23/12/2016
Bidhaa (products) za Organo Gold Company ni bidhaa za kahawa na chai. Zina mchanganyiko wa Uyoga (mti shamba) uitwao Ganoderma Lucidum upatikanao katika Nchi ya China pekee. Bidhaa hizi hutumiwa na watu wa aina zote na wa umri tofauti, hutumika k**a lishe na pia k**a tiba. Uyoga huo husaidia kuimarisha kinga za mwili, kuondoa sumu milini, kutibu wenye matatizo k**a: sukari, pressure, vidonda tumbo, kupunguza uzito na mafuta ya ziada mwilini.