Dr Janeva

Dr Janeva TATUA CHANGAMOTO YA VIUNGO NA MIFUPA BILA UPASUAJI.

MAUMIVU YA VIUNGO,KIUNO,SHINGO NA MGONGO,MIGUU KUWAKA MOTO,KUKAKAMAA KWA MISULI,NICHANGAMOTO KWA WAZEE,WANAMICHEZO,WENYE...
26/03/2023

MAUMIVU YA VIUNGO,KIUNO,SHINGO NA MGONGO,MIGUU KUWAKA MOTO,KUKAKAMAA KWA MISULI,NICHANGAMOTO KWA WAZEE,WANAMICHEZO,WENYE UZITO MKUBWA NA WANYANYUA VYUMA(WANA GYM).

Wasiliana nasi: 0766 242 819

Matatizo ya viungo,miguu kuwaka moto,maumivu ya kiuno na mgongo, yamekua yakiwasumbua watu wengi hasa wenye uzito mkubwa,wanaofanya mazoezi na wazee wenye umri kuanzia 55+

Hii ni kwasababu umri unavyozidi kwenda mwili unashindwa kuzalisha ute ute katika viungio vya mifupa,na hivyo kupelekea misuguano ya mifupa,ambapo husababisha maumivu makali sana na kupelekea mtu kushindwa Kukaa,Kuinuka,Kukimbia au Kutembea Kabisa!!

CHANZO CHA TATIZO LA VIUNGO (JOINTS TEAR AND WEAR)

-Mara Nyingi Ugonjwa Huu Huitwa ARTHRITIS,Unasababishwa na hitilafu yoyote katika sehemu hizo za maungio ya mifupa.

Inaweza kuwa cartilage inalika,upungufu wa synovial fluid(Maji Maji Katika Maungio),maambukizi ya vijidudu katika moja ya maeneo hayo au mchanganyiko wa matatizo Mbali Mbali,Ikiwemo Uzito mkubwa.

Tabia kuu ya magonjwa haya ni maumivu kwenye maungio ya mifupa (joints) ambayo ni endelevu na ambayo hutokea eneo hilo hilo moja.

Chanzo Cha Arthritis Ni Nini...?

Ili Upate Kuelewa Vyema Chanzo cha ugonjwa huu,hebu kwanza tutazame muundo wa joint au sehemu mifupa miwili inapokutana(Maungio).

Mfano Goti ambapo mifupa miwili mmoja wa paja na mwingine wa mguu vinapokutana:

Maungio ya mifupa-Ligaments;

-Ndicho kitu kinachoshikilia mifupa hii miwili pamoja,hii ni k**a utepe wa plastiki au mpira unaonyumbuka uliozunguka eneo hilo kwa nje,ukikunja goti inanyumbuka na ukinyoosha mguu inarudi.

Cartilage;Huu ni utando unafunika eneo ambalo mifupa hugusana ili kuzuia mifupa hii isisuguane moja kwa moja,Utando huu ambao kwa kiswahili tunauita gegedu huyawezesha maungio hayo kufanya kazi kiulaini pasipo kusababisha maumivu.

Capsule;Hiki ni kitu kinachofunika maungio haya kikizunguka pande zote,ndani ya mfuko huu wa capsule kuna synovial fluid ambayo huzalishwa na synovial membrane.

Synovial fluid ni ute ute wa kulainisha sehemu hiyo ya maungio na synovial membrane ni utando ulio kwenye kuta za ndani za capsule.

K**a nilivyoeleza hapo juu,kuwa kuna aina zaidi ya 100 za ugonjwa huu wa joints au arthritis.

Katika mada yetu ya leo tutatazama aina k**a nne hivi za ugonjwa huu,tukielezea chanzo cha kila aina....

1. Osteoarthritis.

- Hii ni aina ya arthritis inayosumbua watu wengi zaidi kuliko aina nyingine zote...

Ugonjwa huu huwapata zaidi watu wenye umri mkubwa,Osteoarthritis hutokea pale cartilage inapopoteza uwezo wake wa kubonyea na kuwa ngumu hivyo kuharibika haraka.

- Cartilage ni kiungo cha kuhimili migandamizo ya ghafla (shock absorber),Cartilage hii inapopoteza ubora wake,tendons na ligaments huvutika na kusababisha maumivu.

Hali ya uharibifu huu wa cartilage ikiendelea,mwishowe mifupa huanza kusuguana moja kwa moja na ndipo mgonjwa atakapoanza kupata maumivu makali sana sana.

- Athari za ugonjwa huanza taratibu na kuongezeka zaidi,Mgonjwa ataanza kupata maumivu kwenye joint baada ya kufanya shuguli fulani au baada ya mapumziko ya muda mrefu. Joints zitaanza kukaza siku hadi siku,Hasa wakati wa asubuhi unapotaka kuanza shughuli zako za kawaida.

Na siku zinavyosogea ndivyo utakavyoona ni vigumu zaidi kukitumia kiungo chako,Mara nyingine utaona uvimbe kwenye joint.

Osteoarthritis hushambulia zaidi nyonga,mikono,magoti na uti wa mgongo.

2. Rheumatoid arthritis.

- Ugonjwa huu hutokea pale mfumo wa kinga ya mwili unapopungua,viungo huanza kushambuliwa, ikiwa ni pamoja na synovial membrane (synovium) na kusababisha uvimbe na maumivu.

Hali hii isipodhibitiwa,huweza kusababisha ulemavu. Ugonjwa huu unaweza pia kushambulia macho,ngozi,mapafu,midomo,damu na mishipa ya damu. Huu ni ugonjwa ambao zaidi ni wa wanawake na huwatokea zaidi wawapo kati ya umri wa miaka 40 hadi 60.

Mgonjwa atasikia maumivu na kuona uvimbe kwenye joints za pande zote za mwili;

Yaani k**a ni magoti,yote mawili yatashambuliwa na Viungo vinavyoshambuliwa zaidi ni vidole,viwiko vya mikono na miguu.

- Athari zake huonekana zaidi asubuhi unapoamka na maumivu yanaweza kudumu kwa muda wa hadi nusu saa.

Muathirika wa ugonjwa huu hujisikia mchovu muda wote, hukosa hamu ya kula na hupungua uzito,Ugonjwa huu huweza kukua zaidi na Kusababisha matatizo katika viungo vyote vya mwili.

Matatizo yanayoweza kujitokeza ugonjwa ukikua ni k**a yafuatayo:

– Macho kuwa na ukavu,maumivu,wekundu,kutopenda mwanga na kutoona vizuri

– Midomo,Ukavu au kukauka kwa lips za midomo,maumivu na maambukizi ya fizi

– Ngozi,Vijinundu chini ya ngozi kwenye maeneo yenye mifupa

-- Mapafu,Kushindwa kupumua vizuri

– Mishipa Ya Damu,Uharibifu wa mishipa ya damu

– Damu,Upungufu wa chembechembe nyekundu za damu

3. Infectious arthritis (septic arthritic).

- Aina hii ya arthritis inatokana na maambukizi ya bacteria kwenye synovial fluid. Maambukizi haya yanaweza kuwa pia ni ya fungus au virusi.

Wadudu kutoka sehemu nyingine ya mwili iliyo karibu na maungio ya mifupa huweza kusambaa kupitia mfumo wa damu hadi kwenye joint na kuleta maambukizi.

Mara nyingi mtu mwenye aina nyingine ya arthritis ndiye anayepata maambukizi ya namna hii,Mgonjwa ataanza kwanza kupata homa, maumivu na uvimbe kwenye joint.

Maeneo ambayo hushambuliwa zaidi na aina hii ya arthritis ni goti, mabega,kiwiko cha mkono,kiganja (wrist) na vidole na mara nyingi ni eneo moja tu ndilo litakaloshambuliwa

4. Juvenile rheumatoid arthritis (JRA).

- Ni ugonjwa ambao huwapata zaidi vijana walio na umri ulio chini ya miaka 16 na unakuja kwa namna nyingi.

Kuna aina kuu tatu za ugonjwa huu:

I. Pauciarticular JRA.

- Huu ndiyo unaoonekana zaidi na hauna madhara makubwa ukilinganisha na aina nyingine,Mtoto atasikia maumivu kwenye joints zinazofikia nne.

II. Polyarticular JRA.

- Huu hushambulia joints nyingi zaidi, zaidi ya nne na maumivu yake ni makali zaidi.

Kadri siku zinavyoongezeka, ndivyo maumivu yatakavyozidi.

III. Systemic JRA.

- Huu huonekana kwa nadra ambapo maumivu hujitokeza kwenye maeneo mengi na madhara yake kuwa makubwa zaidi,Mtoto ataanza kusikia homa za vipindi ambapo huzidi zaidi nyakati za jioni.

Hali hii inaweza kumtokea mtoto kwa muda mfupi au kwa wengine kwa muda mrefu sana.

Mtoto atapata mauvimu kwenye maungio ya mifupa (joints),uvimbe kwenye maungio hayo na kukak**aa kwa viungo.

Mtoto huyu atakosa hamu ya kula hivyo kumfanya akonde.

Ugonjwa ukizidi, mtoto anaweza kudumaa (kushindwa kukua), ukuaji wa mifupa yake kuathirika na kupata matatizo ya macho (uveitis).

Changamoto Kubwa Ya Matatizo Ya Joints Huwapata Wana Michezo,Wanyanyua Vyuma(Body Builder),Watu Wanaofanya Kazi Ngumu,Mafundi Magari,Wabeba Mizigo Na Madereva Wa Masafa Marefu Na Wafanyakazi Wa Mahofisini Wanao Fanya Kazi Za Kukaa Zaidi.

SULUHISHO KWA MGONJWA MWENYE TATIZO LA JOINTS NA KUJIKINGA NA TATIZO LA JOINTS

Hakuna Ugonjwa usio na suluhisho k**a ukiuwahi mapema,japo pia ukichelewa ina kuwa ni mbaya zaidi ila suluhisho halikosekani kabisaa!!

Na Suluhisho pekee la Tatizo La Joints ni kutumia Virutubisho(Food Supplements),kwa mwenye tatizo ama kwa wanaofanya mazoezi ili kuongeza huo ute ute kwa lengo la kuzuia misuguano ya joints.

Kwa Ushauri au Maswali K**a Uko Mwanza,Dodoma,Arusha,Mbeya na Dar Es Salaam

Au Changamoto Nyingine Za Kiafya Tuwasiliane......

Independent Health Consultant.

WhatsApp/Call..... 0766 242 819
.... 0766 242 819

Dr_Roseana na Afya ya mifupa na maungio bila upasuaji.+255766242819Maumivu ya joint ni tatizo linalosumbua watu wengi kw...
25/03/2023

Dr_Roseana na Afya ya mifupa na maungio bila upasuaji.

+255766242819

Maumivu ya joint ni tatizo linalosumbua watu wengi kwa sasa kutokana na mabadiliko ya mitindo ya Maisha. Umri mkubwa ni moja ya sababu inayopelekea kutokea kwa tatizo, ambapo tishu za mwili zinakuwa kavu na kupoteza uwezo wa kuvutika.

Tatizo hili limewafanya watu wengi kushindwa kukaa na kutembea umbali mrefu sababu ya maumivu makali wanayoyapata..

Pia limewaondolea watu uwezo wa kushiriki kwenye michezo na shughuli zingine za kujenga uchumi na wengine wengi kupata ulemavu wa maisha sababu ya kuwa na tatizo kwa muda mrefu sana na kulichukulia kawaida kwa kutumia dawa za maumivu (ant pains)

Na changamoto hii endapo isipotatuliwa mapema inaweza kukuondolea uwezo wa kutembea milele.

Kubwa Zaidi Wengi wamekuwa wakihangaika kupata Suluhu ya kudumu bila mafanikio.

Wengine wamekuwa wakipata tiba za kutuliza maumivu na baada ya muda mfupi tatizo linarudi tena.

K**a wewe umekuwa ukihangaika kupata suluhu la hili tatizo,usiwaze tena. Nina habari njema kwako.

Habari njema nikwamba unauwezo wa kutumia dawa asili zitokanazo na virutubisho lishe (food suppliments) ambazo zimewasaidia wengi kutibu matatizo yao yaliyo wasumbua kwa muda mrefu sana
karibu tukuhudumie sasa ASANTE.
📞 +255766242819

Dr_Nazar na Afya ya mifupa na maungio bila upasuaji.📞 0622023144Maumivu ya joint ni tatizo linalosumbua watu wengi kwa s...
21/03/2023

Dr_Nazar na Afya ya mifupa na maungio bila upasuaji.
📞 0622023144
Maumivu ya joint ni tatizo linalosumbua watu wengi kwa sasa kutokana na mabadiliko ya mitindo ya Maisha. Umri mkubwa ni moja ya sababu inayopelekea kutokea kwa tatizo, ambapo tishu za mwili zinakuwa kavu na kupoteza uwezo wa kuvutika.

Tatizo hili limewafanya watu wengi kushindwa kukaa na kutembea umbali mrefu sababu ya maumivu makali wanayoyapata..

Pia limewaondolea watu uwezo wa kushiriki kwenye michezo na shughuli zingine za kujenga uchumi na wengine wengi kupata ulemavu wa maisha sababu ya kuwa na tatizo kwa muda mrefu sana na kulichukulia kawaida kwa kutumia dawa za maumivu (ant pains)

Na changamoto hii endapo isipotatuliwa mapema inaweza kukuondolea uwezo wa kutembea milele.

Kubwa Zaidi Wengi wamekuwa wakihangaika kupata Suluhu ya kudumu bila mafanikio.

Wengine wamekuwa wakipata tiba za kutuliza maumivu na baada ya muda mfupi tatizo linarudi tena.

K**a wewe umekuwa ukihangaika kupata suluhu la hili tatizo,usiwaze tena. Nina habari njema kwako.

Habari njema nikwamba unauwezo wa kutumia dawa asili zitokanazo na virutubisho lishe (food suppliments) ambazo zimewasaidia wengi kutibu matatizo yao yaliyo wasumbua kwa muda mrefu sana
karibu tukuhudumie sasa ASANTE.
📞 0622023144

21/03/2023

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255766242819

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Janeva posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category