo ni endelevu na ambayo hutokea eneo hilo moja.



Chanzo Cha Arthritis Ni Nini?


Kusudi kuelewa chanzo cha ugonjwa huu, hebu kwanza tutazame muundo wa joint au sehemu mifupa miwili inapokutana. Fikiria goti ambapo mifupa miwili mmoja wa paja na mwingine wa mguu vinapokutana:





Ligaments: Ndicho kitu kinachoshikilia mifupa hii miwili pamoja. Hii ni k**a utepe wa plastiki au mpira unaonyumbuka uliozunguka eneo hilo kwa nje, ukikunja goti inanyumbuka na ukinyoosha mguu inarudi.

Cartilage: Huu ni utando unafunika eneo ambalo mifupa hugusana ili kuzuia mifupa hii isisuguane moja kwa moja. Utando huu ambao kwa kiswahili tunauita gegedu huyawezesha maungio hayo kufanya kazi kiulaini pasipo kusababisha maumivu.

Capsule: Hiki ni kitu kinachofunika maungio haya kikizunguka pande zote. Ndani ya mfuko huu wa capsule kuna ukano (synovial fluid) ambao huzalishwa na synovial membrane. Ukano ni ute wa kulainisha sehemu hiyo ya maungio na synovial membrane ni utando ulio kwenye kuta za ndani za capsule.



Ugonjwa wa arthritis unasababishwa na hitilafu yo yote katika sehemu hizo za maungio ya mifupa. Inaweza kuwa gegedu inalika, upungufu wa ukano (synovial fluid), maambukizi ya vijidudu katika moja ya maeneo hayo au mchanganyiko wa matatizo

UZITO ULIOPITILIZA TISHIO LA AFYA YAKO, CHUKUA HATUA LEOTUANGALIE MADHARA YA UZITO ULIOPITILIZA (Obesity).Uzito mkubwa w...
19/07/2022

UZITO ULIOPITILIZA TISHIO LA AFYA YAKO, CHUKUA HATUA LEO

TUANGALIE MADHARA YA UZITO ULIOPITILIZA (Obesity).

Uzito mkubwa wa kupindukia ni tatizo kubwa la kiafya katika maisha yetu ya kisasa.
Uzito unapozidi kiwango ambacho kinahitajika kwa mtu husika kunachangia matatizo mengi ya kiafya.
Kwa mujibu wa Takwimu zilizotolewa na shirika la afya duniani, zaidi ya watu bilioni 1.5 duniani wamezidisha uzito wa miili yao. Milioni 500 kati yao huwa na uzito wa kupindukia.

Tatizo hili la UZITO
uliopitiliza kuliko inavyohitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini.

Njia rahisi inayokubalika ya kuweza kugundua k**a mtu ni MZITO/MNENE kupita kiasi (Obese) inafahamika k**a kipimo cha Body Mass Index (BMI).
Vipimo hivi vya BMI ndio vinaweza kukujulisha k**a unene ulionao unastahili kulingana na umri, urefu na uzito wako.

Magonjwa yanayoweza kuambatana na tatizo la unene/uzito uliopitiliza Ni ;

▪Kisukari.

▪shinikizo la damu (hypertension).

▪Matatizo ya kizazi (Infertility).

▪kiharusi (Stroke).

▪Magonjwa ya moyo (Heart Failure).

▪Kiwango cha juu cha lijamu kwenye damu ( Cholesterol ).

▪Saratani ya matiti.

▪Saratani ya tezi dume ( prostate Cancer)

▪Saratani ya utumbo mpana pamoja na maeneo ya haja kubwa ( Colorectal Cancer)

▪ Matatizo ya mzunguko na mishipa ya damu k**a vile kuvimba kwa Vena za miguuni ( Varicose veins)

▪kutokupumua vizuri wakati mtu yupo usingizini.

▪Kutoku perform vizuri kwenye TENDO la Ndio.

▪Ugonjwa wa mifupa k**a yabisi. Nk nk

Epuka kupunguza UZITO kwa kufanya DIET (kujinyima au kuacha Kyla).
Kiafya sio nzuri, kupungua utapungua lakini huwezi kudetox mwili wako kwa kutoa sumu tulizonazo na vilevile ngozi yako itanyauka kwa kuunyima mwili virutubisho muhimu kwa kufanya diet pamoja na kuongezeka uzito zaidi utakapoacha kufanya diet.

FAHAMU NJIA SAHIHI NA BORA YA KUPUNGUZA UZITO KIAFYA ILIYOTHIBITISHWA KWA AJILI YA AFYA YAKO.

*Dietary Weight Loss Package* ni Package yenye dozi za dawa zenye Faida nyingi K**a Ifuatavyo :-

◆ Itakusaidia kuondoa Mafuta Mabaya mwilini( BAD CHOLESTEROL).

◆ Itakusaidia Kusafisha Njia Ya Mmeng'enyo Wa Chakula.

◆Virutubisho vilivyopo vitakusaidia kusafisha Sumu Mwilini.(DETOX).

◆Itakusaidia Kupunguza Uzito.

◆Itakufanya ujenge SELI mpya na kukufanya NGOZI yako ing'ae na ihimalike mara dufu.

◆Itakusaidia Kuboresha Muonekano Wako Pamoja Na Kuwa Na Afya Bora.

Watu Wengi Wametumia Program Hii Na Imewapa Matokeo Mazuri Naamini Na Wewe Inawezekana.

Kwa mawasiliano zaidi:
☎️0764915872 au 0623754981

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255623754981

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Asma Afya Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram