29/03/2023
KEFAC
Katika siku za hivi karibuni Africa imepata mstuko baada ya kugundua nia ya wazungu sio nzuri juu ya dunia.
Mpango wa wazungu ni kutaka kupunguza idadi ya watu duniani, na wamekuja na kampeni nyingi za mpango huo k**a uzazi wa mpango, chanjo mbalimbali, magonjwa ambukizi k**a mafua, N.K.
Hii na mingine mingi ni mipango yao huwezi kuwazuia sababu hii mipango inaandaliwa kwa bajeti kubwa sana, kitu muhimu kufanya ni kuhakikisha unamuomba mungu na kukizuia kizazi chako.
Na sasa wameamua kuutangaza mpango wao wa ushoga na usagaji ambao sio wa leo ni mpango wenye miaka mingi mno, na umefanywa chini chini mpaka sasa umefika wanapopataka wameamua kuuweka wazi.
Sisi kimimbi herbal clinic katika jitihada zetu juu ya jambo hili tunashauri kurudi katika tiba asili, k**a tulivyoishinda homa ya mafua kwa tiba asili na hili pia tutashinda.
Tumegundua dawa asili ambayo itaanza kupatikana katika vituo vyetu vyote kuanzia tarehe 05/04/2023 dawa hii itasaidia kuokoa kizazi chetu juu ya janga hili la dunia, na hapa tumekusudia kizazi chetu hasa hasa maana hiko ndio kinahitajika kupotezwa.
Dawa nzuri sana kupata kutokea, mchanganyiko wa mimea tiba iliotengenezwa katika mtindo wa mafuta mgando.
Mimea hii ilitumika zaidi zamani katika inchi ya Congo, Zambia, na Malawi pindi wazee wakigundua kijana wao anapata hisia za tofauti na maumbile yake wanamtengenezea na kumpa.
Katika miaka hii vitendo vya ushoga vimekuwa vingi sana wapo wanaofanya k**a ajira, wengine starehe, wengine wamelazimishwa wakiwa wadogo, na wengine ujinga tu.
Wapo waliojiingiza kwenye vitendo hivyo mwisho wanahisi kudhalilika na wanatamani kuacha ila inashindikana kwa sababu ya hisia za kutamani na miwasho kwenye mfereji wa haja kubwa.
Dawa hii inaondoa kutamani na miwasho, iwapo umehisi mtoto wako anatamani kuingiliwa muwahi kwa kutumia dawa hii.
Inaondoa hali ya kutamani kuingiliwa kinyume na maumbile kwa mtu yeyote iwe mwanamke au mwanaume, inaondoa kwa watoto na wakubwa, inaondoa kwa waliowahi kufanya na ambao hawajawai kufanya.
Hii ni dawa ya asili tu na tumeitengeneza kwa mtindo wa mafuta mgando, karibu sana tukuhudumie.
K**a una Maswali zaidi tutafute whattsap 0743 068792 tutakujibu.
Sisi ni wataalamu wa tiba mbadala tiba asili tunashugulika na kutibu magonjwa sugu k**a.
Magonjwa ya Kisukali, Vidonda vya tumbo, Presh, Uzazi, PID, Hedhi, Pumu, Bawasili, UTI sugu, Maralia sugu, Uvimbe tumboni, fangasi, N.K.
AFYA SALAMA HUKAA KATIKA MWILI SALAMA IJALI AFYA YAKO