Colex Fertility

Colex Fertility Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Colex Fertility, Medical and health, sinza afrika sana, Dar es Salaam.

💃🏻🕺Watu wengi nilio wahudumia ,wamefanikiwa.🤷‍♂🤷‍♂🤷‍♂👉Wanawatoto ...👉Vimbe zimeisha👉fungusi sugu zimeisha..👉Pid zimeisha...
06/05/2021

💃🏻🕺
Watu wengi nilio wahudumia ,
wamefanikiwa.🤷‍♂🤷‍♂🤷‍♂
👉Wanawatoto ...
👉Vimbe zimeisha
👉fungusi sugu zimeisha..
👉Pid zimeisha...
👉Ovarian zimeisha
👉Pcos zimeisha
👉mimba azitoki tena
👉Mirija imezibuka
👉Homoni zimekua vizuri
👉Nguvu za kiume ndo usiseme
👉Maumivu wakati wahedhi ayapo tena
👉Mimba azitoki tena
👉Hamu ya s*x
👇👍
Tanzania , east Africa, na ulaya wanamshukuru sana Kaka....Lazima ujue kutofautisha
Mpigie +255746932771 au whatsup kwa tatizo lolote la uzazi..uyu ndio mwisho.

UGUMBA KWA WANAUME.Hiki ni kitendo cha wanaume kushindwa kuwapatia mimba au ujauzito wanawake baada tu ya kujamiiana nao...
28/07/2020

UGUMBA KWA WANAUME.

Hiki ni kitendo cha wanaume kushindwa kuwapatia mimba au ujauzito wanawake baada tu ya kujamiiana nao.Na hili limekuwa tatizo kubwa ambalo limepelekea familia nyingi kutengana sababu ya ugumba ambao ungechukuliwa hatua ungetibika bila madhara yoyote.
KUNA VYANZO VYA UGUMBA KWA WANAUME.

1. Kiwango kidogo cha shahawa zinazozalishwa.

2. Wanaume wengine hukosa kabisa shahawa hili pia ni tatizo.

3. Kuwa na ute uliozidi uzito, hufanya shahawa au mbegu za kiume hushindwa kuogelea ili kulifikia yai la mwanamke liliko.

4. Upungufu wa homoni zinazochochea uzalishaji mkubwa wa shahawa.
SABABU ZA UGUMBA KWA WANAUME.

1. K**a mwanaume anavuta sigara inaweza pelekea kupata ugumba.

2. Mwanaume k**a anatumia tiba za chemotherapy au matumizi ya mionzi pia hupelekea kutokea tatizo hili la ubumba.

3. Sumu zitokanazo na madini ya lead pamoja na utumiaji wa madawa ya kuua wadudu hupelekea kupata tatizo la ugumba.

4. Unywaji wa pombe kupindukia husababisha pia tatizo hili la ugumba kwa mwanaume.

5. Pumbu kupata joto kupita kiasi pia hupelekea tatizo hili la ugumba

Kwa mwanaume.

6. Ukiumia ile sehemu ya mfuko wa pumbu au pumbu zenyewe husababisha ugumba uchukue nafasi.

7. Kuwa na pumbu ambazo hazijaning’ inia nje ya mwili hilo pia ni tatizo.

8. Kuvimba kwa mishipa ya damu ambayo hupatikana maeneo ambapo korodani zilipo hii pia ni sababu ambayo inaweza pelekea ugumba kwa mwanaume.
Kwa tiba na ushauri contact +255746932771.

Kukosa msisimko wa tendo la ndoa kwa wanawake- (Female Sexual Arousal Disorder -Fsad)WANAWAKE wengi wanasumbuliwa na tat...
22/07/2020

Kukosa msisimko wa tendo la ndoa kwa wanawake- (Female Sexual Arousal Disorder -Fsad)
WANAWAKE wengi wanasumbuliwa na tatizo la kukosa msisimko lakini kwa bahati mbaya, ni wachache wanaofahamu tatizo linalowasumbua ni nini. Kwa kifupi, hii ni hali ambayo mwanamke anakosa kabisa msisimko na raha ya tendo la ndoa.
Dalili za awali za tatizo hili, ni k**a ifuatavyo:
-Kulifikiria tendo la ndoa mara chache zaidi (mwanamke hafikirii mara kwa mara kuhusu tendo la ndoa).
-Kutosikia raha yoyote, kabla, wakati wa tendo au baada ya tendo. Yawezekana mwanamke akawa hasikii maumivu yoyote lakini pia anakuwa hahisi tofauti yoyote.
-Mwanamke kuanza kukataa kushiriki tendo, yawezekana awali alikuwa akikutana na mwenzi wake mara kwa mara lakini ghafla ratiba zinabadilika na hahisi tofauti yoyote.
-Kupoteza kabisa msisimko wa mapenzi. Inapofikia hatua hii, hata k**a mwanamke atawekwa kwenye hali ambayo ni rahisi kupata hisia, hushindwa kufanya hivyo.
Zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hili, na sababu hizo zinawekwa katika makundi mawili, za kimaumbile na za kisaikolojia.
Tafiti za kitaalamu, zinaonesha kwamba matatizo ya kisaikolojia huanza hasa baada ya mwanamke kuvunja ungo ambapo mwili huanza kuzalisha homoni ambazo huubadilisha mwili kimuonekano na kihisia.
Homoni hizi zinapozalishwa kwa kiwango kinachostahili, humfanya mwanamke awe na hisia za kawaida k**a watu wengine lakini kunapotokea athari yoyote katika uzalishwaji wa homoni hizi, hapo ndipo tatizo huanzia.
Wanawake waliopitia unyanyasaji wa kijinsia wakiwa wadogo, pengine kwa kubakwa, kuteswa kingono, kuteswa kihisia au kunyanyaswa, nao wapo kwenye hatari kubwa ya kupatwa na tatizo hili ukubwani.
Matatizo ya msongo wa mawazo, kusalitiwa kwenye uhusiano wa kimapenzi, kunyanyaswa na mume na uchovu wa kupitiliza (fatigue), husababisha tatizo hili. Kutazama picha za ngono kwa kiwango cha kupitiliza ni tatizo lingine.
0746932771.

The fertility cleanse kit clears :• out adhesions in the fallopian tubes • treat infections •remove cysts & fibroid node...
25/06/2020

The fertility cleanse kit clears :
• out adhesions in the fallopian tubes • treat infections •remove cysts & fibroid nodes •balances hormones
•removes debris from the womb to assist in conceptions •it also assist and reinvigorate the reproductive organs

Are you wondering why you are not pregnant while doctors keep saying you are perfectly OK

Hurry to order for our fertility cleanser kit ,I assure you will get pregnant fast.
To order call or Whatsapp +255746932771 or DM

Kuziba kwa mirija ya Uzazi.Kuziba kwa mirija ya Uzazi.Tatizo la kuziba kwa mirija ya mayai ya uzazi au mirija ya kupitis...
15/06/2020

Kuziba kwa mirija ya Uzazi.

Kuziba kwa mirija ya Uzazi.

Tatizo la kuziba kwa mirija ya mayai ya uzazi au mirija ya kupitishia mayai ya mwanamke ni mojawapo ya sababu kubwa za ugumba kwa mwanamke,

ambapo mwanamke anakosa uwezo wa kuzaa.

Mirija inapoziba yai linashindwa kukutana na mbegu ya mwanaume na kutungisha mimba.

Kitaalamu mirija ya mayai huitwa ‘fallopian tubes’ pia huitwa ‘Oviducts’ au uterine tubes’ au Salpinges’. Matatizo ya ugumba kwa mwanamke yana vyanzo vingi lakini kuziba kwa mirija ni tatizo kubwa ambalo huathiri wanawake wengi wenye tatizo hili.

Aina ya uzibaji wa mirija.

Kwa mujibu wa utafiti ambao umeshawahi kufanyika,asimilia 20 ya matatizo ya ugumba kwa wanawake husababishwa na tatizo la mirija ya uzazi.

Mirija inaweza kuziba upande wa mwisho jirani na vifuko vya mayai
‘Distal tubal occlusion’

na hii huhusiana zaidi na hali ya kuvimba mirija ambayo tutakuja kuiona hapo baadaye.

na chanzo cha tatizo la mirija kuvimba husababishwa na maambukizi ya bacteria wa ‘Chlamydia Trachomatis.’ Mwanamke mwenye tatizo la kuvimba mirija au mirija kujaa huwa na maumivu upande wa kulia au kushoto au pande zote mbili chini ya tumbo na hupata maumivu baada ya tendo la ndoa na huwa hashiki mimba.

Tunaposema ugumba maana yake unatafuta ujauzito ndani ya mwaka mmoja bila ya mafanikio.

Aina ya pili ya uzibaji wa mirija ya uzazi ni kushik**ana hiyo mirija,

hali iitwayo kitaalamu ‘Pelvic adhesions.’ Tatizo hili linasababishwa na jamii hiyohiyo ya vimelea ambavyo tumeshaviona hapo juu.

Tatizo hili huwa siyo kali na mara chache mgonjwa hulalamika maumivu,

kushik**ana huku ni hali ya makovu ndani na nje ya mfumo wa uzazi,

upande wa vidole kushika mayai hujikunja na wakati mwingine mrija wenyewe huk**atana na viungo vingine jirani hivyo kuzuia yai kupenya na kusafiri kwenye mrija.

Wakati mwingine katika tatizo hili pia mrija unaweza kuwa uwazi na kuruhusu yai kupenya.

Mirija inaweza kuziba sehemu ya kati ‘midsegment tubal osbsraction’

na hii inaweza kusababishwa na operesheni ya kufunga kizazi.

Mirija inaweza kuziba upande wa juu karibu na mfumo wa uzazi,

na chanzo kikuu ni maambukizi ndani ya kizazi hasa baada ya kutoa au kuharibika mimba.
0746932771

Zipo sababu nyingi zinazo sababisha mwanamke kushindwa kupata ujauzito ni k**a..INFECTION,OVARIAN CYST,FIBROID,PID, FUNG...
09/06/2020

Zipo sababu nyingi zinazo sababisha mwanamke kushindwa kupata ujauzito
ni k**a..INFECTION,
OVARIAN CYST,
FIBROID,
PID, FUNGUS, UTI,
HORMONES IMBALANCE,
ENDOMETRIOSIS,
PERIOD PROBLEM,
HIGH RISK PREGNANCY CARE,
PICOS,
LOW S***M COUNT
Bone and Joints treatment
Special diet

call us +255746932771 .
24/7

Location;Sinza afrika sana, Dar es salaam,Tanzania.

. VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI  Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni kutokanana...
06/06/2020

. VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni kutokanana maisha wanayoishi, elimu finyu waliyonayo juu ya afya zao na kutokula kulinganana makundi ya damu. Vyanzo vya kuvurugika kwa homoni ni:

Uwepo wa sumu mwilini

Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha)

Umri ukienda sana

Kukoma kwa hedhi

Kutofanya mazoezi

Uzito mkubwa

Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa

Msongo wa mawazo

Kula vyakula visivyo endana na Blood Group

Upungufu wa lishe mwilini

Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango

Utoaji wa mimba

Family History (Upungufu au ongezeko ya homoni ya progesterone na Estrogen)

Ongezeko ya homoni ya Androgen (Kuota ndevu, sauti k**a mwanaume)

Bara (Ethnicity): Wanawake wa Afrika wengi wana hili tatizo la ongezeko ya Homoni ya Estrogen, ndiyo maana wana maumbile makubwa

DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI

Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni k**a vile: -👇
👉Ukavu ukeni
👉Maumivu wakati wa tendo la ndoa
👉Kutoa jasho usiku
👉Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
👉Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
👉Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)
👉Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
👉Uchovu wa mara kwa mara
👉Hasira za mara kwa mara
👉Kukosa usingizi
👉Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
👉Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula
👉Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
👉Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)
👉Maumivu ya viungo
👉Upungufu wa nywele kichwani
👉Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
👉Kuwa na hamu ya kula vyakula au vinywaji vya wa ndani
👉Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
👉Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea

Kwa tiba na ushauri contact +255746932771.

. VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI  Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni kutokanana...
06/06/2020

. VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni kutokanana maisha wanayoishi, elimu finyu waliyonayo juu ya afya zao na kutokula kulinganana makundi ya damu. Vyanzo vya kuvurugika kwa homoni ni:

Uwepo wa sumu mwilini

Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha)

Umri ukienda sana

Kukoma kwa hedhi

Kutofanya mazoezi

Uzito mkubwa

Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa

Msongo wa mawazo

Kula vyakula visivyo endana na Blood Group

Upungufu wa lishe mwilini

Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango

Utoaji wa mimba

Family History (Upungufu au ongezeko ya homoni ya progesterone na Estrogen)

Ongezeko ya homoni ya Androgen (Kuota ndevu, sauti k**a mwanaume)

Bara (Ethnicity): Wanawake wa Afrika wengi wana hili tatizo la ongezeko ya Homoni ya Estrogen, ndiyo maana wana maumbile makubwa

DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI

Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni k**a vile: -👇
👉Ukavu ukeni
👉Maumivu wakati wa tendo la ndoa
👉Kutoa jasho usiku
👉Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
👉Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
👉Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)
👉Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
👉Uchovu wa mara kwa mara
👉Hasira za mara kwa mara
👉Kukosa usingizi
👉Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
👉Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula
👉Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
👉Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)
👉Maumivu ya viungo
👉Upungufu wa nywele kichwani
👉Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
👉Kuwa na hamu ya kula vyakula au vinywaji vya wa ndani
👉Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
👉Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea

Kwa tiba na ushauri contact +255746932771.

Solution;Fertility Men and womenHomon imblanceEndometriosisFibroid & ovarian cytLow sparm CountPIDUTIFungusInfectionPeri...
06/06/2020

Solution;
Fertility Men and women
Homon imblance
Endometriosis
Fibroid & ovarian cyt
Low sparm Count
PID
UTI
Fungus
Infection
Period problems
Pregnancy treatment
Bone and Joint treatment
Diet programs
Weka appointment sasa....
Monday to Saturday,
Mda ni kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni.
Njoo upate jibu la tatitizo lako....
Wa mikoani na nje ya nchi tunatuma tiba mpaka ulipo....
Wasiliana nasi; +255746932771. Call/WHATSAPP or DM

Lini naweza kupata ujauzito?Ili kupata ujauzito kwa njia ya kawaida, moja ya yai na mbegu kutoka kwa mwenza wako lazima ...
04/06/2020

Lini naweza kupata ujauzito?

Ili kupata ujauzito kwa njia ya kawaida, moja ya yai na mbegu kutoka kwa mwenza wako lazima vikutane kwenye mirija yako ya uzazi. Yai lako haliwezi kuwa hai kwa zaidi ya saa 24 baada ya kuwa kupevushwa. Kwa hiyo kukutana kwa yai na mbegu lazima kutokee ndani ya muda huu.
Kwa upande mwingine, mbegu za mwanaume huweza kuwa hai hadi kufikia siku saba. Zitaishi kwa raha kwenye uke, mfuko wa mimba, au kwenye mirija ya uzazi kwa muda wote huu.
Kiuhalisia una jumla ya siku sita kwenye mzunguko wako ambazo unaweza ukapata ujauzito. Kwa hiyo ukifanya ngono katika kipindi hiki, yai lako lililopevuka tayari linaweza likakutana na mbegu yenye afya na kuchavushwa(fertilized). Ni wakati gani kupevuka kwa yai kunatokea?

Kupevuka kwa yai mara nyingi hutokea kati ya siku 12 hadi 14 kabla ya hedhi kuanza. Hii ni wastani tu wa makadirio, hivyo inaweza ikawa ni siku chache kabla au baada ya hedhi.

Kwa mfano, tuseme una mzunguko wa kawaida wa hedhi wa siku 28. Hesabu siku ya kwanza ya kuona hedhi yako k**a siku ya kwanza. Siku za wewe kuweza kupata mimba ni kati ya siku ya 10 hadi ya 15.

Vilevile, wanawake wengi wana mizunguko inayotofautiana. Kupevuka kwa yai kunaweza kutokea wiki moja kabla au baada ya kuona hedhi yako, ila kutofautiana mwezi mmoja hadi mwingine.

Dalili za yai kupevushwa ni zipi?

Utaanza kuziona dalili za kuwa kwenye “ovulation”siku tano kabla ya yai kupevuka. Kujaribu kuelewa mzunguko wako kwa kutumia tarehe za mzunguko wako pekee haitakupa majibu sahihi. Ndio maana kuna umuhimu wa kuelewa na kugundua dalili za mwili wako kipindi upo kwenye ovulation ili kufanikiwa kupata ujauzito.
Dalili kuu na viashiria vya yai kupevuka vinajumuisha:

Mabadiliko ya uteute uliopo kwenye mlango wa uzazi.
Kuongezeka joto la mwili.
Maumivu ya tumbo.
Maumivu ya maziwa yanapoguswa.
Kuwa na hamu ya kufanya mapenzi kuliko kawaida.
Mabadiliko ya ute kwenye mlango wa uzazi
Ute wa mlango wa uzazi ni uteute unaona kwenye chupi au kwenye “toilet paper” unapokwenda kukojoa. Mabadiliko ya ute wa mlango wa uzazi ni alama ya kuwa upo kwenye siku nzuri za mimba kutungwa. Baada ya hedhi kuisha uteute kwenye via vya uzazi unaongezeka kwa ujazo na hubadilika pia

Address

Sinza Afrika Sana
Dar Es Salaam

Telephone

+255746932771

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Colex Fertility posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram