06/09/2024
SUPER GRO
KWA AJILI YA KUPIGA VITA UMASIKINI NA NJAA
SUPER GRO
Ni kirutubisho cha mimea ya aina yote. Bidhaa hii sasa ni maarufu duniani na huku Africa Mashariki kwani imeweza kuwasaidia wakulima kuongeza mazao na kupunguza gharama za kilimo
Kampuni imesajiliwa kufanya biashara Marekana 1958 na Tanzania tangu mwaka Aprili 1999.
📶SUPER GRO IMEWEZA KUJIBU CHANGAMOTO ZA WAKULIMA MFANO
1⃣Mvua haba
2⃣Mazao hafifu
3⃣Udongo uloishiwa rutuba
4⃣Wadudu na Magonjwa
5⃣Gharama kubwa za pembejeo
6⃣Masoko ya mazao yao
👆Changamoto hizo za wa kulima zinajibiwa na 👉Super Gro tu.
↘️Kawaida maji mengi hutiririka juu ya udongo na majani ya mimea bila kupenya ardhini na kiasi kidogo tu hupenya na kuishia tabaka la juu la udongo, Jua likiwaka maji hayo hupotea k**a mvuke hewana.
SUPER GRO NI NINI?
Ni kirutubisho cha mmea na ardhi.
✅Hulainisha maji na kuondoa mzio wa maji. Kwani huwezesha maji kupenya hadi tabaka la tatu la udongo ambalo huwa na madini na virutubosho vingi.
✅Huongeza rutuba katika udongo
✅Husaidia maua yasipukutishwe na upepo hivyo huongeza wingi wa mazao
✔Ni k**a gundi huwezesha madawa ya kilimo aina zote kushika vizuri zaidi kwenye majani na hivyo madawa huweza kuua wadudu kwa urahisi zaidi
✔Huongeza uwezo wa udongo kutunza unyevunyevu
✅Huyeyusha hali ya mafuta mafuta kwenye majani ya mmea hivyo hutawanyisha maji kwa urahisi
✅Huleta rangi ya kijani katika mmea
SIFA ZAIDI ZA SUPER GRO
1⃣Huleta nguvu mpya kwa mazao yaliyo lemaaa
2⃣Husaidia mimea kukua kwenye kimo kimoja
3⃣Huzuia fungas ( fungus) au ukungu kwenye mimea
4⃣Haina sumu ni salama kwa binadamu pia na mazingira kwasababu haiathiri udongo
5⃣Huongeza kiasi cha mavuno pia ukubwa wa matunda
6⃣Huongeza uzito wa mazao kwa mfano
Kabichi, ngongo, vitunguu, Karoti, mahindi, viazi, korosho, chai, kahawa, maharage, kunde na mazao mengineyo.
Hunyonywa haraka zaidi super gro pia haina ugomvi na bidhaa zingine za kusaidia ukuaji
HII LITA TANO UNATUMIA HEKA 15 BEI RAHISI MNOOO 200,000 UKINUNUA KWANZIA MATATU 190000 BEI YA JUMLA
NIPIGIE KUPUNGUZA GHARAMA SASA 0712334806