AFYA POINT

AFYA POINT Karibu kwenye page hii Upate Elimu ya afya ya Mwili wako kwa ujumla

Dhibiti changamoto ya mifupa kwa kutumia virutubishi lishe piga no 0767398377
10/06/2024

Dhibiti changamoto ya mifupa kwa kutumia virutubishi lishe piga no 0767398377

Tumia virutubishi vya asili ili utunze afy yako
09/06/2024

Tumia virutubishi vya asili ili utunze afy yako

Wale wanaosumbuliwa na tatizo la nguvu za kiime suluhisho ninalo 0767398377
30/05/2024

Wale wanaosumbuliwa na tatizo la nguvu za kiime suluhisho ninalo 0767398377

Karibu ninasaidia watu kuimarisha mifupa kwa kutumia tiba lishe ambazo hazina  kemikali  kwa mawasiliano zaidi nipigie k...
25/05/2024

Karibu ninasaidia watu kuimarisha mifupa kwa kutumia tiba lishe ambazo hazina kemikali kwa mawasiliano zaidi nipigie kwa no 0767398377 karibu.

Zingatia Afya yako ndyo mtaji wako
25/05/2024

Zingatia Afya yako ndyo mtaji wako

VIDONDA VYA TUMBO NI NINI⏩Vidonda vya tumbo hufahamika kwa kiingereza k**a Peptic Ulcer ni hali ambayokuna kidonda kweny...
31/01/2023

VIDONDA VYA TUMBO NI NINI

⏩Vidonda vya tumbo hufahamika kwa kiingereza k**a Peptic Ulcer
ni hali ambayokuna kidonda kwenye tabaka la tumbo au sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo.

⏩Dalili kuu ni hisia ya kuungua katika sehemu ya juu ya tumbo baada ya kula.

⏩Dalili nyingine ni kiungulia, kubeua, tumbo kujaa gesi na kichefuchefu.

⏩Dalili za vidonda vya tumbon huongezeka kadiri muda unavyoenda.

NAMNA SUMU INAVYOTATHIRI ▶️Moja ya kazi kubwa ya viungo vya mwili, ni kuulinda mwili. ▶️Mwili wenyewe una uwezo wa kuond...
31/01/2023

NAMNA SUMU INAVYOTATHIRI
▶️Moja ya kazi kubwa ya viungo vya mwili, ni kuulinda mwili.

▶️Mwili wenyewe una uwezo wa kuondoa sumu mwilini.

▶️Lakini sumu zinapokuwa nyingi, mwili hushindwa kuzitoa.

NINI HUFUATA MWILI UNAVYOSHINDWA KUZITOA SUMU HIZO

▶️ huzipeleka kwenye tishu za mafuta.
▶️Ni kwa hali hii ambayo tunaweza kupata uvimbe katika sehemu mbalimbali ndani ya miili yetu k**a vile cysts, lipomas, tumors n.k.

▶️Kama sumu hizo zitaendelea kurundikana mwilini, yaani kuwa nyingi zaidi na zaidi, basi viungo vya mwili vitapeleka sumu hizo kwenye maungio ya mwili

▶️ Maeneo haya yana uwezo wa kukaa muda mrefu na sumu.

▶️ Lakini hata hivyo, utaanza kuhisi maumivu ya viungo, maumivu ya misuli, n.k.

24/01/2023
🛑MADHARA YA SUMU KUJAA MWILINI👇⏩.maumbikizi ya figo( Mawe kwenye Figo / Figo kufail)⏩.Maumbikizi ya Ini(Homa ya Ini)⏩.Hu...
01/01/2023

🛑MADHARA YA SUMU KUJAA MWILINI👇

⏩.maumbikizi ya figo( Mawe kwenye Figo / Figo kufail)
⏩.Maumbikizi ya Ini(Homa ya Ini)
⏩.Hupelekea matatizo ya kutopata watoto (ugumba)
⏩.hupelekea uvimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke
⏩.Hupelekea matatizo ya pressure
⏩.Mvurugiko wa homoni
⏩.Kukosa hamu ya tendo la ndoa
▶️Uchovu wa mara kwa mara na maumivu ya kichwa yasiyoisha
▶️Hasira za mara kwa mara
▶️kukosa choo au kupata choo kigumu sana

ITAENDELEA.........

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255767398377

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA POINT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram